Sakata la Fei Toto na Yanga SC, hatimaye ukweli wajulikana

Sakata la Fei Toto na Yanga SC, hatimaye ukweli wajulikana

Hili liwe funzo, na TFF waache ujinga wao wa kuwalinda wavunja sheria, wanatuharibia mpira wetu wala hawastahili kuwepo ofisini muda huu.
Hii habari nimeisikia asubuhi kwa mtu na sasa nimeiona kwako. Kama ni habari sahihi basi litakuwa funzo.
 
Hoja yangu nimeanza kwa maneno " Kama ni kweli" Na hata kama si kweli bado sala zangu zipo kwa Fei apate maslahi yanayolingana na mchango wake, ikishindikana Yanga basi nje ya Yanga.
Waache hao wapumzike kidogo, wanaugulia maumivu ya chembe ya moyo.
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Hoja yangu nimeanza kwa maneno " Kama ni kweli" Na hata kama si kweli bado sala zangu zipo kwa Fei apate maslahi yanayolingana na mchango wake, ikishindikana Yanga basi nje ya Yanga.
Si kasha waponda niny wapambe nuksi
 
Habari ya kuuzwa uliiona wapi utuwekee hapa nasi tuione?

Hee kumbe mnajua Feisal hajauzwa, wewe ndiye shabiki wa Simba wa kwanza kusema hivyo naona mmeanza kujielewa sasa na si kushabikia mikataba msio ijua.
 
Viuno vya kutosha. Hapo basi wanajikuta timu Yao imekamilika Kila idada hadi wanataka watatue na changamoto zetu kumbe nao litimu ni libovu tu
Timu inatumia daladala za mbagala kwenda kwenye mechi 😂😂😂
 
Hee kumbe mnajua Feisal hajauzwa, wewe ndiye shabiki wa Simba wa kwanza kusema hivyo naona mmeanza kujielewa sasa na si kushabikia mikataba msio ijua.
Hee unaandika vitu gani, kama una ushahidi weka hapa, usilete longolongo ...

Siku zote nilikuwa nasema Fei ndie mwenye haki, lakini sijawahi kuandika anaenda wapi.
 
Kuna watu wana roho mbaya kweli. Hapa unakuta kuna mtu anasali habari isiwe kweli na ni mshabiki wa Yanga. Wanyonge bana. 😀
Yes, wanakwambia Fei ni nani bora aachwe, wakati kocha wao usiku halali anabembeleza tu..
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Si kasha waponda niny wapambe nuksi
Kuna mashabiki habari kama hii hawajui wafurahi ama wanune sababu ya upambe nuksi kwa viongozi. Viongozi wakisema hakufata taratibu wanashangilia na kusema ataozea benchi bila kuhoji maswali ya msingi. Hao ndo wapambe nuksi.
 
Imethibitika wazi kwamba mchezaji anaweza kuwa mkubwa kuliko timu.
 
Yes, wanakwambia Fei ni nani bora aachwe, wakati kocha wao usiku halali anabembeleza tu..
Inatokana na kuabudu viongozi. Badala ya kuhoji kwann mkataba wa fei ni wa thamani ndogo kuliko mchango wake uwanjani wao wanafanya ibada kwa viongozi.
 
Salaam..!!

Kama tujuavyo lile sakata la Fei na Yanga kuhusu suala la mkataba namna lilivyoendeshwa kwa magumashi na TFF kwa kushirikiana na wanasiasa, na jinsi maamuzi ya kesi ile yalivyokuwa ya ajabu, baada ya TFF kudai Fei ni mchezaji wa Yanga Sc bila kusema amekiuka vipengele gani kwenye mkataba wake...

Sasa taarifa zilizopo rasmi ni kwamba, Fei Toto amesaini mkataba mpya na utopolo wenye thamani ya milioni 350 za kitanzaniaa ili kurejea jangwani, mpaka kufikia hapa, inaonesha wazi, Fei ndie alikuwa na haki kwenye lile sakata.

Kwasababu, huwezi kwa akili ya kawaida ukamuongezea mkataba mpya muajiriwa wako aliyevunja mkataba wa awali kinyume cha sheria, kitendo cha uto kumuongezea Fei mkataba kinaonesha mchezaji ndie alikuwa na haki, na bado ni tegemeo kwao, ndio maana Nabi kila siku alikuwa akihangaika kupiga simu za kubembeleza kwa mchezaji.

Mwisho nitoe wito kwa wanasheria wetu wa makaratasi hapa JF, haya mambo ya kisheria siku zote sio ya kukariri kama hesabu za darasani, eti kilichopo kwenye mkataba wako, lazima kiwepo kwenye mkataba wa mwenzio, huko ni kujidanganya, kisheria kila mkataba unaamuliwa na vipengele vilivyopo kwenye mkataba husika, sio nje ya hapo.View attachment 2518937
Kapambanie jezi zenu huko Ethiopia mambo ya jirani utachelewa kufika
 
Hayo tuyaache, muhimu utopolo wamepiga magoti kwa Fei.
We huwajui wabongo kwa fitna Fei ni ganda la muwa for now likiisha utamu atatupiwa chungu aone kivuno! Yani siku akishuka kiwango tunamrudisha JKU au SBS! Klabu ni kubwa kuliko mchezaji.itabaki hivyo! Yes for now Feitoto ni tegemeo Utopoloni kwetu tunakubali na kupiga magoti, kwani kupiga magoti sh ngapi si tunataka mabao ya dogo Mwendokasi Fei
 
Inatokana na kuabudu viongozi. Badala ya kuhoji kwann mkataba wa fei ni wa thamani ndogo kuliko mchango wake uwanjani wao wanafanya ibada kwa viongozi.
Hawajui kuhoji, wengi ni bendera fuata upepo, chochote anachosema kiongozi wanashangilia.
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Hee unaandika vitu gani, kama una ushahidi weka hapa, usilete longolongo ...

Siku zote nilikuwa nasema Fei ndie mwenye haki, lakini sijawahi kuandika anaenda wapi.
Unataka ushahidi upi hushawahi kuniona humu nimesema Fei kauzwa.

Mimi nimeona humu JF mashabiki wenzako wa Simba waliscreenshot kutoka kwenye page za Jemedari na Dauda kwamba Feisal amuzwaa baada ya kununua mkataba kwa 110m, wenzako hao hao wakapost barua yake ya kuwaaga Yanga kwamba anaenda Uarabuni, wakapost mpaka clip akiwa kwenye gym Uarabuni.

Au kwani humu wanaongoza kujadili mkataba wa Feisal wakina nani ,maana hata hii habari si umeileta ww kama wenzako walivyoleta hizo screenshot toka kwa Jemedari ,Dauda na Page yake mwenyewe Feisal au.........
 
Back
Top Bottom