Sakata la BANDARI ZETU na DPW linataka kuliingiza Taifa kwenye umwagaji wa damu!?

Cancer inapojitokeza mguuni ujue ilishasambaa sehemu kubwa ya huo mguu .. Mtu anapoumwa malaria huo ni mchakato wa zaidi ya wiki tangu siku alipoumwa na umbu mwenye vimelea!

Sakata la bandari zetu na Dpw sio la jana wala la juzi lina zaidi ya mwaka! Limekuja kuwa wazi baada ya hatua za utekelezaji kuanza ndio wananchi wameanza kujua yaliyomo yamo na kuleta taharuki kubwa!

Ukiachana na sisi keyboard warriors huku mitandaoni kuna waliotuzidi uthubutu na kuondoa woga na kuamua kuhoji waziwazi kinachoendelea na hata kutoa wayforward wa nini kifanyike kulinusuru taifa na hili zimwi

Hawa sasa ndio wamezidisha taharuki huko mamlakani kwakuwa sasa kadiri siku zinavyosonga wananchi wameanza kuwaelewa na kuendelea kuwapa uungaji mkono mkubwa!
Ni wazi sasa uvumilivu unawaishia kwa kasi ya kimondo washika dau wasiojitokeza waziwazi kwenye hili sakata na badala yake wameanza kuwatisha wale wote wanaolishikia bango kwa uwazi hili jambo

Hivi si vitisho vya kupuuza bali ni vitisho vyenye ujumbe wa kuogofya ili litakapitimia wengine waufyate, wakae kimya!
Kuanzia kesho hali inaweza kuwa ngumu sana kwa pande zote mbili.. Kwa wanaohoji wenye uungwaji mkono na wananchi na waotaka hili jambo litimie.. Ni ngumu kutabiri lakini inaweza kudondoshwa roho moja na ikazaa mlipuko mkubwa ama inaweza kudondoshwa roho moja na kukatokea makosa fulani yatakayosababisha hata wahusika wageukane wenyewe kwa wenyewe

Haya yakitokea ili kuzima kama ni uasi ama kunyamazishana ama kuadabishana kuna nguvu za ziada zinaweza kutumika na kusababisha umwagaji wa damu.. Hili si jambo la kuombea hata kidogo lakini bado kuna upande una nafasi kubwa wa kulifanya hili lisitokee

Tuzidi kuliombea taifa na kuwaombea wote wenye mapenzi mema na Tanganyika yetu...[emoji1545]View attachment 2682900

Sent using Jamii Forums mobile app
Damu gani hiyo inayotaka kumwagika?
 
Tuanze na wabunge majimboni. Tuwaambie waishie hukohuko walikopititisha ujinga wao. Hadi waelewe kuwa wamelikorogo. Wakaitishe bunge upya kurwkwbisha.

Tuanze sasa kuwapinga hawa wabunge mazezeta.

Kila mmoja na aseme sasa kwa sauti.
 
download.jpeg

MNAKWENDA UTUMWANI WENYEWE HUKU MKIIMBA PAMBIZO ZA KUSIFU NA KUTUKUZA.
Mama anaupiga mwingi,sio? 🤣
 
Hii inachekesha unachukua mawazo ya mwijaku, kitenge, steve nyerere na Baba levo, unaacha maneno ya prof. Issa Shivji, Prof.Tibaijuka, Sheikh Ponda, Zitto, Lissu, Fatma karume, Butiku, warioba, na TLS ( tanganyika law society)
Kina Mramba, Balali, Daniel Yona, Chenge na Mke wa Balali walikuwa sio wasomi? Prof Tibaijuka aliyesema 10m ni hela ya mboga baada ya kupokea mgawo wa kifisadi ana political legitimacy ya kuongelea ishu ya bandari? Hawa wasomi wetu ndo wengi wametuingiza kwenye majanga tuliyo nayo leo.
 
Unaamini kwenye bandari hawajatuingiza mkenge pia?
 
Nilichopinga hapo ni kuwapa sifa watu ambao nao ni wachafu tu kama hawa wanaotuhumiwa. Hii nchi itabadilishwa na watu ambao hawakutarajiwa ila sio hawa waliopo. Wengi wao sio kwamba wana uchungu ni vile tu mianya yao ya upigaji imezibwa. Jaji Warioba alishawahi kuwa waziri mkuu.. je kuna alama gani aliyoweka vichwani mwa watanzania kama Kina sokoine?
 
Kina Mramba, Balali, Daniel Yona, Chenge na Mke wa Balali walikuwa sio wasomi? Prof Tibaijuka aliyesema 10m ni hela ya mboga baada ya kupokea mgawo wa kifisadi ana political legitimacy ya kuongelea ishu ya bandari? Hawa wasomi wetu ndo wengi wametuingiza kwenye majanga tuliyo nayo leo.
km wamegundua makosa waliyoyafanya ..unataka wachekelee makosa yale yale waliyoyafanya?
 
selikali ishasema itayafanyia kazi maoni ya watu. ila wanatokea watu wanaendelea kueneza chuki. mimi nasema watangulizwe tu. bora wachache wafe ili wengi wabaki salama ukizingatia wengine wanaochochea vurugu familia zao wana uraia wa marekani.
wewe ni mpumbavu
 
Samia kama alikuwa na nia njema na sio ovu angewapa Waarabu TTCL na kisiwa cha Pemba ambapo kuna umasikini wa hali juu. Samia hana nia njema na Bara nashangaa sana akina Kitenge na mkuu wa nyumba ya mbumbumbu kuona ni sahihi kuitoa Bandari zote kwa Waarabu huu ni ujinga wa hali ya juu.
Nikukumbushe tu huo Mkataba ni kuhusu Bandari tu khalas
 
SERIKALI imeagiza vyombo vishungulike kikamilifu na Wakili Boniface Mwabukusi kutokana na Wakili huyo kudaiwa kutoa matamshi yanayohatarisha amani nchini.

Agizo hilo la Serikali limetolewa leo tarehe 9.7.2023 na Katibu Tawala wa Wilaya ya Busega, Japhari Kubecha ambapo pia amekiagiza Chama cha Wanasheria Tanganyika TLS kuchunguza kwa kina uhalali wa muhuri wa wakili huyo.

Katika siku za karibuni Wakili Mwabukusi amekuwa akitoa matamshi mbalimbali kuhusu mkataba wa bandari na tayari ameshafikisha shauri hilo Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya.

"Naomba chama cha Wanasheria Tanganyika TLC wachunguze kwa kina Uhalali wa Muhuri wake,Huyu wakili hakuna wakili wanamna hii... wapo wanasheria wabobezi wametoa maoni yao tena wakiwa Kintume na serikali lakini hawakufikia kiwango hiki cha Kuvunja Utu wa watu,Umoja wa Kitaifa,Amani na Mwenendo wa Nchi.

Vyombo vishughulike kikamilifu juu ya Mtu huyu" amesema Kiongozi huyo wa Serikali, Japhari Kubecha.
Huyo wakili anasema Tanganyika kwenye huu muungano Etii Imebakwa
 
Hi
Cancer inapojitokeza mguuni ujue ilishasambaa sehemu kubwa ya huo mguu .. Mtu anapoumwa malaria huo ni mchakato wa zaidi ya wiki tangu siku alipoumwa na umbu mwenye vimelea!

Sakata la bandari zetu na Dpw sio la jana wala la juzi lina zaidi ya mwaka! Limekuja kuwa wazi baada ya hatua za utekelezaji kuanza ndio wananchi wameanza kujua yaliyomo yamo na kuleta taharuki kubwa!

Ukiachana na sisi keyboard warriors huku mitandaoni kuna waliotuzidi uthubutu na kuondoa woga na kuamua kuhoji waziwazi kinachoendelea na hata kutoa wayforward wa nini kifanyike kulinusuru taifa na hili zimwi

Hawa sasa ndio wamezidisha taharuki huko mamlakani kwakuwa sasa kadiri siku zinavyosonga wananchi wameanza kuwaelewa na kuendelea kuwapa uungaji mkono mkubwa!
Ni wazi sasa uvumilivu unawaishia kwa kasi ya kimondo washika dau wasiojitokeza waziwazi kwenye hili sakata na badala yake wameanza kuwatisha wale wote wanaolishikia bango kwa uwazi hili jambo

Hivi si vitisho vya kupuuza bali ni vitisho vyenye ujumbe wa kuogofya ili litakapitimia wengine waufyate, wakae kimya!
Kuanzia kesho hali inaweza kuwa ngumu sana kwa pande zote mbili.. Kwa wanaohoji wenye uungwaji mkono na wananchi na waotaka hili jambo litimie.. Ni ngumu kutabiri lakini inaweza kudondoshwa roho moja na ikazaa mlipuko mkubwa ama inaweza kudondoshwa roho moja na kukatokea makosa fulani yatakayosababisha hata wahusika wageukane wenyewe kwa wenyewe

Haya yakitokea ili kuzima kama ni uasi ama kunyamazishana ama kuadabishana kuna nguvu za ziada zinaweza kutumika na kusababisha umwagaji wa damu.. Hili si jambo la kuombea hata kidogo lakini bado kuna upande una nafasi kubwa wa kulifanya hili lisitokee

Tuzidi kuliombea taifa na kuwaombea wote wenye mapenzi mema na Tanganyika yetu...[emoji1545]View attachment 2682900

Sent using Jamii Forums mobile app
li la bandari nalo litapita kama yalivopita mengine mengi. Na hapa JF yatabaki mabandiko tu haya. Hakuna kitu kinaeza badilika huko.
 
Umemaanisha nini ?
✍️
Maana yangu ni kwamba. Ambavyo wameshapanga wao waliopo ktk mamlaka yatafanyika tu. Cc huk hata tupige kelele vip hakuna kitqchobadilika. Kwan mangap watu wanaongea na hakuna kinachotokea, sana sana tutaambiwa tukahamie Burundi.
 
Back
Top Bottom