100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,825
- 38,702
Hujaelewa kipi hapo..Wewe unachukulia ushoga ni kitu cha kawaida?
Mkuu, nimecheka sana.. yaani huyu bwana kumbe naye alikuwa ni Punga, yaani ni tia maji tia maji, paka mate, vua boxer tupilia mbali, wazee wa kazi wa kushughulike da, si mchezo. Pdiddy kawatembelea wengi kwa kweli... Bado Diamond aje naye kutoa ushuhuda wa zile baby oil 1000... sijui naye walimpaka au walimlainisha na K jell? Safari bado ni ndefu...Dudubaya ana kazi sana kuwakataa...Makonda alikuwa anatafuta kiki tu kwani na yeye mwenyewe ni punga, wazee wengi wa mboga mboga wamemla sana, Makonda akitaka jambo lake yuko tayari kufanya na kufanywa chochote ili mradi tu afikie lengo lake, mzee six ndiye alimvua ubingwa.
Wewe ukiona mtu ana hamasisha ushoga mtandaoni unaweza kuwa shoga? Mimi ninavyojua mwanaume kamili hata akishikiwa panga hawezi kuwa shoga sasa utakuwa mtu wa ajabu kuhamasishwa mtandaoni na ukabadilika kuwa shogaHujaelewa kipi hapo..
Nasema kwamba Dudu Baya yupo sahihi kutukana hao wafirwaji..
Hao kina Uncle T, Juma Lokole n.k wana push agenda zao kupitia social medias... wanafanya ushoga uonekane kawaida ...
Watoto hivi sasa wapo sana mitandaoni.. hivyo ni sawa Dudu Baya kuwatukana na kuwadhalilisha...
Tofauti na hapo utakuwa shoga ama mfiraji kama unapinga anachofanya Dudu Baya..
Nitolee uchok0 hapa...Wewe ukiona mtu ana hamasisha ushoga mtandaoni unaweza kuwa shoga? Mimi ninavyojua mwanaume kamili hata akishikiwa panga hawezi kuwa shoga sasa utakuwa mtu wa ajabu kuhamasishwa mtandaoni na ukabadilika kuwa shoga
Hata wakitazama kila siku hamna namna wanaweza kuwa shoga kwahiyo wewe ukitazama unahamamasika? Niajabu sana. Kwanza ukiona umeruhusu kuingiliwa ujue wewe sio mwanaume na hukuwahi kuwa mwanaume usisingizie umehamasika kwa video za mtandaoniNitolee uchok0 hapa...
Sina muda kujadili us3ng3...
Waambie watoto wako wawe wanatazama hizo video za kina uncle T kuna jambo watajifunza...
Hivi unachobisha haswa hapa ni kipi? Unataka hao kina uncle t waendelee na hayo maudhui...
Nitolee u5enge..
Mkuu usishangae humu ndani kuna machoko wametumwa na machoko wenzao kuja kutetea uchoko. Hii nchi ina mijutu ya ovyo sana. Eti badala wampongeze Mambaz24, wanataka kumziba mdomo. Nchi imejaa machoko kila kona aisee!Nitolee uchok0 hapa...
Sina muda kujadili us3ng3...
Waambie watoto wako wawe wanatazama hizo video za kina uncle T kuna jambo watajifunza...
Hivi unachobisha haswa hapa ni kipi? Unataka hao kina uncle t waendelee na hayo maudhui...
Nitolee u5enge..
Watanzania wengi hawaelewi kuwa kuwaandama mashoga ni kitu sawa tu na ubaguzi wa rangi kuwabagua watu weusi.Kwanza, Dudubaya ni alcoholic na mentally unstable.
Pili, ningefurahi Tz tungefundishwa kuhusu international treaties ambazo Tz tumesaini, taasisi za kimataifa ambazo sisi ni wanachama wake na jinsi gani Tz haiwezi declare adhabu kwa mashoga.
Ingawa sheria yetu inasema kumuingilia mtu kinyume na maumbile ni adhabu ya miaka 30 ila kuna wanaotambulika kama mashoga unawaona wakizururura tu uraiani
Makonda aliwahi kusapoti hichi anachofanya Dudubaya serikali ikajitenga naye ikasema ni msimamo wake binafsiWatanzania wengi hawaelewi kuwa kuwaandama mashoga ni kitu sawa tu na ubaguzi wa rangi kuwabagua watu weusi.
Zote ni discrimination. Moja ni racial, ngingine ni ya sexual orientation.
Pote unambagua mtu tofauti na wewe tu.
Na ukuondoa sababu za kidini, ambazo ni za kinafiki tu na hazina uzito katika nchi ambayo si ya kidini, hakuna hoja ya msingi ya kumuingilia uhuru wake mtu anayetaka kuwa shoga.
Nimelitaja hili hapa awali kwenye link.Makonda aliwahi kusapoti hichi anachofanya Dudubaya serikali ikajitenga naye ikasema ni msimamo wake binafsi
Dudubaya siku zote amekuwa mstari wa mbele kupinga vitendo vya kishoga hapa nchini. Huyu jamaa anastahili kabisa kuwa balozi wa kupinga ushoga. Hakuna mtu asiyefahamu jinsi Mambaz24 anavyopambana dhidi ya mashoga na wasagaji katika taifa hili.
Pamoja na juhudi zote hizi, nimesikitishwa sana kusikia Dudubaya kuitwa polisi sentroo ili ashughulikiwe kwa sababu ya klipu za kupinga ushoga anazoshare mara kwa mara kwenye mitandao ya kijamii. Nimebaki najiuliza: Je, serikali hii ni ya kishoga au inakubaliana na vitendo vya kishoga? Kama sivyo, kwanini wamuandame Mambaz na kumkatisha...
Aiseeeee inasikitisha sana sana!! Huu ni msiba kwa kweli.Waacheni wale raha zao
Ndiyo maisha waliyoyachagua !
Watoto zenu,wake zenu,dada zenu kutwa kuwafatilia hao mnaowasema na wanatamani wawe na maisha kama yao
π
Ova
Kweli kabisa. Wameona mamba anawaharibia uhusiano wao wa kishoga wanataka kumdibiti.Sasa sindio wamesha ingia mikataba na Nchi zinazo support ushoga ili wawe wanapewa mikopo na misaada mbali mbali so wanaona mamboz anataka kuwaharibia ugali wao πππ
kwa hiyo kila mtu akikaa kimya ndo mkakati yenyewe?Unafikiri kupiga kelele mtandaoni kwamba hutaki ushoga ndio unazuia? Hilo jambo ni la kisheria zaidi na mikakati dhabiti
Hii nchi uhuru umezidi sana, Katambi anatisha tisha watu anashindwa kuwakamata hawa machoko wanaojianika namna hii.Waacheni wale raha zao
Ndiyo maisha waliyoyachagua !
Watoto zenu,wake zenu,dada zenu kutwa kuwafatilia hao mnaowasema na wanatamani wawe na maisha kama yao
π
Ova
Ushoga ni sehemu ya haki ya kujiamulia mambo ya mtu binafsi.
Ni haki ya binadamu na haki ya kikatiba iliyo ndani ya haki ya kujiamukia mambo ya mtu binafsi.
Serikali imesaini mikataba ya kimataifa kuhusu suala hili ama moja kwa moja ama kwa kuzunguka.
Kwa kuelewa jambo hili, ndiyo maana Paul Makonda alivyoanzisha vita dhidi ya mashoga na kusema atapita nyumba kwa nyumba kuwatafuta, watu wa kwenye serikali wanaoijua dunia wakamkana na kusema hiyo ni kauli yake binafsi, si kauli ua serikali.
Na hiyo ilikiwa serikali ya wakagi wa Rais John Pombe Maguguli. Jiwe mbabe.
Waziri wa Mambo ya Nje wa muda huo, Dr. Augustine Philip Mahiga, alitoa msimamo huo wa serikali.
Ushoga ni lifestyle tu watu wamechagua, kama hupendi hulazimishwi kuwa shoga na wewe una haki ya kuishi unavyotaka.
Yani wewe kumshambulia mtu aliyeamua kuwa shoga kuhusu ushoga wake ni vibaya sawasawa na shoga kukushambulia wewe kwa sababu umeamua usiwe shoga.
Fikiria.
Wewe ungekuwa unaishi dunia ya mashoga, hakafu mashoga yanakulazimisha uwe shoga, usipokuwa shoga yanakuandama, wakati wewe hupendi ushoga, ungejisikiaje?
Hao hawagusi wanaweza kumpigisha SHOTI akaukosa uwaziri...yeye anawamudu madada ambao wanatikisa makalio tu ndiyo size yake ,hao MASHOGA akiwagusa TZ inaweza ikakosa misaada hivyo atamkasirisha mama na kuweza kumpiga chini.