Bradha
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 8,787
- 45,257
Bilionea Asigwa, Aisee kila la kheri na katika kila unalofanya ufanikiwe maradufu.
Umejieleza kwa kujitolea na kwa mapana bila kulipua lipua kana kwamba unalipwa.Wamesalia watu wachache wenye hulka uliyoidhihirisha hapa.
Ahsante.