Sakata la BANDARI ZETU na DPW linataka kuliingiza Taifa kwenye umwagaji wa damu!?

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
Cancer inapojitokeza mguuni ujue ilishasambaa sehemu kubwa ya huo mguu .. Mtu anapoumwa malaria huo ni mchakato wa zaidi ya wiki tangu siku alipoumwa na umbu mwenye vimelea!

Sakata la bandari zetu na Dpw sio la jana wala la juzi lina zaidi ya mwaka! Limekuja kuwa wazi baada ya hatua za utekelezaji kuanza ndio wananchi wameanza kujua yaliyomo yamo na kuleta taharuki kubwa!

Ukiachana na sisi keyboard warriors huku mitandaoni kuna waliotuzidi uthubutu na kuondoa woga na kuamua kuhoji waziwazi kinachoendelea na hata kutoa wayforward wa nini kifanyike kulinusuru taifa na hili zimwi

Hawa sasa ndio wamezidisha taharuki huko mamlakani kwakuwa sasa kadiri siku zinavyosonga wananchi wameanza kuwaelewa na kuendelea kuwapa uungaji mkono mkubwa!
Ni wazi sasa uvumilivu unawaishia kwa kasi ya kimondo washika dau wasiojitokeza waziwazi kwenye hili sakata na badala yake wameanza kuwatisha wale wote wanaolishikia bango kwa uwazi hili jambo

Hivi si vitisho vya kupuuza bali ni vitisho vyenye ujumbe wa kuogofya ili litakapitimia wengine waufyate, wakae kimya!
Kuanzia kesho hali inaweza kuwa ngumu sana kwa pande zote mbili.. Kwa wanaohoji wenye uungwaji mkono na wananchi na waotaka hili jambo litimie.. Ni ngumu kutabiri lakini inaweza kudondoshwa roho moja na ikazaa mlipuko mkubwa ama inaweza kudondoshwa roho moja na kukatokea makosa fulani yatakayosababisha hata wahusika wageukane wenyewe kwa wenyewe

Haya yakitokea ili kuzima kama ni uasi ama kunyamazishana ama kuadabishana kuna nguvu za ziada zinaweza kutumika na kusababisha umwagaji wa damu.. Hili si jambo la kuombea hata kidogo lakini bado kuna upande una nafasi kubwa wa kulifanya hili lisitokee

Tuzidi kuliombea taifa na kuwaombea wote wenye mapenzi mema na Tanganyika yetu...[emoji1545]
Screenshots_2023-07-08-04-03-39.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuzidi kuliombea taifa na kuwaombea wote wenye mapenzi mema na Tanganyika yetu...[emoji1545]View attachment 2682900

Sent using Jamii Forums mobile app
Shida ule si uwekezaji bali ni uchukuaji
 
"Usijali NDUGU, anachechemea KWA mguu wa kushoto"alisikika kichaa MMOJA HIVI!!
 
Cash money.. Halafu wajomba wakagawana[emoji24]

Sent using Jamii Forums mobile app

Yaani kwanza $500M wakavuta ikagawiwa kidogo yanga na simba za magoli kupoteza maboya, halafu wajomba wakajimwaga benki ya dunia na andiko la kuendeleza bandari wakachota $450M , hapo imekua $950M , halafu miezi saba baadae unaambiwa hawana ufanisi wanabinafsisha wawe wanachukua mgao hivo wanasusa bahari na maziwa makuu yote, mrema alikua anasema hii nji ngumu sana
 
Hayo MAGAZIJUTO utadhani mwendokasi umevamia reli na kudhani ndio njia yake [emoji23]
20230709_144046.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
selikali ishasema itayafanyia kazi maoni ya watu. ila wanatokea watu wanaendelea kueneza chuki. mimi nasema watangulizwe tu. bora wachache wafe ili wengi wabaki salama ukizingatia wengine wanaochochea vurugu familia zao wana uraia wa marekani.
 
Back
Top Bottom