Sakata la Bandari: Hayati Magufuli apewe maua yake

Kwani hiyo clip ameongelea bandari ya Dar?
Hapo alikua anaongelea bandari ya Bagamoyo,

Mleta mada kwani wewe thd yako imelenga kuongelea Bandari gani?
Kama aina ya mikataba inafanana hapo automatically ameizungumzia
 
Kwanini ibinafsishwe, kama ni swala la utendaji wanaweza kutunga tu Sheria itakayosimamia vema utendaji
 
Ameua

Jiwe ni jini mbwa asiyesafishika. Hqngaika uwezavyo hatosafishika. Ndiyo maana ni mwaka wa pili tu lkn kishasahaulikw na kumbukizi yake ilipuuzwa na serikali.

Hakuna kulienzi shetwani hili
Hawezi kusafishika kwa nyie vyeti feki, wakwepa kodi, wadhulumaji, wapigaji, wanasiasa matapeli,wauza madawa ya kulevya, mashoga ila sisi tutamkumbuka nafsini
 
Safi sana
 
Inategemeana unazungumzia ujamaa wa aina ipi, kumpa tenda mtu ambaye unaiterest naye hiyo pia ni ujamaa. Unachukia ujamaa wa wenye kipato kidogo kuungana huku unasifia kuwa ujamaa wa wakubwa kuungana huku wakiwazuia wenye kipato kidogo kuungana kwa kuhofia hawatapata faida
 
Ujamaa ni upuuzi hakuna Cha aina ipi wale Ile
 
Endeleeni kung'ang'ania upumbavu au la hasha Kuna maslahi ya directly unapata kwenye inefficiency ya Bandari ya Dar..

Mwendazake kwangu ni empty set Sina Cha kujifunza pale hamna kitu
Inefficiency ya bandari inasababishwa na nini.
 
Unaonaje tukibinafsisha taasisi ya Urais
 
NATO ni ujamaa au siyo ujamaa
 
Ni wapuuzi wanaofurahia assert muhimu za nchi kupigwa bei hata nchi za ulaya hawafanyi hivyo
 
Ni wapuuzi wanaofurahia assert muhimu za nchi kupigwa bei hata nchi za ulaya hawafanyi hivyo
Kama Nchi gani hiyo ambayo haijabonafsisha Bandari?

Mpuuzi ni wewe ambae unafurahia kutamka neno asset wakati hatunugaiki nayi Bali kakikundi ka majizi kama wewe.
 
Kama Nchi gani hiyo ambayo haijabonafsisha Bandari?

Mpuuzi ni wewe ambae unafurahia kutamka neno asset wakati hatunugaiki nayi Bali kakikundi ka majizi kama wewe.
Bandari za china anazimiliki nani?badala ya kuweka wataalam wenye vigezo bandarini na kwenda kujifunza namna ya uendeshaji wa bandari kwenye nchi zilizoendelea tunabinafsisha kila kitu?angalia mashirika a
Yaliyobinafsishwa Leo zipo wapi?huyo Mama siku zake zimekaribia ataondolewa soon kwa aibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…