Abu Ubaidah Commando
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 7,591
- 6,946
Karibu sana sheikh wangu. Nakupenda kwa ajili ya AllahSawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu sana sheikh wangu. Nakupenda kwa ajili ya AllahSawa
Upo sahihi mkuu Raisi alikutana na wakurugenzi wa DP World alipokuwa ziarani Dubai.Siyo atakuwa ameshapatikana..
Alishapatikana wiki 2 zilizopita Rais alipokwenda ziara Dubai..
Mwekezaji huyo anaitwa DP WORLD
Duh!..Siyo atakuwa ameshapatikana..
Alishapatikana wiki 2 zilizopita Rais alipokwenda ziara Dubai..
Mwekezaji huyo anaitwa DP WORLD
Waliwang'oa viongozi wabunifu wakawekwa wa kwao wakaanza kutafuna wameshindwa kuwarejesha wa zamani kwa aibu ndio wanaonelea kuja na mawazo ya mbia!!!Nimeona Rais akisema Serikali kutafuta mbia wa kuiendesha bandari ya Dar es Salaam ili kuleta ufanisi na kuongeza mapato.
Ni kweli tunahitaji mbia wa kuiendesha bandari ya Dar? Sisi wenyewe imeshindikana kabisa?
Tumewahi kufanya hivi kwenye reli, shirika la ndege lakini tunajua kilichotukuta.
Hii haiwezi kuja kuiua hii bandari kwa maana tunajuana vizuri sisi hasa linapokuja suala la maslahi.
--
Rais Samia Suluhu amesema maboresho yanafanyika kwenye Bandari ya Dar es Salaam ikiwa ni pamoja na kupata mbia wa kuiendesha, kubadili uongozi na miundombinu ili kuongeza ufanisi.
Amesema robo tatu ya bajeti ya nchi inaweza kutegemea bandari endapo zitafanya kazi inavyotakiwa.
Tatizo lao huwa wanasema hivyo hivyo, nitakupa Bilioni 300 lakini nifanye maboresho then nipe Grace period ya 5 years kisha naanza kukulipa, baada ya huo muda anakwambia napata hasara tu siendelei na mkataba. . . akili kumkichwaWewe ukifanya mwenyewe unakusanya Bil 90 lets say kwa mwezi hapo Bandari - Mwekezaji anakuja anakwambia atakusanya Bil 400 afu wewe atakupatia Bil 300. Mkataba wa miaka 10 with uplift ya 5% kila mwaka , je utakataa ama utakubali ?
Wapigaji tuI absolutely support this. TPA wameshindwa kuendesha hiyo bandari bora watu wengine wajaribu hatuwezi kuendelea kupoteza muda, nguvu na mapato kwa kigezo cha uzalendo. Ikiwezekana hata TRA wapewe wabia maana wabongo tumeshindwa kazi ndo ukweli mchungu.
Faiza nakuelewa vizuri sana. Ubarikiwe. Hata Polisi waingie ubia na mashirika mahili ya ulinzi.Siku hizi bandari zote kubwa duniani zinaendeshwa kibiashara. Kuna makampuni mahsusi yaliobobea kazi hizo.
Kuingia ubia ndio njia sahihi kwa dunia ya leo.
Nnamini bandari ya Dar ilivyokaa vizuri geographically, na nchi landlocked zinavyotuzunguka, bandai ya Dar pekee inaweza kuendesha budjet ya serikali kwa Tanzania nzima.
Nchi kama Singapore na Dubai hazina zinachojivunia zaidi ya badari zao nandio vyanzo vyao vyote vya mapato vinatokea hapo. Kwanini sisi tusindwe? Wizi mtupu banadarini Dar. Wizi wa Bandarini ni kansa iliyopo kila idara (each and every department).
Kama yalivyokufa mashirika yote umma na badari haipo salama tukiedelea kuiedesha wenyewe. Apewe tajiri mmoja aiendeshe tujionee mabadiliko.
Wala haina haja ya kuwa rocket science kuelewa kuwa bandari kwa Tanzania ina faida kubwa sana ikiendeshwa ipasavyo. Mfano mzuri ni Bagamoyo, nchi na wafanya biashara matajiri wa nje wapo tayari kuingiza na kuwekeza pesa kibao kujenga banadari na mji mpya kabisa wa kisasa, ili waingie ubia wakuiendesha bandari tu. Watafanya hivyo kama hawajaiona faida kwenye upembuzi wao?
Mama hata polisi ingia ubia iendeshwe professionally, maana imeshindwa kabisa kulinda mali za Watanzania na badala yake wanaua raia kwa thamani ndogo tu.
Kitonga break ikakata, sasa tunaserereka kwa kasi ya ajabu, Mungu mwenyewe atusaidieWe are moving backwards
Mtuonee huruma jamani khaa!Siku hizi bandari zote kubwa duniani zinaendeshwa kibiashara. Kuna makampuni mahsusi yaliobobea kazi hizo.
Kuingia ubia ndio njia sahihi kwa dunia ya leo.
Nnamini bandari ya Dar ilivyokaa vizuri geographically, na nchi landlocked zinavyotuzunguka, bandai ya Dar pekee inaweza kuendesha budjet ya serikali kwa Tanzania nzima.
Nchi kama Singapore na Dubai hazina zinachojivunia zaidi ya badari zao nandio vyanzo vyao vyote vya mapato vinatokea hapo. Kwanini sisi tusindwe? Wizi mtupu banadarini Dar. Wizi wa Bandarini ni kansa iliyopo kila idara (each and every department).
Kama yalivyokufa mashirika yote umma na badari haipo salama tukiedelea kuiedesha wenyewe. Apewe tajiri mmoja aiendeshe tujionee mabadiliko.
Wala haina haja ya kuwa rocket science kuelewa kuwa bandari kwa Tanzania ina faida kubwa sana ikiendeshwa ipasavyo. Mfano mzuri ni Bagamoyo, nchi na wafanya biashara matajiri wa nje wapo tayari kuingiza na kuwekeza pesa kibao kujenga banadari na mji mpya kabisa wa kisasa, ili waingie ubia wakuiendesha bandari tu. Watafanya hivyo kama hawajaiona faida kwenye upembuzi wao?
Mama hata polisi ingia ubia iendeshwe professionally, maana imeshindwa kabisa kulinda mali za Watanzania na badala yake wanaua raia kwa thamani ndogo tu.
Wamekuwa kama mamba hasikii mpaka damu zimtoke...Hakuna hata kimoja chakuonyesha kilifanikiwa kwa mawazo haya mufislisi lakini bado wanataka tu kutuaminisha...Watu wasiojiamini wala kuwa na uthubutu kwa jambo lolote!Mkuu Hilo kwa Tanzania hii limewahi kutokea shirika gani?
Mwinyi aiwahi kutafuta mwekezaji wa Kilimanjaro hotel kwa story Kama hizo, mwishowe unajua kilichotokea.
Mkapa nae akaja kubinafsisha mashirika kwa story Kama hizo unazosema, TTCL, Tanesco, Reli zinapotea
JK nae akaja na story hizohizo kwenye Reli na ATCL mwisho wote unajua ilikuaje.
Hakuna shirika hapa bongo liliwahi kutafutiwa mbia likafanya vizuri, yote yalifilisika na mengine kufa kabisa
Haya mawazo ya ovyo ni ya wapigaji tu. Yaani una bandari na kuna mataifa mengine yanatumia ushindwe kuendesha hadi unatafuta ubia? Isitoshe mwenyewe ushagharamika kupanua kwa mabilioni. Haya mawazo ya ovyo kabisa.Nimeona Rais akisema Serikali kutafuta mbia wa kuiendesha bandari ya Dar es Salaam ili kuleta ufanisi na kuongeza mapato.
Ni kweli tunahitaji mbia wa kuiendesha bandari ya Dar? Sisi wenyewe imeshindikana kabisa?
Tumewahi kufanya hivi kwenye reli, shirika la ndege lakini tunajua kilichotukuta.
Hii haiwezi kuja kuiua hii bandari kwa maana tunajuana vizuri sisi hasa linapokuja suala la maslahi.
--
Rais Samia Suluhu amesema maboresho yanafanyika kwenye Bandari ya Dar es Salaam ikiwa ni pamoja na kupata mbia wa kuiendesha, kubadili uongozi na miundombinu ili kuongeza ufanisi.
Amesema robo tatu ya bajeti ya nchi inaweza kutegemea bandari endapo zitafanya kazi inavyotakiwa.
Hii chuki itakufanya ukose mbingu, angalia dada yangu...Nilikuwa nakuamini sana enzi hizo kwa balanced opinion; haya ya siku hizi daah!Eehh kweli kabisa, tukapeleka na Airport ya Kimataifa Chato, sasa wanatua mbayuwayu tu. Tukawaibia na majumba na magari yao matajiri. Tukawatolea bastola kuwatisha mawaziri hadharani waliposema ukweli. Tukafumua utawala wa bandari na kuweka "The" gang ndiyo waiendeshe. Usiyasahau yote hayo.
Haya mawazo ya ovyo ni ya wapigaji tu. Yaani una bandari na kuna mataifa mengine yanatumia ushindwe kuendesha hadi unatafuta ubia? Isitoshe mwenyewe ushagharamika kupanua kwa mabilioni. Haya mawazo ya ovyo kabisa.
Wajinga kama kina madilu nape na makamba ndio watakuja na mawazo kama hayo. Safari za nje za kijinga kwenda kuwafuata eti consultants. Unafikiri washauri wamarekani au waingereza au wengine wowote ukiwauliza siwatawauzia bandari kampuni za kigeni?
Linalotakiwa ni usimamizi mathubuti wa serikali. Rais akiwasikiliza wahuni tutaweka wabia hadi kuendesha jeshi polisi na magereza. Hapo tutakua huru kweli?
Sijakuelewa nilete ushahidi wa nini?Lete usha
Lete ushaidi wa uliloandika kama huna chuki binafsi .mwanzo kama nilianza kukuelewa lkn hapa si sawa.changamoto za uendeshaji wa bandari TPA inashindwa kutokana na vitu kadha wa kadha
gharama za ukarabati
tekinologia ya kisasa
ushindani uliopo kwenye bandar za Africa n.k
ebu lete nn kifanyike sio kama unaleta chuki binafsi
Hatari sana ! bandari ya Zanzibar nayo atapeleka Mbia ?Nimeona Rais akisema Serikali kutafuta mbia wa kuiendesha bandari ya Dar es Salaam ili kuleta ufanisi na kuongeza mapato.