Saikolojia: Jinsi ya kuondokana na mawazo yanayoumiza au kuhuzunisha

Saikolojia: Jinsi ya kuondokana na mawazo yanayoumiza au kuhuzunisha

Haya yanatokea ukiwa na uhakika wa shibe, ukiwa na njaa kamwe uwezi kuwaza hata nusu ya hivyo vitu.

Kuna mzee alisema ukitaka umfanye mtu mweusi aache kuwaza mambo ya ajabu mshindishe njaa.

Njaa mwana malegeza, Shibe mwana kulevya.
 
Kama usiku kwa wiki unakosa usingizi chukua gari au pikipiki fanya night cruise, funga exhaust kubwa ufanye fujo sana barabarani usiku.

Pia unaweza ukaomba deiwaka kwenye gari zinazokesha uongeze kipato.
 
Shukrani sana mkuu nimekuelewa binafsi kiumri nipo kwenye mid 20's hapo kama utaweza kua na jambo la kuongezea nitashukuru
Inaonekana kwamba wewe ni perfectionist, yaani mtu mwenye kupenda 100% kwenye kila kitu. Na pia hujapata uzoefu mkubwa wa ukweli wa maisha na watu. Anza kukabiliana na mambo uso kwa uso. Kama una jambo lipo mbele yako likabili na wala usilikwepe.

Jifunze kujua ukweli wa mambo na kutumia usaidizi ambao nature au ulimwengu umeweka mbele yetu na kwa ajili yetu. Ukweli ni kwamba unaweza kufanya vizuri katika mambo mengi kuliko watu wengine unahitaji ku relax ili uweze kufanya mambo yako kwa urahisi zaidi na kwa kujiamini zaidi.

Jua kwamba unayoyapitia yanamaanisha upekee wako wa ndani na utakapo jifahamu vizuri utaweza kutawala hisia zako na pia matokeo ya yale utendayo.
 
Nashauri umuone mwanasaikolojia ufanye therapy/counselling wao wana njia za kuhoji na kujua tatizo ni lipi haswa mambo ya mental health...mara nyingine kuna mambo ya nyuma aidha kutoka utotoni ama katika makuzi ambayo yameathiri namna unavyofikiri, haya yalitokea hayafutiki mpaka ukae na mtu akuhoji uyaongee akuulize historia kwa undani ndio yatoke.

Pia jifunze kanuni ya kwamba kuna vitu ambavyo viko nje ya uwezo wako na ambvyo viko ndani ya uwezo wako, kama kitu kiko nje ya uwezo let it go sababu hata ukiwaza na kuwazua hutabadili matokeo, mfano unagiza sababu umeme wa tanesco umekatika, huna haja ya kupanik sababu ni nje ya uwezo wako.

Masuala ya mental health kama depression, anxiety n.k yanasumbua wengi ila hayapewa kipaumbele na jamii imeyawekea mtazamo hasi, hivyo wengi wanaishi yao kibishi au wanaishia kulewa nk.
 
Mimi mwenyewe ni over thinker matata ndo maana nina waza hadi nimeshapanga jinsi nitakavyoishi maisha yangu yote mpaka uzeeni. Nikiona kama naanza ku over think sana najiweka busy kwa kusoma vitabu kuangalia videos etc.

Kitu kingine nilichokigundua ni kwamba kama nataka nisi over think kuhusu jambo fulani ninalotakiwa kulifanya nalifanya mapema kabla sijawa kichaa.

Na pia hii ni side effect moja wapo ya kuwa introvert.
Hiyo sentensi ya mwisho NIMEIELEWA SANA

ARUSHA KWETU
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa hujaona mabadiliko yoyote kiafya mkuu
[emoji23] naona mwili unatetemeka tu wenyewe sa sijui nini kitafuata. Ngoja nione.
 
[emoji23] naona mwili unatetemeka tu wenyewe sa sijui nini kitafuata. Ngoja nione.
Mkuu nakuomba tafakari chukua hatua digestion system ni kitu nyeti usisubiri mi nilikoma na ulcers saiv jeuri yote kujifanya mgumu iliisha
 
Mad Max, Unawatoroka washkaj unaenda kufanyaje??[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Aah kubabakee walah

ARUSHA KWETU
 
Back
Top Bottom