Sakata la Jerry Silaa kuvunja majumba ya watu nchi nzima: Johnson Mahululu aidai serikali ya Tanzania bilioni 20

Kwa Nini asingeongeza nguvu kwenye issue za kupanga miji yenye wakazi wengi kama Dar es salaam na kuondoa makazi holela kuliko nguvu hizi anazotumia!? Kamalizana na Petro station Sasa karudi Huku Tena!?
Hana habari, kuna mradi wa hati za kidigitali, umekwama Dsm, na hizo ndizo zingepunguza utapeli wa maafisa ardhi wake.

Bunge mwaka jana liliidhinisha bilioni 350 za mradi wa ardhi na upimaji, hana habari.

Samia aliunda Tume ya kutatua migogoro ya ngazi ya kitaifa ikiundwa na mawaziri, hana habari.
 
Huyo mama alishaenda Mahakama zote nchini akashindwa
 
 
tujifunze kutokana na makosa.
 
Legal system ya nchi ni principles ambazo zimekuwa generated miaka kibao kwa kufuata misingi ya kitafiti na Hukumu za ma judge wenye akili Sana hasa nchi zinazofuata common law adversarial system

🔹Hizi mahakama za mikutano ya hadhara za kusikiliza kesi papo kwa papo mbele ya wananchi huku ukishangiliwa na kutoa Hukumu hapo hapo ( KANGAROO COURTS)bila kufuata zile procedure za NATURAL JUSTICE Zina madhara makubwa Sana baadaye
THE COURT IS SO JEALOUS OF HIS POWERS BEING TAKEN AWAY
 
Kwa Nini asingeongeza nguvu kwenye issue za kupanga miji yenye wakazi wengi kama Dar es salaam na kuondoa makazi holela kuliko nguvu hizi anazotumia!? Kamalizana na Petro station Sasa karudi Huku Tena!?
Dar kuna squatter nyingi za kuzibomoa na kuZipangilia vzr

Ova
 
Yes, there you speak. huwa nawaza the same thing.
 
Ndugu yangu kasome Land law vizuri na katiba yetu ya JMT, wewe ungezungumzia uhalali wa uvunjaji wa hilo jengo, kuhusu umiliki wa ardhi, rudia kusoma sheria vizuri
 
Hao matapeli huko mahakamani
Wanacheza napo......

Ova
Tatizo hata waziri pia matapeli yanaweza kucheza naye. Tuna uhakika gani kwamba waziri anahujumu kwa haki?

Yawezekana matapeli yamecheza naye mmiliki halali akaporwa eneo lake na waziri halafu anapewa tapeli
 
Beeing not been
 
Sheria ina utaratibu, kama kashinda mahakamani, aliyeshinda aende mahakamani akabidhiwe alichoshinda, na kama walioshindwa wamesharau mahakama, sheria ina maelekezo, unamkamata wewe Waziri ili iweje?
Hapa nimekushtukia!! Nilishaiamini report yako kwa nguvu zote,ila hapana! Hebu tuambie vizuri.
 
Ndugu yangu kasome Land law vizuri na katiba yetu ya JMT, wewe ungezungumzia uhalali wa uvunjaji wa hilo jengo, kuhusu umiliki wa ardhi, rudia kusoma sheria vizuri

Hati zote zina kipengele kimeandikwa kwamba rais ana haki ya kufuta hati kwa ajili ya public interest
 
Acha unyumbu wa kipumbavu, unataka Tanzania wote twende kwenye katiba? Nani atafanya biashara?
Umbumbumbu ni sawa na kubeba gunia la mavi, ukipita unanuka na ukiongeza unanuka. Hivi huelewi uhusiano kati ya siasa na maisha?? Hujui kuwa mwenendo wa biashara unategemea siasa?

Husikii wafanyabiashara wakilalamikia utitiri wa Kodi na tozo pamoja na ukubwa wa hizo Kodi na tozo? Ni nani walizipanga hizo Kodi na tozo kama siyo sheria na kanuni zilizotungwa na wanasiasa?

Kama wewe ni bodaboda(na kwa vyovyote wewe ni bodaboda) kumbuka wanasiasa hao hao ndiyo walitunga sheria 2010 kuruhusu bodaboda kuwa chombo cha usafiri. Kabla ya hapo ilikuwa marufuku.
 
ardhi ni mali ya uma trusted to the president,ni kweli.lakini kuna watu wana interest juu yake, kama vile wanaojenga au kufanya shughuli juu yake. kufanya chochote kinachoathiri maslahi haya ya watu kunatakiwa kufanyika kwa mujibu wa sheria. hata rais hayupo juu ya sheria, hawezi kufanya chochote hata kama kinakuathiri ati kwasababu yeye ni rais.

Ndio maana sheria zimewekwa. AG alishatoa pendekezo sheria zitungwe kuwafanya hawa viongozi wanaotia hasara watu na kusababisha serikali kushtakiwa, wawe responsible kwa matendo yao binafsi. hata hivyo, sidhani kama waziri ana kinga hiyo ya kutoshtakiwa akikiuka sheria, hayupo juu ya sheria, decision yeyote inayoathiri maslahi ya mtu lazima itolewe sababu ya kufanya hivyo na chombo kilichowekwa na sheria kutoa maamuzi/haki. dunia yote ipo hivyo hata nchi yako ya tz ina katiba yake inayoongea hivyo.

shida ni kwamba halmashauri imejaa wanasheria ambao ni weak kwenye practice, na wanawashauri vibaya sana mawazili na viongozi wengine, jerry mwenyewe ni mwanasheria ambaye sina uhakika kama aliwahi kukanyaga mahakamani kama wakili. hao wanasheria wanaowashauri hawa wawe wanapikwa vizuri ili wawashauri vyema wasisababishe hasara kwa wananchi na kwa serikali, pia ili kulinda utawala wa sheria. pasipokuwepo nautawala wa sheria kila mtu atachukua sheria mkononi na patachafuka. kwa mwenye akilia takuwa amenielewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…