Saikolojia: Jinsi ya kuondokana na mawazo yanayoumiza au kuhuzunisha

Saikolojia: Jinsi ya kuondokana na mawazo yanayoumiza au kuhuzunisha

Aisee kila la kheri na katika kila unalofanya ufanikiwe maradufu.

Umejieleza kwa kujitolea na kwa mapana bila kulipua lipua kana kwamba unalipwa.Wamesalia watu wachache wenye hulka uliyoidhihirisha hapa.

Ahsante.
Ubarikiwe pia.
 
wakuu naomben msaada wenu ... unawezaje punguza msongo wa mawazo ..ni mwaka wa tatu huu nna jaribu kuondoa msongo wa mawazo watu wengi huniona na furaha au napowafurahisha nnapokua nao lakini nna maumiv makal moyon hivi wakuu msongo wanautoaje maana kazi nafanya ila naona kabisa unaenda kunimaliza wengi watataman wajue kilichonisibu hiyo ni story ndefu ila nipen njia ya kuondoa msongo kma huna hzo njia pita kushoto !
Nichek inbox... Nitakusaidia kutatua hiyo shida.
 
Bora we umesema watu wengi wana msongi wa mawazo na hawajikubali ,,pole swahiba fata ushauri asigwa nimeuelewa sana
 
Back
Top Bottom