Duh, hatari.
Wale wa ATC na TRC ilikuwaje vile? Hatujifunzi tu?
Serikali inawekeza mabilioni ya miundombinu halafu bado inatafuta mwekazaji . Kwa nini mwekeAjichuyo asiwekezeckwanza ndo anendeleea na ubia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh, hatari.
Wale wa ATC na TRC ilikuwaje vile? Hatujifunzi tu?
Tatizo linakuja watakaopewa kuendesha hizo bandari ndio hao hao waliokuwa kwenye menejimenti na wakafeli unategemea lipi jipya hapo.Nchi unaiuza unamuuzia nani? Hii lugha ya "kuuza nchi" ni ya kijinga sijapata kuona.
Bandari ni chanzo kikubwa sana cha fedha, hususan kwa geography ya Tanzania. Kama tunashindwa kuiendesha wenyewe na tunashindwa kiasi nchi zote zinazoitegemea bandari yetu zinaihama kwenda kutumia bandari za nchi jirani halafu bado tunaiuza nchi? Kuiuza nchi ni huko kutokuwa na watendaji waadilifu, wanatumaliza huku tunajiona, tusijikaze kisabuni, ni wakati muafaka tuwape wanaoweza kuiendesha/kuziendesha bandari zetu kwa faida ili nchi ifaidike.
Namuunga mkono Mama Samia kwenye hili kwa 100% tena tumechelewa sana kufanya hivyo. Serikali ibaki tu kuwa "facilitators" biashara tuwache zifanywe na wanaoijuwa biashara.
Tusifanye mambo yetu kwa "feelings" tufanye mambo yetu kwa "reality".
Hapo unamaanisha sisi Kama nchi hatuna kabisa akili.
Kama hayo mashirika tu tumeshindwa kuyaongoza basi sisi ni maiti zinazotembea
Yaaah, tuliiba fedha za Watanzania tukaenda kujenga International Airport Chato. Usisahau hilo.Hayo yote yamefanywa na ninyi CCM kuanzia baba yako mpaka wewe mwenyewe
ndio umekuja kuiuza Tanzania kabisa sijui unampango wa kuishi Omani
ukishaiuza.
Hivi ninyi hamna akili za kufikiri mpaka mnarudia mataptap yaliyo kwisha feli?
Nyie ni wezi hamna nia njema na hili taifa.
Kitu kimoja ambacho nina uhakika nacho hamta dumu kwenye hii dunia.
Mtu umebakiza chini ya miaka 30 ya kuishi lakini unaiba kama utaishi milele,
wakati ukubwa wa kaburi lako halizid futi sita na hutaondoka na chochote.
Au ndio mnaponda raha kufa kwaja?
Kama tumeshindwa kwenye Madini na Utalii ambapo tunawabia bandari ndio itatupa robo tatu ya mapato ya bajeti?Nimeona Rais akisema Serikali kutafuta mbia wa kuiendesha bandari ya Dar es Salaam ili kuleta ufanisi na kuongeza mapato.
Ni kweli tunahitaji mbia wa kuiendesha bandari ya Dar? Sisi wenyewe imeshindikana kabisa?
Tumewahi kufanya hivi kwenye reli, shirika la ndege lakini tunajua kilichotukuta.
Hii haiwezi kuja kuiua hii bandari kwa maana tunajuana vizuri sisi hasa linapokuja suala la maslahi.
--
Rais Samia Suluhu amesema maboresho yanafanyika kwenye Bandari ya Dar es Salaam ikiwa ni pamoja na kupata mbia wa kuiendesha, kubadili uongozi na miundombinu ili kuongeza ufanisi.
Amesema robo tatu ya bajeti ya nchi inaweza kutegemea bandari endapo zitafanya kazi inavyotakiwa.
CCM au Chadema, haijalishi. Vyama vyote hivyo unavyoviita vya upinzani vilianzishwa Ikulu ya Mzee Ali Hassan Mwinyi.ccm bhna mnamatatz
Hakuna cha kulaaniwa wala majungu ni kuendekeza ujinga na njaa tu. Ni kutunga kanuni za kumtimua na kumfilisi kila atakayebainika kuleta ujinga kwenye Mashirika ya umma. Wangeacha kupongezana pale mtu anapopewa utezi katika mashirika ya umma.
Ewe mwanamke wa Nchi Hiyo bandari hapo ndio roho ya Tanzania unataka kuitoa au kuigawa?
Kuna raisi failure hapa Tanzania kama Zumaridi na huyo mzee?CCM au Chadema, haijalishi. Vyama vyote hivyo unavyoviita vya upinzani vilianzishwa Ikulu ya Mzee Ali Hassan Mwinyi.
Viivyomaliza kazi yake unaona vimebaki mabango tu, na vilivyobaki vikimaliza kazi zake ni hayo hayo tu.
SawaSio kweli. Mama sio mjinga, akili zimemjaa.
Hapana. Itapewa kampuni ya nje yenye vigezo vya kuendesha bandai kama vile zinavyoendeshwa Dubai, Singapore, Hongkong na kwengineko. Dunia ya leo si ya jana.Tatizo linakuja watakaopewa kuendesha hizo bandari ndio hao hao waliokuwa kwenye menejimenti na wakafeli unategemea lipi jipya hapo.
Kama yeye Rais anamteua Polisi mstaafu kuwa mwenyekiti wa bodi ya Bandari.
Hivi tutarajie miujiza gani hapo?
Au ndio mkakati wa kuididimiza Bandari yetu zaidi?
Ikumbukwe kwamba ukiishaingia mikataba leo haitakuwa rahisi kuja kuwaondoa huko mbeleni.
Hata iwapo wanaendelea na madudu yao.
Huo ulikuwa worst ever uteuzi duniani, worst uteuzi katika Karne hii, mama sijui kama Yuko sawa, huo ndio uteuzi ulinifanya niamini tuna boya liko Ikulu.Kama yeye Rais anamteua Polisi mstaafu kuwa mwenyekiti wa bodi ya Bandari.
Hivi tutarajie miujiza gani hapo?
Au ndio mkakati wa kuididimiza Bandari yetu zaidi?
Ikumbukwe kwamba ukiishaingia mikataba leo haitakuwa rahisi kuja kuwaondoa huko mbeleni.
Hata iwapo wanaendelea na madudu yao.
Sawa ngoja tusubiri Tanzania hii hii aletwe mzungu kuendesha bandari [emoji1787].Hapana. Itapewa kampuni ya nje yenye vigezo vya kuendesha bandai kama vile zinavyoendeshwa Dubai, Singapore, Hongkong na kwengineko. Dunia ya leo si ya jana.
Nyakati zote ulizozitaja waliingia ubia na watu ambao hawakustahili ! Reli walipewa wahindi ambao watu wakasema ni wahindi wa kariakoo !! Yaani kwa muonekano wao tu walionekana kuwa ni choka mbaya ! Sasa hapo unategemea nini ? Unataka kuingia ubia watafuteni wale munaowaita mabeberu waje waongoze hiyo bandari uone itakavyokua, lakini ukawape watu kama Richmond ya umeme yule mhindi alikuwa na kiofisi cha internet pale kariakoo nyuma ya Keys Hotel eti ikasemekana ni kampuni ya kutoka marekani !! Salaalee!! Kwa kweli tunafanya utani na Nchi !! Ingieni ubia na mabeberu wanaotambulika kimataifa kazi itafanyika !!Tumefanya hivyo kipindi Cha mwinyi, tukashindwa, tukafanya hivyo kipindi Cha mkapa tukashindwa, tukafanya kipindi Cha JK tukashindwa.
Kipi kimebadilika sasa tusishindwe? Juzi tu hapa raisi na jopo zima waliingizwa kwenye mkataba wa kinyonyaji hapo bandari na kampuni hewa
Hawa ?Siyo atakuwa ameshapatikana..
Alishapatikana wiki 2 zilizopita Rais alipokwenda ziara Dubai..
Mwekezaji huyo anaitwa DP WORLD