Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitairudia, muda huu sina salio la kutoshaIla amepiga mawe ya kutosha, hakika Matata ana matata kweli kweli, a pure lawyer making his pawerful, impermiable, water tight submissions
Ni ubatili mtupu na uonevu. Tulisema haya mambo iachie Mahakama itoe haki. Jerry Slaa hawezi kutoa haki maana hana mamlaka ya kutoa haki. Anaweza aka-initiate process ya kupatika haki na si kutoa maamuzi kama vile yeye ni mahakama. Mfano kuvunja Ghorofa ya mtu bila amri ya Mahakama.
Sikiliza kisa cha kuhuzunisha cha ukiukwaji Mkubwa wa Haki uliofanywa na Jerry Slaa!
Verry unpleasant kwa mtu wa level ya kwake kufanya alichokifanya
View: https://youtu.be/xTWIKdgZxrQ
Tapeli ana nyaraka za wizara ya ardhi, kwa nini asiulize hapo wizarani walipoitoa hiyo hati? Mbona hatumsikii akiwasema watumishi wake na kuwawajibisha?Shikilia hapo hapo jerry.Dawa imeanza kuingia.piga kazi hawa chawa w matapeli wackutishe kabisaa.
Huyo na komwe lake mpaka limefunika macho kama kofia aache due legal process ifanye kazi, wizara yake ni mtuhumiwa wa kutoa hati mbili, anatakiwa awe kizimbani, cha ajabu mtuhumiwa ndio anaamua kesi yake.Hii sasa ni pattern of behaviour inayojitokeza. Watanzania wa twitter republic na wafuasi wa upinzani ni mahodari sana wa kukatisha tamaa viongozi hasa mawaziri wanaojaribu kurekebisha mambo. Same kwa wakuu wa wilaya na mikoa wanapojaribu kutatua migogoro.
Ilikuwa hivi hivi kwa Jaffo, Gwajima na sasa mnaanza kwa Slaa. Hata sijui mnataka nini, hakuna siku utaamka utakuta mambo yapo shwari tu lazima kuwe na watu wakupambana kuyaweka sawa.
Hajaongelea tittle.Ila amepiga mawe ya kutosha, hakika Matata ana matata kweli kweli, a pure lawyer making his pawerful, impermiable, water tight submissions
Title ya huyo mama anayetetewa na Jerry Silaa ilitolewa baadae, ilianza ya huyo aliyevunjiwa, First in time, first in right, Wizara ya ardhi ndio wamemuingiza huyo mama chaka kumpa kiwanja ambacho tayari kina mtu.Hajaongelea tittle.
So, it's pure rubbish.
Huyo na komwe lake mpaka limefunika macho kama kofia aache due legal process ifanye kazi, wizara yake ni mtuhumiwa wa kutoa hati mbili, anatakiwa awe kizimbani, cha ajabu mtuhumiwa ndio anaamua kesi yake.
Kama Wizara yake ilitoa hati mbili, kwa nini isimfidie waliyemuingiza chaka, aachie kiwanja, wampe wanayeona yuko sahihi?
View: https://m.youtube.com/watch?v=6MKF_cUVZTY
Sikiliza sasa wananchi wenyewe akipita wanavyoona mwanga.
Tuache watu wafanye kazi zao, jamaa ana haki ya kwenda mahakamani. Kabla ya kusema waziri kakosea tusubiri court decision. Sio huku kumshambulia sasa unataka akae ofisini kuacha kusikiliza kero sugu za nchi.
Ni ubatili mtupu na uonevu. Tulisema haya mambo iachie Mahakama itoe haki. Jerry Slaa hawezi kutoa haki maana hana mamlaka ya kutoa haki. Anaweza aka-initiate process ya kupatika haki na si kutoa maamuzi kama vile yeye ni mahakama. Mfano kuvunja Ghorofa ya mtu bila amri ya Mahakama.
Sikiliza kisa cha kuhuzunisha cha ukiukwaji Mkubwa wa Haki uliofanywa na Jerry Slaa!
Verry unpleasant kwa mtu wa level ya kwake kufanya alichokifanya
View: https://youtu.be/xTWIKdgZxrQ
Huyo anatafuta apewe kzai ya kwenda mahakamani,,wazurumaji waote wa masuala ya ardhi wanafedha si mchezo ndp maana wananyaraka za wizaraIla amepiga mawe ya kutosha, hakika Matata ana matata kweli kweli, a pure lawyer making his pawerful, impermiable, water tight submissions
Hiyo tittle alipewa na nani?Title ya huyo mama anayetetewa na Jerry Silaa ilitolewa baadae, ilianza ya huyo aliyevunjiwa, First in time, first in right, Wizara ya ardhi ndio wamemuingiza huyo mama chaka kumpa kiwanja ambacho tayari kina mtu.
Na huyo mama kapigwa mpaka mahakama kuu
Sikiliza kwanza mgogoro wenyewe na jinsi huyo aliechukua eneo kimabavu alivyowazunguka kwenda kuvunja nyumba zao bila ya kulipa fidia tofauti na makubaliano ya awali kutoka halmashauri.Hujui kazi ya mwijaku na baba levo? Kila mahala wapo
Ni ubatili mtupu na uonevu. Tulisema haya mambo iachie Mahakama itoe haki. Jerry Slaa hawezi kutoa haki maana hana mamlaka ya kutoa haki. Anaweza aka-initiate process ya kupatika haki na si kutoa maamuzi kama vile yeye ni mahakama. Mfano kuvunja Ghorofa ya mtu bila amri ya Mahakama.
Sikiliza kisa cha kuhuzunisha cha ukiukwaji Mkubwa wa Haki uliofanywa na Jerry Slaa!
Verry unpleasant kwa mtu wa level ya kwake kufanya alichokifanya
View: https://youtu.be/xTWIKdgZxrQ
(Title siyo mwisho wa matatizo, wengi hudhani title deed, hasa baada ya kumiliki hata kama alidhulumu amemaliza udhulumishi, background history matters)Hiyo tittle alipewa na nani?
Wewe uliiona?Wizara ya Ardhi