chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
- Thread starter
- #41
Hana habari, kuna mradi wa hati za kidigitali, umekwama Dsm, na hizo ndizo zingepunguza utapeli wa maafisa ardhi wake.Kwa Nini asingeongeza nguvu kwenye issue za kupanga miji yenye wakazi wengi kama Dar es salaam na kuondoa makazi holela kuliko nguvu hizi anazotumia!? Kamalizana na Petro station Sasa karudi Huku Tena!?
Bunge mwaka jana liliidhinisha bilioni 350 za mradi wa ardhi na upimaji, hana habari.
Samia aliunda Tume ya kutatua migogoro ya ngazi ya kitaifa ikiundwa na mawaziri, hana habari.