Sakata la Dudubaya: Je Serikali inaunga mkono ushoga?

Sasa sindio wamesha ingia mikataba na Nchi zinazo support ushoga ili wawe wanapewa mikopo na misaada mbali mbali so wanaona mamboz anataka kuwaharibia ugali wao 😁😁😁
 
😁
 
Acha kutetea ujinga, lazima watu wapige kelele ili jamii isichukulie ushoga ni jambo la kawaida..

Elimu mbalimbali taasisi, mashirika na wadau wanatenga bajeti kubwa kuhakikisha elimu inawafikia watu kupitia social medias inakuwaje useme kupinga ushoga mtandaoni pekee haitoshi...

Social media kwa sasa ina nguvu na ujumbe unafika..
Sheria na taratibu ni kwa ajili ya kuchukua hatua..
Lakini Dudu Baya hana kosa hapo kulaani na kutukana mashoga...
 
Mkuu kwanza naomba kujua msimamo wako maana naona unawapinga sana wapinga ushoga. Je, wewe unaupinga ushoga au unaushabikia?

Sipingi wala sikubali, ila kila mtu ana uhuru na haki yake ya faragha, km haki za binadamu zinavyo eleza.
 
Ni bora kutoa elimu kwa umma kama anavyofanya Mambaz kuliko kupeleka kesi ya mihogo kwa nguruwe. Utatoka kapa mkuu.

Sasa sioni km ni Elimu, ila naona ni mihemko isiyo na tija, km kweli aweke mdahalo was hicho anachokipigania.
 
Mkuu naomba uelewe kwamba Mambaz huwa habwati bali anatoa elimu kwa umma. Unapaswa kuelewa kuwa mbinu mojawapo ya kupambana na ushoga ni kutoa public education. Usikariri njia moja tu mkuu.

Lini Dudu baya akatoa Elimu juu ya ushoga? Huko kwa umma anachokifanya ni kubwata pasipo na msingi wowote.
Sana naona ni stress na depression zilivyo msonga tu.
 
Sasa ndiyo aitwe polisi? Kama serikali ina nia njema na harakati za Mambaz kupinga ushoga, wangemuita Ikulu wampongeze. Kumuita sentroo huo ni mtego mkuu.

Ameitwa kwenye vyombo vya sheria akathibitishe hayo madai yake, sasa huko Ikulu ndio kwenye mkono was sheria?? Lol
 
Ni kweli wanaunga. Mikataba ya misaada na mikopo waliyosaini sirini inawataka kuukubali na kuulinda ushoga.

Jiulize ile vita ya yule mama kisebusebu iliishia wapi? Kulikuwa ni kujikosha tu kwa wananchi waonekane nao wamo🤣

😂😂😂 eti mama kisebu sebu. Lol
 
Mbona makonda bado yupo na huyu DGIS hajapita Naye sasa ? Mokonda Alisha sema hataki watu wa upinde
Makonda alikuwa anatafuta kiki tu kwani na yeye mwenyewe ni punga, wazee wengi wa mboga mboga wamemla sana, Makonda akitaka jambo lake yuko tayari kufanya na kufanywa chochote ili mradi tu afikie lengo lake, mzee six ndiye alimvua ubingwa.
 
Ushoga ni sehemu ya haki ya kujiamulia mambo ya mtu binafsi.

Ni haki ya binadamu na haki ya kikatiba iliyo ndani ya haki ya kujiamulia mambo ya mtu binafsi.

Serikali imesaini mikataba ya kimataifa kuhusu suala hili ama moja kwa moja ama kwa kuzunguka.

Kwa kuelewa jambo hili, ndiyo maana Paul Makonda alivyoanzisha vita dhidi ya mashoga na kusema atapita nyumba kwa nyumba kuwatafuta, watu wa kwenye serikali wanaoijua dunia wakamkana na kusema hiyo ni kauli yake binafsi, si kauli ya serikali.

Na hiyo ilikuwa serikali ya wakati wa Rais John Pombe Maguguli. Jiwe mbabe.

Waziri wa Mambo ya Nje wa muda huo, Dr. Augustine Philip Mahiga, alitoa msimamo huo wa serikali.

Ushoga ni lifestyle tu watu wamechagua, kama hupendi hulazimishwi kuwa shoga na wewe una haki ya kuishi unavyotaka.

Yani wewe kumshambulia mtu aliyeamua kuwa shoga kuhusu ushoga wake ni vibaya sawasawa na shoga kukushambulia wewe kwa sababu umeamua usiwe shoga.

Fikiria.

Wewe ungekuwa unaishi dunia ya mashoga, hakafu mashoga yanakulazimisha uwe shoga, usipokuwa shoga yanakuandama, wakati wewe hupendi ushoga, ungejisikiaje?
 
Wewe unachukulia ushoga ni kitu cha kawaida?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…