Sakata la BANDARI ZETU na DPW linataka kuliingiza Taifa kwenye umwagaji wa damu!?

Cancer inapojitokeza mguuni ujue ilishasambaa sehemu kubwa ya huo mguu .. Mtu anapoumwa malaria huo ni mchakato wa zaidi ya wiki tangu siku alipoumwa na umbu mwenye vimelea!

Sakata la bandari zetu na Dpw sio la jana wala la juzi lina zaidi ya mwaka! Limekuja kuwa wazi baada ya hatua za utekelezaji kuanza ndio wananchi wameanza kujua yaliyomo yamo na kuleta taharuki kubwa!

Ukiachana na sisi keyboard warriors huku mitandaoni kuna waliotuzidi uthubutu na kuondoa woga na kuamua kuhoji waziwazi kinachoendelea na hata kutoa wayforward wa nini kifanyike kulinusuru taifa na hili zimwi

Hawa sasa ndio wamezidisha taharuki huko mamlakani kwakuwa sasa kadiri siku zinavyosonga wananchi wameanza kuwaelewa na kuendelea kuwapa uungaji mkono mkubwa!
Ni wazi sasa uvumilivu unawaishia kwa kasi ya kimondo washika dau wasiojitokeza waziwazi kwenye hili sakata na badala yake wameanza kuwatisha wale wote wanaolishikia bango kwa uwazi hili jambo

Hivi si vitisho vya kupuuza bali ni vitisho vyenye ujumbe wa kuogofya ili litakapitimia wengine waufyate, wakae kimya!
Kuanzia kesho hali inaweza kuwa ngumu sana kwa pande zote mbili.. Kwa wanaohoji wenye uungwaji mkono na wananchi na waotaka hili jambo litimie.. Ni ngumu kutabiri lakini inaweza kudondoshwa roho moja na ikazaa mlipuko mkubwa ama inaweza kudondoshwa roho moja na kukatokea makosa fulani yatakayosababisha hata wahusika wageukane wenyewe kwa wenyewe

Haya yakitokea ili kuzima kama ni uasi ama kunyamazishana ama kuadabishana kuna nguvu za ziada zinaweza kutumika na kusababisha umwagaji wa damu.. Hili si jambo la kuombea hata kidogo lakini bado kuna upande una nafasi kubwa wa kulifanya hili lisitokee

Tuzidi kuliombea taifa na kuwaombea wote wenye mapenzi mema na Tanganyika yetu...[emoji1545]View attachment 2682900

Sent using Jamii Forums mobile app
Una hekima kumzidi Kasim Majaliwa na Mzee WA Msoga
 
natamani tupigane vita kiukweli tumeishachoka sasa ili watakaotangulia tutangulie na watakaobaki wabaki ili waanze upya!
Hii nchi sasa inatia hasira mno hivi unajua kodi ni kubwa kiasi gani watu tunakatwa plus mambo ya hovyo yanayoendelea serikalini?
 
Sisi hatutaki umwagaji damu, tunataka bandari yetu tu
FIMZYQMWQAQ3XG7.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cancer inapojitokeza mguuni ujue ilishasambaa sehemu kubwa ya huo mguu .. Mtu anapoumwa malaria huo ni mchakato wa zaidi ya wiki tangu siku alipoumwa na umbu mwenye vimelea!

Sakata la bandari zetu na Dpw sio la jana wala la juzi lina zaidi ya mwaka! Limekuja kuwa wazi baada ya hatua za utekelezaji kuanza ndio wananchi wameanza kujua yaliyomo yamo na kuleta taharuki kubwa!

Ukiachana na sisi keyboard warriors huku mitandaoni kuna waliotuzidi uthubutu na kuondoa woga na kuamua kuhoji waziwazi kinachoendelea na hata kutoa wayforward wa nini kifanyike kulinusuru taifa na hili zimwi

Hawa sasa ndio wamezidisha taharuki huko mamlakani kwakuwa sasa kadiri siku zinavyosonga wananchi wameanza kuwaelewa na kuendelea kuwapa uungaji mkono mkubwa!
Ni wazi sasa uvumilivu unawaishia kwa kasi ya kimondo washika dau wasiojitokeza waziwazi kwenye hili sakata na badala yake wameanza kuwatisha wale wote wanaolishikia bango kwa uwazi hili jambo

Hivi si vitisho vya kupuuza bali ni vitisho vyenye ujumbe wa kuogofya ili litakapitimia wengine waufyate, wakae kimya!
Kuanzia kesho hali inaweza kuwa ngumu sana kwa pande zote mbili.. Kwa wanaohoji wenye uungwaji mkono na wananchi na waotaka hili jambo litimie.. Ni ngumu kutabiri lakini inaweza kudondoshwa roho moja na ikazaa mlipuko mkubwa ama inaweza kudondoshwa roho moja na kukatokea makosa fulani yatakayosababisha hata wahusika wageukane wenyewe kwa wenyewe

Haya yakitokea ili kuzima kama ni uasi ama kunyamazishana ama kuadabishana kuna nguvu za ziada zinaweza kutumika na kusababisha umwagaji wa damu.. Hili si jambo la kuombea hata kidogo lakini bado kuna upande una nafasi kubwa wa kulifanya hili lisitokee

Tuzidi kuliombea taifa na kuwaombea wote wenye mapenzi mema na Tanganyika yetu...[emoji1545]View attachment 2682900

Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ni utabiri? Au ni kwa mujibu wa taarifa fiche?
 
Back
Top Bottom