Boniphace Bembele Ng'wita
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 3,475
- 1,860
mkuu akili kwnye ile kitu huwa inaondoka kabisa na ndo maana imefunikwa ikiweka wazi kila kitu kinaondoka hata vitabu vya Mungu huw vinafutika kichwanHuyo jamaa ana kazi kubwa sana kufight na mtu wa hadhi ya huyo askofu, hao watu wana nguvu kubwa sana usiwaone wanavyoongea kama wapole au wajinga flani, ni wasomi wa hali ya juu na wana akili kubwa sana.
mkuu alipigiwa sim alipoambiwa ni mwanahalisi akakata sim, alipotumiwa sms hakujib, ulitaka habari isitoke?Mbona habari ni ya upande mmoja? Nimeiita habari hii udaku kwakuwa sioni sehemu mwandishi alipofanya mahojiano na Askofu Malasusa
Kwa maelezo yako wewe ni mLutheri kwanza nakukaribisha Usharika wa Kimara kwa kamanda MASTAH...nikirudi kwenye mada nataka kukuuliza wewe unaamini hii habari?,,,,hata kama hisia zako ziko namna hiyo huna haki ya kuhukumu huyo ni mtumishi wa Mungu kama kuhukumu ni MUNGU ndio atamshughulikia we chakufanya muombe tuu..aidha nikweli au uongo...Ukisoma habari za Sauli alivyokuwa anataka kumuua DAUDI pamoja na yote Daudi kwa kujua Sauli ni Mpakwa mafuta wa Bwana....alikuwa ana muombea na Mungu alishughulika na Sauli...so nakushauri ndg mambo ya kirohoa usitumie Msuli wa MwiliNi Bahati Mbaya sana haya yanatokea tukiwa hai, kanisa linanajisiwa Na Kiongozi wa juu. Wachangiaji wanakurupuka kwa Kuwa wamezoea kutumika. Hii sio Mara ya kwanza jwa habari Hizi katika Kanisa hili limeshamumbwa na kasha favorite Za namna hii Kwa Muda mrefu, Jerry mngwamba tuko wapi Leo hii? Alikua anatembea na washirika, kingomela na mgogoro wa Msasani ni hayo hayo, Huyu wa sasa hii sio kashfa ya kwanza, Ike habari ya Kimada wa kigamboni ilizimwa, Hal wanawake wa kitengo cha wanawake wamefanya nini Kukemea Huo uchafu, sisi washarika tunaanza mkakati wa kuhama Na kuhamisha watoto watu maana Kanisa hakuna maadili, au wote tuhamie Kimara Kwa mastahi maana Ndio kuna unafaa. Askofu mwakabana wewe Ndio ulistahili Nafasi hiyo ya juu, ma askofu wenye hekima vunja hicho kitengo cha wanawake haraka, huyo askofu a humiliate hatua Mara moja.pole sana mama Erika Malasusa dads wa kisukumu ka Hizi aibu zisizo Na Mwisho, kila siku kila Leo ni majeruhi hayo hayo, itisha hicho kitengo cha wanawake ukawatie adabu, wavunja Nyumba Za watu hao, Na huyo askofu Malasusa ashutakiwe mahakamani, Makonda anatumiaje jeshi la polisi Kubeba mambo hayo wakati Kinondoni umezidiwa Na uhakifu Kwa sasa?
Tunathibitishaje kama kweli walimpigia simu...na..kumtumia msa..unajua lengo la kuandikwa hii habari?....Msipende kufurahia matatizo ya Watumkuu alipigiwa sim alipoambiwa ni mwanahalisi akakata sim, alipotumiwa sms hakujib, ulitaka habari isitoke?
sema hoja ya msingi ingekuwa nw dayz mwanahalisi wanaandika habar za udaku?
Jamani watu wa Mungu mbona mmekuwa mashetani?
mkuu alipigiwa sim alipoambiwa ni mwanahalisi akakata sim, alipotumiwa sms hakujib, ulitaka habari isitoke?
sema hoja ya msingi ingekuwa nw dayz mwanahalisi wanaandika habar za udaku?
Mkuu tuwape pole sana hao maaskofu wenye haiba kama ya Malasusa, wanajifanya wanyenyekevu kumbe ni moto wa kuotea mbali!Nani alikudanganya kuwa maaskofu ni watu Wa Mungu? Mungu ni wa wote, soma Yeremia 32:26.
Hao maaskofu na wachungaji mnaowaamini Sana Kama watu sahihi katika jamii ni wahuni Kama wahuni wengine mnaokaa nao kijiweni, ni huyo hayawani Malasusa ni mchache Sana Kati ya ushenzi mwingi unaofanywa na wenzake ambao hawajulikani.
Ole wao maana Mungu hadhihakiwi hata kidogo, sisi yetu macho.
Hata mimi nimeshtukia hiyo issue.Inaonekana haya watoto ni wa baba askofu malasusa
Kkkt wanaoa kaka na malasusa ana mke kabisa labda kama wametibuanaAma kweli binadamu huwezi kwenda kinyume na maumbile, maaskofu oeni au kama vipi mhasiwe basi!
Sana mkuu!...ABRA CADABRA...!?
SHETANI NI MWENYE NGUVUUU..!
Mkuu umeniibia wazo asee yawezekana baba askofu alikua analindiwa mzigo wake muda mrefu tu. Jamaa limestuka ndo ataka kumpeleka ujerumaniInaonekana haya watoto ni wa baba askofu malasusa
Wa KKKT wanaoa wewe wacha kukariri. Hoja yako ni hewa unafikiri kutokuoa ndo sababu ya uzinzi, sasa huyu ana mke na watoto. Jadilini kwa hekima kama ni kweli amefanya kosa basi ni yeye na si kanisa.Ama kweli binadamu huwezi kwenda kinyume na maumbile, maaskofu oeni au kama vipi mhasiwe basi!