Sadiki Abdallah
JF-Expert Member
- Jul 13, 2016
- 885
- 582
Huwa nasikiliza mziki wa zamani naupenda sana ule wa Lovi Longomba unaitwa , milima ya kwetu,hapo huwa nasahau kila kitu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kulewa sio dawa ya kuondoa tatzo,cheza gemu angalia move nzuri,kuna move nzur san ambazo ztakufany usikie raha.Nitafute nikutumie majina ya move nzurNapenda kuangalia movie nikishindwa nalewa sana..kwa kua sipendi kuonekana na hyo hali napenda kujitenga na watu,mda wote nachezea simu ata kama amna la maana.
Sawa mkuu ntakuja pm unipe hyo dawa ya kukimbia ulevi[emoji124]Kulewa sio dawa ya kuondoa tatzo,cheza gemu angalia move nzuri,kuna move nzur san ambazo ztakufany usikie raha.Nitafute nikutumie majina ya move nzur
Ukishare nasi hizo muvi humu itapendeza zaidi.......Kulewa sio dawa ya kuondoa tatzo,cheza gemu angalia move nzuri,kuna move nzur san ambazo ztakufany usikie raha.Nitafute nikutumie majina ya move nzur
Hongera...nifundishe na mimi tuwe tunaimba woteJust joke, nikiwa na stress Mimi nikuimba mapambio tuu
Poa...mpendwa...wanguNtakufundisha ukiwa na stresss usikimbilie Kwene ngono, ntakupoteza ndg, ukiwa na stress nichek
Kumbe nawe umoUkishare nasi hizo muvi humu itapendeza zaidi.......
Kukaa na marafiki inanisaidia sana .
[emoji15] pesa sio kilakitu!!Dah....hii hali ndo niliyopo sasa hivi...kiukweli pesa sio kila kitu
tafuta movie yoyote iliyoigizwa Russia utapata ladha tofauti na utaenjoy zaidi, kuna White Tiger, kuna Another face, kuna The breakpoint zote kali na zipo zingine nzuri, stress zinaondoka!Hebu share nami baadh ya hizo muvi ili nizitafute
moyo kama unashtuka, ikemee, ni roho ya hofu hiyo, usikubali hofu ikutawale.Hua nalala tu,,nashindwa kila kitu ,,halaf nikikumbuka moyo unashtuka ,,,,hata sijui namna ya kuzuia zaidi ya kulia tu
Msongo wa mawazo mbaya sana