Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
- Thread starter
- #41
Iuzwe tu sisi tunataka hela tu na mama nae tunamuamini ni MLEZI wetu mwema
Kelele za Nini
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Iuzwe tu sisi tunataka hela tu na mama nae tunamuamini ni MLEZI wetu mwema
Kelele za Nini
Muhimu mtutunze ili tusiwe vilema au maiti kwani hatutaweza kuwapigia kura.Kuna watu wanadhani ikizuka vita au machafuko basi watapewa wao nafasi ya kuongoza.
Kama ikitokea mkachukua uongozi kumbuka dhambi ileile mliyokuwa mbawafanyia waliopo sasa itawageukia.
Kumbuka pia madeni yote mtatakiwa kuyalipa na sisi wananchi tutahitaji ustawi zaidi ya uliokuwepo maana tutakuwa bado na kichinjio vinginevyo mtadumu msimu mmoja.
Muhimu mtutunze ili tusiwe vilema au maiti kwani hatutaweza kuwapigia kura.
Kwa hili wataka mabadiliko wamefanya kosa moja kubwa sana. Wamewagawa wataka mabadiliko wenzao.Cancer inapojitokeza mguuni ujue ilishasambaa sehemu kubwa ya huo mguu .. Mtu anapoumwa malaria huo ni mchakato wa zaidi ya wiki tangu siku alipoumwa na umbu mwenye vimelea!
Sakata la bandari zetu na Dpw sio la jana wala la juzi lina zaidi ya mwaka! Limekuja kuwa wazi baada ya hatua za utekelezaji kuanza ndio wananchi wameanza kujua yaliyomo yamo na kuleta taharuki kubwa!
Ukiachana na sisi keyboard warriors huku mitandaoni kuna waliotuzidi uthubutu na kuondoa woga na kuamua kuhoji waziwazi kinachoendelea na hata kutoa wayforward wa nini kifanyike kulinusuru taifa na hili zimwi
Hawa sasa ndio wamezidisha taharuki huko mamlakani kwakuwa sasa kadiri siku zinavyosonga wananchi wameanza kuwaelewa na kuendelea kuwapa uungaji mkono mkubwa!
Ni wazi sasa uvumilivu unawaishia kwa kasi ya kimondo washika dau wasiojitokeza waziwazi kwenye hili sakata na badala yake wameanza kuwatisha wale wote wanaolishikia bango kwa uwazi hili jambo
Hivi si vitisho vya kupuuza bali ni vitisho vyenye ujumbe wa kuogofya ili litakapitimia wengine waufyate, wakae kimya!
Kuanzia kesho hali inaweza kuwa ngumu sana kwa pande zote mbili.. Kwa wanaohoji wenye uungwaji mkono na wananchi na waotaka hili jambo litimie.. Ni ngumu kutabiri lakini inaweza kudondoshwa roho moja na ikazaa mlipuko mkubwa ama inaweza kudondoshwa roho moja na kukatokea makosa fulani yatakayosababisha hata wahusika wageukane wenyewe kwa wenyewe
Haya yakitokea ili kuzima kama ni uasi ama kunyamazishana ama kuadabishana kuna nguvu za ziada zinaweza kutumika na kusababisha umwagaji wa damu.. Hili si jambo la kuombea hata kidogo lakini bado kuna upande una nafasi kubwa wa kulifanya hili lisitokee
Tuzidi kuliombea taifa na kuwaombea wote wenye mapenzi mema na Tanganyika yetu...[emoji1545]View attachment 2682900
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao wajinga waliokanyagwa migogoni na Nape unadhani wana akili.Hujaona mabango kwa waziri mkuu Mtwara, wananchi wanataka DP World hata kule Mtwara
Mbona sasa ni kama unachanganya mada hapaKwa hili wataka mabadiliko wamefanya kosa moja kubwa sana. Wamewagawa wataka mabadiliko wenzao.
Nasubiri siku ya maandamano ni lini ya slaa, maandamano ya chadema, halafu kuna wanamabadiliko wa naounga mkono mwarabu.
Hata akichukua bure hakuna mbaya. Kama wapinga mkataba wa bandari hawaoni mbaya kwa migodi ya madini. Maadam yuko mzungu
Wengine walishasema watoto wao ni raia wa USA sasa tudanganyike kufuata upuuzi wao.Cancer inapojitokeza mguuni ujue ilishasambaa sehemu kubwa ya huo mguu .. Mtu anapoumwa malaria huo ni mchakato wa zaidi ya wiki tangu siku alipoumwa na umbu mwenye vimelea!
Sakata la bandari zetu na Dpw sio la jana wala la juzi lina zaidi ya mwaka! Limekuja kuwa wazi baada ya hatua za utekelezaji kuanza ndio wananchi wameanza kujua yaliyomo yamo na kuleta taharuki kubwa!
Ukiachana na sisi keyboard warriors huku mitandaoni kuna waliotuzidi uthubutu na kuondoa woga na kuamua kuhoji waziwazi kinachoendelea na hata kutoa wayforward wa nini kifanyike kulinusuru taifa na hili zimwi
Hawa sasa ndio wamezidisha taharuki huko mamlakani kwakuwa sasa kadiri siku zinavyosonga wananchi wameanza kuwaelewa na kuendelea kuwapa uungaji mkono mkubwa!
Ni wazi sasa uvumilivu unawaishia kwa kasi ya kimondo washika dau wasiojitokeza waziwazi kwenye hili sakata na badala yake wameanza kuwatisha wale wote wanaolishikia bango kwa uwazi hili jambo
Hivi si vitisho vya kupuuza bali ni vitisho vyenye ujumbe wa kuogofya ili litakapitimia wengine waufyate, wakae kimya!
Kuanzia kesho hali inaweza kuwa ngumu sana kwa pande zote mbili.. Kwa wanaohoji wenye uungwaji mkono na wananchi na waotaka hili jambo litimie.. Ni ngumu kutabiri lakini inaweza kudondoshwa roho moja na ikazaa mlipuko mkubwa ama inaweza kudondoshwa roho moja na kukatokea makosa fulani yatakayosababisha hata wahusika wageukane wenyewe kwa wenyewe
Haya yakitokea ili kuzima kama ni uasi ama kunyamazishana ama kuadabishana kuna nguvu za ziada zinaweza kutumika na kusababisha umwagaji wa damu.. Hili si jambo la kuombea hata kidogo lakini bado kuna upande una nafasi kubwa wa kulifanya hili lisitokee
Tuzidi kuliombea taifa na kuwaombea wote wenye mapenzi mema na Tanganyika yetu...[emoji1545]View attachment 2682900
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmeanza kujitokeza mdogo mdogoselikali ishasema itayafanyia kazi maoni ya watu. ila wanatokea watu wanaendelea kueneza chuki. mimi nasema watangulizwe tu. bora wachache wafe ili wengi wabaki salama ukizingatia wengine wanaochochea vurugu familia zao wana uraia wa marekani.
Wanahitajika kina Mwijaku au sio?Kuna.baadhi ya watu wanapotosha jamii ni mbaya sana.hawahitajiki katika.taifa hli
TAnGAnYIKa yetu irejeshwe na Mali zake zilindweHapo mwisho umemalizia vyema sana mkuu.
Waombeeni wale waliouza nchi na wenye mioyo migumu isiyotaka kubadilika kwa urahisi kuendana na wakati au mazingira ili wasikie maoni, ushauri na vilio vya wenzao wanaolilia haki zao.Cancer inapojitokeza mguuni ujue ilishasambaa sehemu kubwa ya huo mguu .. Mtu anapoumwa malaria huo ni mchakato wa zaidi ya wiki tangu siku alipoumwa na umbu mwenye vimelea!
Sakata la bandari zetu na Dpw sio la jana wala la juzi lina zaidi ya mwaka! Limekuja kuwa wazi baada ya hatua za utekelezaji kuanza ndio wananchi wameanza kujua yaliyomo yamo na kuleta taharuki kubwa!
Ukiachana na sisi keyboard warriors huku mitandaoni kuna waliotuzidi uthubutu na kuondoa woga na kuamua kuhoji waziwazi kinachoendelea na hata kutoa wayforward wa nini kifanyike kulinusuru taifa na hili zimwi
Hawa sasa ndio wamezidisha taharuki huko mamlakani kwakuwa sasa kadiri siku zinavyosonga wananchi wameanza kuwaelewa na kuendelea kuwapa uungaji mkono mkubwa!
Ni wazi sasa uvumilivu unawaishia kwa kasi ya kimondo washika dau wasiojitokeza waziwazi kwenye hili sakata na badala yake wameanza kuwatisha wale wote wanaolishikia bango kwa uwazi hili jambo
Hivi si vitisho vya kupuuza bali ni vitisho vyenye ujumbe wa kuogofya ili litakapitimia wengine waufyate, wakae kimya!
Kuanzia kesho hali inaweza kuwa ngumu sana kwa pande zote mbili.. Kwa wanaohoji wenye uungwaji mkono na wananchi na waotaka hili jambo litimie.. Ni ngumu kutabiri lakini inaweza kudondoshwa roho moja na ikazaa mlipuko mkubwa ama inaweza kudondoshwa roho moja na kukatokea makosa fulani yatakayosababisha hata wahusika wageukane wenyewe kwa wenyewe
Haya yakitokea ili kuzima kama ni uasi ama kunyamazishana ama kuadabishana kuna nguvu za ziada zinaweza kutumika na kusababisha umwagaji wa damu.. Hili si jambo la kuombea hata kidogo lakini bado kuna upande una nafasi kubwa wa kulifanya hili lisitokee
Tuzidi kuliombea taifa na kuwaombea wote wenye mapenzi mema na Tanganyika yetu...[emoji1545]View attachment 2682900
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji419][emoji375]Mshana JR
ungewa mchezaji wewe ni Messi
Warudishe, Hata kama mshenga ametokomea nacho, Mbaraka Mwinyishehe aliwahi kukumbana na Hali kama hiii na mshenga wake na akaahidi mwezi wa sita atafika huko Ukweni!!!Shida kubwa zaidi walishatoa na kishika uchumba na kilishapokelewa na kuliwa chote
Sent using Jamii Forums mobile app