Saikolojia: Jinsi ya kuondokana na mawazo yanayoumiza au kuhuzunisha

Saikolojia: Jinsi ya kuondokana na mawazo yanayoumiza au kuhuzunisha

Ndugu zangu halo ngumu kwa upande wangu maisha yamekuwa magumu sina wa kunisaidia

Nakesha kitandani kulala nimehangaika kutafuta kazi sijapata Nina elimu certificate
Hauko peke yako,kuna mamilioni ya watanzania wanaishi staili ya hayo maisha,ni changamoto tu ya kawaida kwa sasa,maisha ni magumu kwa watu wengi miaka hii.

Tafuta ufumbuzi kwa namna chanya, utatoboa tu.
 
P
Ndugu zangu halo ngumu kwa upande wangu maisha yamekuwa magumu sina wa kunisaidia

Nakesha kitandani kulala nimehangaika kutafuta kazi sijapata Nina elimu certificate

Nipeni msaada kimawazo
Pole sana mdogo angu, usichukue uamuzi wa kujitoa uhai, kumbuka wapo wenye shida kuliko wewe na hawakati tamaa, ila uko mkoa gani??
 
tafuta elfu 20. nenda kanunue njegere zimenye ziweke kwenye mifuko midogo transparent(unazipa thamani) . anza kuzungusha.. baada ya mwezi nitafute..
ila ukiendelea kulala ndani.. hujichanganyi na watu.. una hela ya bando.. utakuja kujiua kweli
 
Ndugu zangu halo ngumu kwa upande wangu maisha yamekuwa magumu sina wa kunisaidia

Nakesha kitandani kulala nimehangaika kutafuta kazi sijapata Nina elimu certificate

Nipeni msaada kimawazo
Kama wewe ni jinsia ya ke na kama wewe ni mwanachama wa cdm nenda Bungeni ukaapishwe kuwa mbunge wa viti maalum. Kwa sasa hilo ndilo linalolipa mkuu.
 
Ndugu zangu halo ngumu kwa upande wangu maisha yamekuwa magumu sina wa kunisaidia

Nakesha kitandani kulala nimehangaika kutafuta kazi sijapata Nina elimu certificate

Nipeni msaada kimawazo
Pole sana kijana.

Umesomea nini?

Unaweza Fanya kazi Tabora?
 
1.Idle mind is the devil workshops ...
Hakikisha unapo anza kuwaza hayo mawazo tafut kitu chochote chakukufanya unakua busy kama kusikiliza mziki n.k

2. Meditation
Anza ku practice hii kitu as soo as possible

3. Ingia Google tafuta vibatu vya huyu jamaa ivisome havina hata 60 Page's
Dr. Niruben Amin
 
Back
Top Bottom