The Initiator huru
JF-Expert Member
- Dec 4, 2017
- 1,993
- 2,635
Angalia post zake nyingi anaomba kazi hata ya u house boy usimbeze, baadaye ukaja kujilaumuNachoona kwako unahitaji kuhurumiwa halafu upewe hela. Wewe jamaa naona kabisa haujibu jumbe za maswali ya msingi.
How?Mm mawazo yanaingia kiatomatiki na yanaondoka kiatomatiki [emoji41][emoji41]
Ni pm ndugu yanguMambo yananizonga ...msongo wa mawazo ....kichwa kizito eh MUNGU ulieniumba nichukue nipumzike na mateso haya
Usijali kabisa mkuu, sasahiv pambana tu kila mtu anapitia kipindi kigumu Sahiv. Jipe moyo utashinda tuMambo yananizonga ...msongo wa mawazo ....kichwa kizito eh MUNGU ulieniumba nichukue nipumzike na mateso haya
Una Familia????Salaam wakuu..Nina tatizo la kuwa bored na kuwa alive tatizo linaweza kuwa ni nini?..NB..kipato cha kawaida skosi kwa siku
sna familia la na mtotoUna Familia????
Vuta,janiSalaam wakuu..Nina tatizo la kuwa bored na kuwa alive tatizo linaweza kuwa ni nini?..NB..kipato cha kawaida skosi kwa siku