Sakata la Jerry Silaa kuvunja majumba ya watu nchi nzima: Johnson Mahululu aidai serikali ya Tanzania bilioni 20

Wakili anaongea taratibu sana, mb zinapotea ovyo
Ila amepiga mawe ya kutosha, hakika Matata ana matata kweli kweli, a pure lawyer making his pawerful, impermiable, water tight submissions
 
Mawakili ndiyo kwa upande wanawasaidia hawa wezi wa ardhi za watu by100%,
(background history ya eneo ndiyo muhimu zaidi, wahuni wenye fedha zao hutumia fedha kupindisha ukweli wa eneo husika)
 
Shikilia hapo hapo jerry.Dawa imeanza kuingia.piga kazi hawa chawa w matapeli wackutishe kabisaa.
Tapeli ana nyaraka za wizara ya ardhi, kwa nini asiulize hapo wizarani walipoitoa hiyo hati? Mbona hatumsikii akiwasema watumishi wake na kuwawajibisha?
 
Huyo na komwe lake mpaka limefunika macho kama kofia aache due legal process ifanye kazi, wizara yake ni mtuhumiwa wa kutoa hati mbili, anatakiwa awe kizimbani, cha ajabu mtuhumiwa ndio anaamua kesi yake.

Kama Wizara yake ilitoa hati mbili, kwa nini isimfidie waliyemuingiza chaka, aachie kiwanja, wampe wanayeona yuko sahihi?
 
Hajaongelea tittle.
So, it's pure rubbish.
Title ya huyo mama anayetetewa na Jerry Silaa ilitolewa baadae, ilianza ya huyo aliyevunjiwa, First in time, first in right, Wizara ya ardhi ndio wamemuingiza huyo mama chaka kumpa kiwanja ambacho tayari kina mtu.

Na huyo mama kapigwa mpaka mahakama kuu
 

View: https://m.youtube.com/watch?v=6MKF_cUVZTY
Sikiliza sasa wananchi wenyewe akipita wanavyoona mwanga.

Tuache watu wafanye kazi zao, jamaa ana haki ya kwenda mahakamani kama anadhani kaonewa.

Lakini kabla ya kumshambulia waziri kakosea tusubiri court decision. Sio huku kumbeza sasa unataka akae ofisini kuacha kusikiliza kero sugu za nchi na kuzifanyia kazi.
 
kijana waziri anafanya kazi yake vizuri sana,
na mpaka hatua ile, amejiandaa na kujiridhisha vizuri kisheria, kiutaratibu na kikanuni, amejipanga anajiamini barabaraaa, he is on the right track 🐒.

For sure anafanya kazi nzuri sana kuwasaidia waTanzania wanyonge walo dhulumiwa na wenye nguvu. Uelekeo ni mzuri sana 🐒

hizi setbacks za watu kutaka kujulikana na kufahamika kwa jamii ni za kawaida na hazifai kuzingatiwa kudoofisha jitihada za waziri kunyoosha sekta ya ardhi 🐒

keep it up ndugu waziri 🐒
 
Ila amepiga mawe ya kutosha, hakika Matata ana matata kweli kweli, a pure lawyer making his pawerful, impermiable, water tight submissions
Huyo anatafuta apewe kzai ya kwenda mahakamani,,wazurumaji waote wa masuala ya ardhi wanafedha si mchezo ndp maana wananyaraka za wizara
 
Hiyo tittle alipewa na nani?
 
Hujui kazi ya mwijaku na baba levo? Kila mahala wapo
Sikiliza kwanza mgogoro wenyewe na jinsi huyo aliechukua eneo kimabavu alivyowazunguka kwenda kuvunja nyumba zao bila ya kulipa fidia tofauti na makubaliano ya awali kutoka halmashauri.

Sasa huo mgogoro nao ni wa kutunga?
 

Huyu ni lawyer anayelipwa na kutetea hata upuuzi wowote, wewe naye mpost mada hujui kitu, do you know lawyers once paid they can defend anything hata kama umeua wao watakutetea ili hali wanajua utafungwa maisha au kunyongwa hadi kufa, huyo ni bush lawyer anatetea hela zake, tumia akili, acha kupost kila kitu ukiona, think first..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…