Offshore Seamen
JF-Expert Member
- Mar 9, 2018
- 5,489
- 14,091
Inaonekana kwamba wewe ni perfectionist, yaani mtu mwenye kupenda 100% kwenye kila kitu. Na pia hujapata uzoefu mkubwa wa ukweli wa maisha na watu. Anza kukabiliana na mambo uso kwa uso. Kama una jambo lipo mbele yako likabili na wala usilikwepe.Shukrani sana mkuu nimekuelewa binafsi kiumri nipo kwenye mid 20's hapo kama utaweza kua na jambo la kuongezea nitashukuru
Mimi huyo 100%, pia inaweza kupita wiki nisipate haja kubwa na nikawa fresh tu kiafya dah!Nahisigi hii kitu sijui ndio inanipelekeaga nakosa hamu ya kula hata kwa week nzima nakula kwa kujisukuma sana.
Wiki nzima mkuu? Hata kama huli hyo sio kawaidaMimi huyo 100%, pia inaweza kupita wiki nisipate haja kubwa na nikawa fresh tu kiafya dah!
Hiyo sentensi ya mwisho NIMEIELEWA SANAMimi mwenyewe ni over thinker matata ndo maana nina waza hadi nimeshapanga jinsi nitakavyoishi maisha yangu yote mpaka uzeeni. Nikiona kama naanza ku over think sana najiweka busy kwa kusoma vitabu kuangalia videos etc.
Kitu kingine nilichokigundua ni kwamba kama nataka nisi over think kuhusu jambo fulani ninalotakiwa kulifanya nalifanya mapema kabla sijawa kichaa.
Na pia hii ni side effect moja wapo ya kuwa introvert.
Yaani, Nakula ajabu ni kwamba sisikii kabisa mav kubana aiseeWiki nzima mkuu? Hata kama huli hyo sio kawaida
ππππππYaani, Nakula ajabu ni kwamba sisikii kabisa mav kubana aisee
[emoji23] naona mwili unatetemeka tu wenyewe sa sijui nini kitafuata. Ngoja nione.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa hujaona mabadiliko yoyote kiafya mkuu
Mkuu nakuomba tafakari chukua hatua digestion system ni kitu nyeti usisubiri mi nilikoma na ulcers saiv jeuri yote kujifanya mgumu iliisha[emoji23] naona mwili unatetemeka tu wenyewe sa sijui nini kitafuata. Ngoja nione.
Hili tatizo hua linanisumbua mno yani lina nicost mara nyingi sijui nifanyeje.Inaonekana kwamba wewe ni perfectionist, yaani mtu mwenye kupenda 100%
Tafuta hiki kitabu, mimi pia nilikuwa na tatizo hili, ila now limepungua sana View attachment 1336208
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahaa hapo sawaMLEVi Mmoja,
Hahahaaha!! Siichukii pombe yako bwana, nimemshauri tu kama hatumii pombe asijiingize huko.
MLEVi Mmoja,
Mimi huyo 100%, pia inaweza kupita wiki nisipate haja kubwa na nikawa fresh tu kiafya dah!