Saikolojia: Jinsi ya kuondokana na mawazo yanayoumiza au kuhuzunisha

Saikolojia: Jinsi ya kuondokana na mawazo yanayoumiza au kuhuzunisha

Huwa nasikiliza mziki wa zamani naupenda sana ule wa Lovi Longomba unaitwa , milima ya kwetu,hapo huwa nasahau kila kitu
 
Napenda kuangalia movie nikishindwa nalewa sana..kwa kua sipendi kuonekana na hyo hali napenda kujitenga na watu,mda wote nachezea simu ata kama amna la maana.
Kulewa sio dawa ya kuondoa tatzo,cheza gemu angalia move nzuri,kuna move nzur san ambazo ztakufany usikie raha.Nitafute nikutumie majina ya move nzur
 
Nilidownload 'Clip' ya mnada wa nyumba za Lugumi, nikimuangalia Dr Shika tu na lile POZI lake stress zinapungua kiasi chake!
 
Kulewa sio dawa ya kuondoa tatzo,cheza gemu angalia move nzuri,kuna move nzur san ambazo ztakufany usikie raha.Nitafute nikutumie majina ya move nzur
Sawa mkuu ntakuja pm unipe hyo dawa ya kukimbia ulevi[emoji124]
 
Kulewa sio dawa ya kuondoa tatzo,cheza gemu angalia move nzuri,kuna move nzur san ambazo ztakufany usikie raha.Nitafute nikutumie majina ya move nzur
Ukishare nasi hizo muvi humu itapendeza zaidi.......
 
Mimi huwa nasikiliza nyimbo laini za kuabudu na hakika stress zinapungua kama sio kuisha kabisa
 
Naepuka kukaa peke yangu, nafanya kitu ninachokipenda kila wakati mfano kutizama muvi, kunywa maji batidi kila wakati, kunywa kahawa, kutafuna tango baridi, nasoma vitabu, namsamehe alienikosea niliemkosea kupunguza sumu.
 
Natafuta sehemu kwenye miti mingi(forest) ama kwenye garden nakaa, its a proved fact kuwa maua na miti mingi huondoa stress
 
Hua nalala tu,,nashindwa kila kitu ,,halaf nikikumbuka moyo unashtuka ,,,,hata sijui namna ya kuzuia zaidi ya kulia tu
Msongo wa mawazo mbaya sana
 
Dah....hii hali ndo niliyopo sasa hivi...kiukweli pesa sio kila kitu
[emoji15] pesa sio kilakitu!!
d36d51622c1b28518db5dc66622916e7.jpg
 
Back
Top Bottom