Saikolojia: Jinsi ya kuondokana na mawazo yanayoumiza au kuhuzunisha

Saikolojia: Jinsi ya kuondokana na mawazo yanayoumiza au kuhuzunisha

Cha kwanza, acceptance. Lazima ukaubali kwamba bwana nipo hapa. Na msala ulionipata ndo huu.

Ukubali na ujue Mungu hawezi kukupa mzigo mzito zaidi ya uwezo wa mabega yako.

Kama ni maumivu ya mapenzi, kubali kwamba hali imehstokea. It wasn't meant to be. If it was right, it wouldn't hurt.

Kama ni maumivu yatokanayo na kumpoteza ajira, kubali kwamba ingekuwa riziki yako nothing would come between you.

Sijui unafata imani gani but kuna mambo matatu Mungu akikuandikia nothing can come between. Ndoa, kifo na riziki.

What is meant for you will always find its way into.your life.

May God grant you ease.
 
Wenzangu wamezungumza mengi sana mkuu.

But Mimi niseme kidogo tu kwamba njia sahihi ya kuliona gumu ulilo nalo ni dogo na simple ni Kwa kupitia kuwashirikisha wengine mostly unaowaheshimu na wao kukuheshimu mlijadili hadi ulizoee na kuliona la kawaida. Watu wengi wanachukua maamuzi magumu kutokana na sononi sababu wanakumbatia hilo zito moyoni na kutaka kutafuta suluhu wenyewe. Hii huwa haisaidii. Njia ya kwanza ni kulisema na kulitoa moyoni hilo gumu kitaalamu wanaita "let it go" kuachia liende lisikae kifuani kwako.

Nilipokuwaga secondary kuna incidence ngumu sana...narudia ngumu sana, ilinifika nikavurugwa kabisa ufahamu..ladha ya kuishi ikaisha kabisa but nilijipa moyo nikabuni kambinu nikaandika kakaratasi kenye maneno "Hata haya yote yatapita" nikawa nikiwa na msongo zaidi nakatoa nakasoma hata haya yote yatapita then nakarudisha mfukoni tena...nikajipa moyo as time goes on nikajikuta Niko poa sana na kila kitu kimekuwa sawa..sometimes time is the best healer...muda huwa ni dakatari mzuri sana kuna vingine kwenye maisha vinataka muda tu basi kupona na kuwa sawa na wala si kingine.

Ningependa ushirikishe watu unaowakubali ishu yako muiongee kwa kinagaubaga..Dawa ya haya mambo ya depression and anxiety huwa iko kwenye kushirikisha watu unaoeshimiana nao ukiyakumbatia yanakuvuta shimoni....Antony Bourdain wa CNN majuzi alijining'iniza sababu ya msongo wa Mawazo licha ya kuwa na kila kitu. Sababu kuu hakushirikisha watu.

Yangu machache ni hayo tu!
 
UTAFITI uliofanywa na Chuo Kikuu cha State cha jijini New York nchini Marekani unaeleza kuwa manii ni nzuri kwa wanawake kwani huwaondolea msongo wa mawazo.

Pia, watafiti hao wamesema wanawake wanaofanya tendo la ndoa mara kwa mara bila kutumia kinga (mapenzi salama) wanakuwa na kiwango kidogo cha msongo wa mawazo na hufanya vizuri katika vipimo vya akili.

Hali hii wamesema wataalam hao kuwa inatokana na manii kuwa na kemikali ambazo humfanya mtu kuwa vizuri kihisia, huongeza upendo/unyenyekevu, huchochea mtu kupata usingizi na huwa na angalau aina tatu za kemikali za kuondoa msongo wa mawazo (anti-depressants).

Utafiti huo uliofanywa kwa kuwahoji wanawake 293 kwa kufuatilia maisha yao ya kujamiana dhidi ya afya za akili zao. Manii huwa na mchanganyiko wa kemikali aina ya cortisol ambayo huongeza upendo, kemikali aina ya esterone na oxytocin ambazo zote humfanya mtu kuwa vizuri kihisia.

Pia, huwa na homoni aina za ‘thyrotropin releasing hormone’, ambayo huondoa msongo wa mawazo, melatonin ambayo huchochea usingizi na serotonin ambayo ni homoni inayoondoa msongo wa mawazo.

Kutokana kuwapo kwa mchanganyiko wa kemikali na homoni hizo kwenye manii

Matokeo ya utafiti

Matokeo muhimu ya utafiti huu ambao umechapishwa katika jarida la ‘Archives of Sexual Behaviour’ ni kwamba hata baada ya baadhi ya watafitiwa kuongeza kiwango chao cha kujamiana, wale ambao walikuwa hawatumii kinga yoyote walikuwa na kiwango kidogo cha msongo wa mawazo tofauti na wale ambao walikuwa wakitumia kinga kama kondomu wakati wa kujamiana
 
Hata kwa wanaume pia.

Ingawa saaingine kuna misongo ya mawazo inakuzidi nguvu kiasi kwamba hata mashine haitokaa isimame.
 
Back
Top Bottom