Mtaalamu wa mambo
Member
- Nov 23, 2020
- 58
- 96
Uza simu hii unayotumi ama pc unayotumia. Anzia hapo kama mtaji never givup kijanaNdugu zangu halo ngumu kwa upande wangu maisha yamekuwa magumu sina wa kunisaidia
Nakesha kitandani kulala nimehangaika kutafuta kazi sijapata Nina elimu certificate
Simu nilinunua kwa 20 hizi kitochiUza simu hii unayotumi ama pc unayotumia. Anzia hapo kama mtaji never givup kijana
Tafuta ka simu ka 25 elfu
Hauko peke yako,kuna mamilioni ya watanzania wanaishi staili ya hayo maisha,ni changamoto tu ya kawaida kwa sasa,maisha ni magumu kwa watu wengi miaka hii.Ndugu zangu halo ngumu kwa upande wangu maisha yamekuwa magumu sina wa kunisaidia
Nakesha kitandani kulala nimehangaika kutafuta kazi sijapata Nina elimu certificate
Pole sana mdogo angu, usichukue uamuzi wa kujitoa uhai, kumbuka wapo wenye shida kuliko wewe na hawakati tamaa, ila uko mkoa gani??Ndugu zangu halo ngumu kwa upande wangu maisha yamekuwa magumu sina wa kunisaidia
Nakesha kitandani kulala nimehangaika kutafuta kazi sijapata Nina elimu certificate
Nipeni msaada kimawazo
Zalau mkuuNenda rudi baadae mkuu.
Zalau mkuuNenda rudi baadae mkuu.
Nisaidiekazi ndogondogo nipate mtajimsaada wa mawazo ni kukomaa kiume na kuacha mawazo ya kijinga ya kutaka kujitoa uhai.
kwa upande wangu sina kazi ya kukupa, wasubiri wadauNisaidiekazi ndogondogo nipate mtaji
Umesomea nini?Ndugu zangu halo ngumu kwa upande wangu maisha yamekuwa magumu sina wa kunisaidia
Nakesha kitandani kulala nimehangaika kutafuta kazi sijapata Nina elimu certificate
Nipeni msaada kimawazo
Kama wewe ni jinsia ya ke na kama wewe ni mwanachama wa cdm nenda Bungeni ukaapishwe kuwa mbunge wa viti maalum. Kwa sasa hilo ndilo linalolipa mkuu.Ndugu zangu halo ngumu kwa upande wangu maisha yamekuwa magumu sina wa kunisaidia
Nakesha kitandani kulala nimehangaika kutafuta kazi sijapata Nina elimu certificate
Nipeni msaada kimawazo
Pole sana kijana.Ndugu zangu halo ngumu kwa upande wangu maisha yamekuwa magumu sina wa kunisaidia
Nakesha kitandani kulala nimehangaika kutafuta kazi sijapata Nina elimu certificate
Nipeni msaada kimawazo
Ndio naweza kufanya tuwasilianePole sana kijana.
Umesomea nini?
Unaweza Fanya kazi Tabora?