Sakata la Jerry Silaa kuvunja majumba ya watu nchi nzima: Johnson Mahululu aidai serikali ya Tanzania bilioni 20

Ina semekana Johnson yuko selo ya polisi ostabey leo siku ya tano bila dhamana wala mawakili na ndugu zake kuruhusiwa kumuona.
Pia kuna tetesi za kumfungulia kesi ya uhujumu uchumi.
Sasa hiyo kesi ya bilion 20 aligungulia wapi?? Matapeli wa ardhi yamejaa kibao. Yanachukua ardhi za maskini halafu yanahinga mahakaman yanachukua Mali za watu
 
Kwa namna hii, kwa nini isiwe Slaa Jery na wananchi ili tumalizane naye?

Kwani pori la mabwepande liliisha?
 
Sheria ina utaratibu, kama kashinda mahakamani, aliyeshinda aende mahakamani akabidhiwe alichoshinda, na kama walioshindwa wamesharau mahakama, sheria ina maelekezo, unamkamata wewe Waziri ili iweje?
Mpaka kufikia waziri na kamati nzima ya ulinzi na usalama mkoa kuamua na kushuhudia ghorofa likivunjwa!
Na huyo Mahululu akakimbilia Dodoma mpaka alipokamatwa na kuletwa Dsm!
Unadhami walikurupuka bila kujiridhisha,ikiwemo kupitia mahakamani na kutumia Hati za mahakamani kulivunja?

Baadhi ya watu humu wana mihemko ya kisiasa hata kwa mambo yasiyo ya kisiasa.
Akiwemo huyu chiembe ambaye ni mleta hoja na mpinga Serikali of all things hata vile venye kuwa wrongfully
 
Ni dhahiri mtoa mada ana maslahi na huyo tapeli kwa namna alivyoiwasilisha taarifa yake
 
Naomba nielimishwe, fedha za fidia za namna hii utolewa fungu gani ndani ya Wizara husika? Je zinakuwa allocated ndani ya bajeti ya Mwaka wa Fedha husika?
Fedha zipi zimelipwa?
Au na wewe unakupuka na kuongezea mafuta bila kwanza kuujua uhalisia.
Huyu mleta mada kaandika tu bila kutoa source yake ya habari.
Huyo Tapeli mwenyewe alisafirishwa toka Mafichoni Dodoma!
Alikokimbilia na kuletwa Dar ili ajibu mashtaka ya kuendesha genge la utakatishaji ardhi.
Sasa huyu chiembe hatuelezi kwenye huu uzi wake!
Kwamba ametumia hukumu ya mahakama gani ili kumpa ushindi Huyo Mahululu anaye Mhululu!
Ni hulka ya Chadema kutetea wezi na mafisadi wanaowadhulumu wananchi

Hata Mbowe amewadhurumu waandishi kumi wa Lililokuwa gazeti lake la "Tanzania Daima".
 
Nyie matapeli wa viwanja mnaushirikiano sawa na wauza ngada
 
Nyie matapeli wa viwanja mnaushirikiano sawa na wauza ngada
 
Hili ghorofa limevunjwa juzi tu,hivi huyo mdai ambaye ni maholulu ameshaenda mahakamani na hukumu imetoka kwamba serikali ilipe au sijaelewa?
Huyu alieandika ni ndugu
Yaan umemsikia wakili anaongea kwenye You Tube, wakati ukweli jamaa yupo Lupango. Tayari thread. Hiyo ghorofa sidhani kama ina dhaman hiyo.
 
Umemjibu kwa nguvu kabisa Jamaa tapel tena huenda NI wale wa tuma hela kwenye namba hii
 
Umemjibu kwa nguvu kabisa Jamaa tapel tena huenda NI wale wa tuma hela kwenye namba hii
 
Umemjibu kwa nguvu kabisa Jamaa tapel tena huenda NI wale wa tuma hela kwenye namba hii
 
Kuishitaki serikali ama kumshitaki waziri wa ardhi kwenye kesi ya umiliki wa ardhi ni kama unatwanga maji kwenye kinu.

Tambua kwenye katiba yetu ya nchi Rais ndie ana custody ya ardhi yote iliyo ndani ya Tanzania. Yeye ndie ana mamlaka ya kufuta hati ya ardhi yoyote iliyo ndani ya Tanzania.

Rais haitaji hukumu ya mahakama. Ili kufuta hati ya mtu.

Jerry silaa ametumwa na rais ndio maana juzi kapewa sifa nyingi na rais kwamba ndie waziri ambae anafanya kazi nzuri
 
Umemjibu kwa nguvu kabisa Jamaa tapel tena huenda NI wale wa tuma hela kwenye namba hii
Uko sahihi mkuu!
Huyu chiembe ni sehemu ya tatizo la nchi hii.Inaonekana live huyu jamaa ni tapeli fulani hivi na huenda issue hizi ndio zinamuweka mjini.

Hapa tayari kafungua uzi mwingine tena kuhusu haya mambo ya ardhi akimpinga Jerry Slaa kuwakabidhi dhamana maafisa ardhi nchi nzima kuwadhibiti waporaji wa ardhi.
Halafu anajibasibu kuwa mfuasi kindakindaki wa Chadema.
Duh! Hii hapo chini thread yake ingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…