Sakata la Askofu Alex Malasusa lachukua Sura Mpya, Watoto Watoroshwa

Wanaume wengi hawajafahamu psychology behind ugomvi unapoingia kati ya mume na mke. Mara nyingi wanaume mwanzoni mwa mahusiano huwa na msaada mkubwa kwa wanawake, either unamsapoti asome au aongeze mtaji wa biashara na unampatia bila kujali chochote bali ni kwa upendo tu na kuona kama unawajibika kumsaidia mkeo ili apande daraja.

Katika kufanya hayo mwanaume waweza kuwa una control sana mkeo na family, ni ngumu sana kujua nini mkeo anafanya on your back ila siku utakuja kustukia hata watoto sio wako

Sasa ili asipate aibu atahakikisha mnagombana sana to the extent wewe mwanaume unaingia kwenye najaribu ya kutaka kutumia ubabe, ukiingia hiyo stage mwanamke anakuwa anajua kabisa ila atakuletea hata rungu halafu anakwambia KAMA WEWE NI MWANAUME KWELI SASA NIPIGE, my friend ukiona mpo hiyo stage fungua mlango, washa gari, nenda kanisani if not bar au tafuta kazi kalime shamba kaa huko japo wiki halafu utapata solution ila ukirogwa umpige itakuwa imekula kwako. Atahakikisha anakulebo kuwa wewe ni women abuser notwithstanding mema uliyoyatenda kwake na nduguze wote.

Hapo familia yake watakusema sana na utahisi dunia imekuangukia na waweza kujikuta na msongi mkubwa wa mawazo

Wakati huo unakuta jamaa anaekula mkeo anafahamiana na mkuu wa polisi au waziri wa jinsia na watoto utapotezwa ilimradi huyu mwanamke asionekane makosa yake

Nashauri wanaume tuombe sana busara pale tunapopatwa na mikasa kwenye ndoa maana hakuna anayekutuma ukapige mkeo basi ni msukumo tu pengine sababu ya mfumo tuliokuta kwenye jamii ila ni vema kukimbia matatizo ili kama mkeo ndio mwenye makosa basi itakuja kufahamika tu
Mkuu asante sana kwa somo mujarab-kwa kweli umekoleza mistari.
 
Hivi kwa nini mnamtetea sana malasusa hawezi fanya hayo? Kwani yeye ni nani? Kwa mungu alie bora ni yule atendae mema tu, hata uwe nani,nashangaa watu na akill zao wanamtetea sana,tena wengine wanadiriki kumuita baba,wakati biblia imekataza kumuita kiumbe baba.la msingi tunyamaze tuone mwishoe itaakuaje katika sakata hili.
Au kuwatetea viongozi wa kanisa ni sehemu ya mafundisho?
Hata mi ninawashangaa sana wanaomtete kwani yeye siyo mwanadamu, kila mwanadamu ni mdhaifu mbona mchungaji gwajima alinitombea demu wangu.
 
KKKT ITASIMAMA DAIMA KKKT NI ZAIDI YA MTU wanaotumia Hilo scandal kulichafua kanisa washindwe Na walegee. May God bless KKKT with her all firms . Amen
 
Kama askofu alimtumia makonda kumfungulia kesi mume wa mchungaji hawara wa askofu, huyu mume nae amtumie makonda kuwataarifu askari kuwa askofu kaiba watoto wa mtuhumiwa, ndio si makonda anajali ulinzi na usalama wa raia wake? basi isiwe kwa wakubwa tu hata wanyonge pia, watoto wamepotea ni wananchi wake wa Dar. Na kumsaidia makonda baba wa watoto akatoe taarifa kwenye TV watoto watangazwe kupotea.
Me hata sielewi Jaman.... Naomba kueleweshwa..!!
 
Mbona story haieleweki? Mtumishi kaiba watoto kivipi? Mbona ana mke wa ndoa na watoto? Hili jina kubwa lina wafuasi wengi wekeni story vizuri siyo kimbeya Mbeya.
Hili sakata lipo hapa siku KADHAA PEKUA UTALIONA TANGU MWANZO
 
hiyo ni miratul muhammad...alimuweka mkao gani a'sha? kijamaa kwa uchu noma..hahahahaaa..

Usi panic, mbona uozo wa wachungaji upo mwingi tu, pata na hii:

FRIDAY, 19 JULY 2013

Na Kelvin Lameck
JESHI la Polisi Kituo cha Stakishari Ukonga jijini Dar es Salaam linamshilikia kwa uchunguzi Mchungaji wa Kanisa moja la Kilokole (jina tunalihifadhi) kwa tuhuma za kuwalawiti kwa nyakati tofauti watoto watatu.

Mbali ya mchungaji huyo kushikiliwa katika kituo hicho, wapo watuhumiwa wengine wawili mmoja akiwa ni mdogo wake mtumishi huyo wa Mungu na msichana aliyekuwa akiwapeleka watoto hao kufanyiwa unyama huo. Vitendo hivyo vinadaiwa vimekuwa vikifanywa na mchungaji huyo kwa nyakati tofauti maeneo ya Ukonga Moshi Bar jijini Dar es Salaam.

Endelea...

Ofisa mmoja wa Jeshi la Polisi wa kituo hicho aliyejitambulisha kuwa ni mkuu wa utawala hakuwa tayari kuthibitisha tukio hilo zaidi ya kusema hajui chochote kutokana na kituo hicho kuwa na matukio mengi.

“Sijui chochote kuhusiana na tukio hilo. Hapa kituoni kuna matukio mengi na mimi si msemaji,” alisema ofisa huyo.

Akizungumza na Jambo Leo, Polisi Jamii aliyeshiriki kuwakamata watuhumiwa hao (jina tunalihifadhi) alithibitisha kuwepo kwa tukio hilo na kwamba watuhumiwa watatu wanashikiliwa katika kituo hicho.

“Tukio hilo lipo, juzi tulimkamata msichana mmoja (jina tunalo) aliyekuwa akimpelekea watoto hao mchungaji huyo ili akawalawiti,” alisema polisi jamii huyo.

Alidai kuwa mchungaji alianza vitendo hivyo muda mrefu, ambapo mwanzoni mwa mwaka huu, alimfanyia msichana huyo ambaye anashikiliwa katika kituo hicho akidaiwa kuwapeleka watoto hao kwa mchungaji huyo.

Polisi huyo alidai kuwa katika tukio hilo la kwanza, lilisuluhishwa na wahusika na kumalizwa kimya kimya, ambapo aliendelea kufanya vitendo hivyo kwa watoto wengine.
Aliweka wazi kuwa kukamatwa kwa mchungaji huo kulitokana na watoto hao kuvujisha siri hiyo baada ya kubanwa na kukiri kufanyiwa mchezo huo mchafu.

Juzi na jana gazeti hili lilifanya jitihada za kumtafuta Kamanda wa Polisi Mkoa wa kipolisi Ilala ili athibitishe tukio hilo, lakini hazikuzaa matunda baada ya kupigwa simu yake mara kadhaa ambapo alikuwa akisema apigiwe baadaye yupo msibani.

Naye Abdallah Amiri, anaripoti kutoka Igunga kuwa Jeshi la Polisi Wilaya ya Igunga mkoani Tabora, linamshikilia Timotheo Elikana (41) mkazi wa Kijiji cha Mwanzugi, Kata ya Igunga kwa tuhuma za kumbaka mwanae wa kike mwenye umri wa miaka 15.

Akiwa kituo cha Polisi cha Igunga, Maria Philipo ambaye ni mama wa mtoto huyo, aliwaambia waandishi wa habari jana kuwa tukio hilo lilitokea Julai 15, 2013, majira ya nne usiku wakiwa nyumbani kwao.

“Nilimuona mume wangu akinyata taratibu na kuingia katika chumba ambacho alikuwa amelala mtoto huyu akiwa na mdogo wake. Baada ya kufika chumbani alianza kumbaka mtoto,” alieleza Philipo.

Alisema baada ya mtoto huyo kupiga kelele, mtuhumiwa huyo alitoka katika chumba hicho akiwa utupu na kurudi katika chumba ambacho hulala na mkewe.

“Sikujua anakwenda kufanya nini, kwa sababu mume wangu huwa anatabia ya kuingia katika chumba cha watoto wakiwa wamelala, hivyo sikuwa na mawazo kwamba anakwenda kufanya unyama huo.

“Hili ni tukio la pili kwani wakati tukiwa Wilaya ya Kiomboi mkoani Singida pia mume wangu alimbaka mtoto huyu na nilikwenda kulipoti kituo cha polisi, polisi walipokwenda kumkamata alikimbia.

“Mume wangu amemkatisha mwanangu masomo ya shule ya msingi. Kwani mwaka juzi alikuwa anasoma Shule ya Msingi Kiomboi darasa la sita na angehitimu mwaka jana, lakini kwa sababu ya kufanyiwa kitendo hicho na baba yake aliamua kutoroka na kwenda kuishi Dar es Salaam.

“Mimi nimechoka na vitendo vya kinyama anavyovifanya mume wangu kwa binti yangu huyu mdogo, hivyo naomba sheria ifuate mkondo wake ili liwe fundisho kwa wengine wenye tabia kama hizi na pia asirudie,” alisema mama huyo huku akitiririsha machozi.
Mkuu wa Kituo cha Polisi Wilaya ya Igunga, Abeid Maige alithibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema kuwa mtuhumiwa huyo bado anashikiliwa na atafikishwa mahakamani mara baada ya upelelezi kukamilika ili akajibu tuhuma zinazomkabili

meck lameck at 13:28
 
Yale Yale ya Gwajima. Mbona wanawake vigori ni wengi tu, nini kujihangaisha na limke la mtu?!
 
Yesu allitwa mchawi, mwenye pepo na majina kadhaa lakini hakuwai kuitwa mzinzi ndo maana akasema uesherati usitajwe kwenu kamwe sio kufanya Bali hatua kutajwa tu ni tatizo
 
Huyu Sayed Kubeneasalam hawajui waliompigia kura mpaka anamchafua kiasi hiki Kiongozi wao wa Kiroho. Anawakilisha maslahi ya nani ktka hili, Mafisadi ambao Askofu amekuwa akiwakemea auni Siasa chafu?. He is just fighting a loosing war to tarnish the image of our spiritial leader. Kanisa limekuwepo jana na leo na kesho lipo tu na linakua. Hivi Mh. Mbowe anayekaa viti vya mbele pale KKKT St Joseph kama alivukuwa Mareh baba yake Aikaeli ameshindwaje kuliona hili taka linalopikwa na Mbungi wake? Same thing! We stand unmoved by your mud slinging campaign, We love our Bishop!
Anachafuliwa?una uhakika??wee ndie msemaji wake?na kwa nini askofu asifanye hivyo wakati ni binaadamu kama wewe?[/QUOTE]
Kwahiyo kubenea amepata ubunge kwa kura za kanisa KKKT?au ni walutheri tu ndio walikuwa wapiga kura?yaani askofu wenu anapogeuka SHETANI hamutaki asemwe?.
Kwahiyo nyie waumini ama watumwa wa bwana wenu?kumkosea mungu akiganya kiongozi huwa inageuka sawa?
We lofa sana katika malofa.
 
Ama kweli binadamu huwezi kwenda kinyume na maumbile, maaskofu oeni au kama vipi mhasiwe basi!
Walutheri wanaoa ndugu ila tu,kama ni mzinifu hata uoe wake elfu moja bado utazini tuu maana jasiri haachi asiri.Ole wake yule asalitie kiapo maana avunja agano lake na baba aliye juuu
 
Yawezekanaje usingiziwe kiasi hicho usishitaki popote? Baraza la habari, mahakamani vyote vipo. Mwisho uwongo unakuwa ukweli. Au uchaguzi kkkt umemaribia?
 
Usi panic, mbona uozo wa wachungaji upo mwingi tu, pata na hii:

FRIDAY, 19 JULY 2013

Na Kelvin Lameck
JESHI la Polisi Kituo cha Stakishari Ukonga jijini Dar es Salaam linamshilikia kwa uchunguzi Mchungaji wa Kanisa moja la Kilokole (jina tunalihifadhi) kwa tuhuma za kuwalawiti kwa nyakati tofauti watoto watatu.
Mbali ya mchungaji huyo kushikiliwa katika kituo hicho, wapo watuhumiwa wengine wawili mmoja akiwa ni mdogo wake mtumishi huyo wa Mungu na msichana aliyekuwa akiwapeleka watoto hao kufanyiwa unyama huo. Vitendo hivyo vinadaiwa vimekuwa vikifanywa na mchungaji huyo kwa nyakati tofauti maeneo ya Ukonga Moshi Bar jijini Dar es Salaam.

Endelea........
Ofisa mmoja wa Jeshi la Polisi wa kituo hicho aliyejitambulisha kuwa ni mkuu wa utawala hakuwa tayari kuthibitisha tukio hilo zaidi ya kusema hajui chochote kutokana na kituo hicho kuwa na matukio mengi.
“Sijui chochote kuhusiana na tukio hilo. Hapa kituoni kuna matukio mengi na mimi si msemaji,” alisema ofisa huyo.
Akizungumza na Jambo Leo, Polisi Jamii aliyeshiriki kuwakamata watuhumiwa hao (jina tunalihifadhi) alithibitisha kuwepo kwa tukio hilo na kwamba watuhumiwa watatu wanashikiliwa katika kituo hicho.
“Tukio hilo lipo, juzi tulimkamata msichana mmoja (jina tunalo) aliyekuwa akimpelekea watoto hao mchungaji huyo ili akawalawiti,” alisema polisi jamii huyo.
Alidai kuwa mchungaji alianza vitendo hivyo muda mrefu, ambapo mwanzoni mwa mwaka huu, alimfanyia msichana huyo ambaye anashikiliwa katika kituo hicho akidaiwa kuwapeleka watoto hao kwa mchungaji huyo.
Polisi huyo alidai kuwa katika tukio hilo la kwanza, lilisuluhishwa na wahusika na kumalizwa kimya kimya, ambapo aliendelea kufanya vitendo hivyo kwa watoto wengine.
Aliweka wazi kuwa kukamatwa kwa mchungaji huo kulitokana na watoto hao kuvujisha siri hiyo baada ya kubanwa na kukiri kufanyiwa mchezo huo mchafu.
Juzi na jana gazeti hili lilifanya jitihada za kumtafuta Kamanda wa Polisi Mkoa wa kipolisi Ilala ili athibitishe tukio hilo, lakini hazikuzaa matunda baada ya kupigwa simu yake mara kadhaa ambapo alikuwa akisema apigiwe baadaye yupo msibani.

Naye Abdallah Amiri, anaripoti kutoka Igunga kuwa Jeshi la Polisi Wilaya ya Igunga mkoani Tabora, linamshikilia Timotheo Elikana (41) mkazi wa Kijiji cha Mwanzugi, Kata ya Igunga kwa tuhuma za kumbaka mwanae wa kike mwenye umri wa miaka 15.
Akiwa kituo cha Polisi cha Igunga, Maria Philipo ambaye ni mama wa mtoto huyo, aliwaambia waandishi wa habari jana kuwa tukio hilo lilitokea Julai 15, 2013, majira ya nne usiku wakiwa nyumbani kwao.
“Nilimuona mume wangu akinyata taratibu na kuingia katika chumba ambacho alikuwa amelala mtoto huyu akiwa na mdogo wake. Baada ya kufika chumbani alianza kumbaka mtoto,” alieleza Philipo.
Alisema baada ya mtoto huyo kupiga kelele, mtuhumiwa huyo alitoka katika chumba hicho akiwa utupu na kurudi katika chumba ambacho hulala na mkewe.
“Sikujua anakwenda kufanya nini, kwa sababu mume wangu huwa anatabia ya kuingia katika chumba cha watoto wakiwa wamelala, hivyo sikuwa na mawazo kwamba anakwenda kufanya unyama huo.
“Hili ni tukio la pili kwani wakati tukiwa Wilaya ya Kiomboi mkoani Singida pia mume wangu alimbaka mtoto huyu na nilikwenda kulipoti kituo cha polisi, polisi walipokwenda kumkamata alikimbia.
“Mume wangu amemkatisha mwanangu masomo ya shule ya msingi. Kwani mwaka juzi alikuwa anasoma Shule ya Msingi Kiomboi darasa la sita na angehitimu mwaka jana, lakini kwa sababu ya kufanyiwa kitendo hicho na baba yake aliamua kutoroka na kwenda kuishi Dar es Salaam.
“Mimi nimechoka na vitendo vya kinyama anavyovifanya mume wangu kwa binti yangu huyu mdogo, hivyo naomba sheria ifuate mkondo wake ili liwe fundisho kwa wengine wenye tabia kama hizi na pia asirudie,” alisema mama huyo huku akitiririsha machozi.
Mkuu wa Kituo cha Polisi Wilaya ya Igunga, Abeid Maige alithibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema kuwa mtuhumiwa huyo bado anashikiliwa na atafikishwa mahakamani mara baada ya upelelezi kukamilika ili akajibu tuhuma zinazomkabili

meck lameck at 13:28
Anachafuliwa?una uhakika??wee ndie msemaji wake?na kwa nini askofu asifanye hivyo wakati ni binaadamu kama wewe?
Kwahiyo kubenea amepata ubunge kwa kura za kanisa KKKT?au ni walutheri tu ndio walikuwa wapiga kura?yaani askofu wenu anapogeuka SHETANI hamutaki asemwe?.
Kwahiyo nyie waumini ama watumwa wa bwana wenu?kumkosea mungu akiganya kiongozi huwa inageuka sawa?
We lofa sana katika malofa.[/QUOTE]
umeelewa nilipo kufahamisha kwamba vitendo hivyo ni miratul muhammadi!; hebu rejea kitendo alicho mfanyia a'isha, safiyah, mwanae zaid,...na mmeagizwa kwamba yeye ni kigezo chenu chema! jee allah hakuwaagiza hilo? Leo wewe unawaalani wanaomfuata Muhammad kwa vitendo deen! baadala ya kupiga takbir kubwa kuwapongeza wanavyo mgeza hatma nabii..unawalaumu! why?afu unajiita imuislam..hahahahahaa..hapo walahi inadhihirisha wewe ni Mkristo safi; sababu hicho unacho fundisha ni mafundisho ya Yesu..Hivi umri huo bado hujui deen/Imani bila matendo yake imekufa? hapa chagua Leo utakaye Mtumikia kati ya allah IMA Yehova, hakuna neutral ground!
 
Ama kweli binadamu huwezi kwenda kinyume na maumbile, maaskofu oeni au kama vipi mhasiwe basi!
Kwani nani kakwambia hajaoa? Waprotestanti wanaoa lakini ndio mabingwa wa uzinzi kuliko ata mapadri.
 
Back
Top Bottom