KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
Wanaosema mahakama hazitendi haki ndio hao hao wanaotaka mambo yaende mahakamani kwa kuwa hawapendezwi na alipotoka huyo mchukua maamuzi......Ni kweli kabisa mkuu. JPM alipambana kusaidia watu lakin kelele zilitoka, kila sehemu kumpinga.
Umeshaangalia na upsnde wa hasara Kwa serikali? Au yaleyale ya Awamu ya tano lakini kwasasa hasara kila kona. Tujifunze kitu basi.Shikilia hapo hapo jerry.Dawa imeanza kuingia.piga kazi hawa chawa w matapeli wackutishe kabisaa.
Migogoro na kero sugu ndio mitaji ya wanasiasa....sasa ikitatuliwa watakosa agenda........Hii sasa ni pattern of behaviour inayojitokeza. Watanzania wa twitter republic na wafuasi wa upinzani ni mahodari sana wa kukatisha tamaa viongozi hasa mawaziri wanaojaribu kurekebisha mambo. Same kwa wakuu wa wilaya na mikoa wanapojaribu kutatua migogoro.
Ilikuwa hivi hivi kwa Jaffo, Gwajima na sasa mnaanza kwa Slaa. Hata sijui mnataka nini, hakuna siku utaamka utakuta mambo yapo shwari tu lazima kuwe na watu wakupambana kuyaweka sawa.
Waziri Slaa anafanya kazi kwa kutumwa na bosi wake SSH, na jamii yetu ilishaharibiwa sana na wapigaji kiasi kwamba ni ngumu kumuamini mtu tu kisa anaongea mbele ya kipaza sauti na anajifanya kutetea haki za watu.Ni ubatili mtupu na uonevu. Tulisema haya mambo iachie Mahakama itoe haki. Jerry Slaa hawezi kutoa haki maana hana mamlaka ya kutoa haki. Anaweza aka-initiate process ya kupatika haki na si kutoa maamuzi kama vile yeye ni mahakama. Mfano kuvunja Ghorofa ya mtu bila amri ya Mahakama.
Sikiliza kisa cha kuhuzunisha cha ukiukwaji Mkubwa wa Haki uliofanywa na Jerry Slaa!
Verry unpleasant kwa mtu wa level ya kwake kufanya alichokifanya
View: https://youtu.be/xTWIKdgZxrQ
Ni ubatili mtupu na uonevu. Tulisema haya mambo iachie Mahakama itoe haki. Jerry Slaa hawezi kutoa haki maana hana mamlaka ya kutoa haki. Anaweza aka-initiate process ya kupatika haki na si kutoa maamuzi kama vile yeye ni mahakama. Mfano kuvunja Ghorofa ya mtu bila amri ya Mahakama.
Sikiliza kisa cha kuhuzunisha cha ukiukwaji Mkubwa wa Haki uliofanywa na Jerry Slaa!
Verry unpleasant kwa mtu wa level ya kwake kufanya alichokifanya
View: https://youtu.be/xTWIKdgZxrQ
Wameibia sana watu huku mbezi beach na kinondoni nzima kwa ujumla, ni muda wa kuwafunga jela na kuvunja hizo nyumba walizojenga kwa njia haramu.Shikilia hapo hapo jerry.Dawa imeanza kuingia.piga kazi hawa chawa w matapeli wackutishe kabisaa.
Hao wezi wanapoiba na kutaka kuwadhulumu watu hujificha katika kichaka cha sheria na mahakama, unampora mtu haki yake na akianza kuidai unakuja na mlolongo wa taratibu za mahakama!.Kabisa...anaendesha mashitaka yeye, anatoa hukumu yeye, tena siku hiyo hiyo, na siku hiyo hiyo anavunja, kwa nini asitoe hata siku 90 ili mtu ambaye hajaridhika aende kwa Waziri Mkuu, au Rais au Mahakamani?
Kuna issue ya yule mbunge Kamani, kale ka dada, only to find out ni girlfriend wake wa enzi za Uvccm, kapata uwaziri katoka mbio kwenda kumkabidhi baba mkwe wake kiwanja huko mwanza.
Mahakama imeweka mifumo rasmi, unaanza ngazi hii, hujaridhika, unaenda mbele, hujaridhika, unaenda mbele, sasa Jerry ndio Alfa na Omega, anatukana mahakama mbele ya wananchi, sasa serikali moja kwa nini mmoja anatukana taasisi ya mwenzake?
Kitendo cha kuhamasisha wananchi wasiheshimu taasisi ya kikatiba ni uhaini na anapaswa kujiuzuru mara moja. Anabaki kufanya nini wakati aliapa kuilinda katiba, katiba hiyo ndani yake ina mahakama, na yeye anahamasisha uasi wa wananchi dhidi ya mahakama?
Kuna kesi zinachukua Hadi miaka 30 hazijatolewa maamuzi. Kesi inatajwa na kuahilishwa Kila siku sababu ya rushwa.kesi za ardhi unazijua au ulitaka zitumike diplomatic. ukiwa kile kitengo lazima kuwa na roho ya ajabu maana pesa za wahuni utumika mpaka wakubwa
Ki ukweliWameibia sana watu huku mbezi beach na kinondoni nzima kwa ujumla, ni muda wa kuwafunga jela na kuvunja hizo nyumba walizojenga kwa njia haramu.
Why complicate matters, kuna watu wanatumia udhaifu wa sheria na kutumia loopholes zake kudhulumu.Kabisa...anaendesha mashitaka yeye, anatoa hukumu yeye, tena siku hiyo hiyo, na siku hiyo hiyo anavunja, kwa nini asitoe hata siku 90 ili mtu ambaye hajaridhika aende kwa Waziri Mkuu, au Rais au Mahakamani?
Kuna issue ya yule mbunge Kamani, kale ka dada, only to find out ni girlfriend wake wa enzi za Uvccm, kapata uwaziri katoka mbio kwenda kumkabidhi baba mkwe wake kiwanja huko mwanza.
Mahakama imeweka mifumo rasmi, unaanza ngazi hii, hujaridhika, unaenda mbele, hujaridhika, unaenda mbele, sasa Jerry ndio Alfa na Omega, anatukana mahakama mbele ya wananchi, sasa serikali moja kwa nini mmoja anatukana taasisi ya mwenzake?
Kitendo cha kuhamasisha wananchi wasiheshimu taasisi ya kikatiba ni uhaini na anapaswa kujiuzuru mara moja. Anabaki kufanya nini wakati aliapa kuilinda katiba, katiba hiyo ndani yake ina mahakama, na yeye anahamasisha uasi wa wananchi dhidi ya mahakama?
Hawa wanaokuja kutetea wezi kwa kuandika threads hawajui uchungu wa kuitafuta ardhi ambayo pengine mtu alitaka kudhulumiwa.Huko Mbezi Africana, Salasala na maeneo jirani kuna mtandao mkubwa wa watu kuvamia na kupora ardhi na kughushi nyaraka.
Waziri analijua hilo.
Kuna watu wamekufa kwa kupoteza ardhi zao kwa matapeli hao wa ardhi.
Wewe una shida kichwani mwako ya kuchakata mambo reasonably..Hii sasa ni pattern of behaviour inayojitokeza. Watanzania wa twitter republic na wafuasi wa upinzani ni mahodari sana wa kukatisha tamaa viongozi hasa mawaziri wanaojaribu kurekebisha mambo. Same kwa wakuu wa wilaya na mikoa wanapojaribu kutatua migogoro.
Ilikuwa hivi hivi kwa Jaffo, Gwajima na sasa mnaanza kwa Slaa. Hata sijui mnataka nini, hakuna siku utaamka utakuta mambo yapo shwari tu lazima kuwe na watu wakupambana kuyaweka sawa.
Nataka kukuambia ukweli ingawa naogopa kuonekana mbaguzi.Wanaosema mahakama hazitendi haki ndio hao hao wanaotaka mambo yaende mahakamani kwa kuwa hawapendezwi na alipotoka huyo mchukua maamuzi......
Huyo jamaa ana mtandao mkubwa.Nimemsikiliza wakili mwanzo mwisho ila nimekuwa na hofu kidogo kwa nini huyu mteja wake Kila kiwanja anachonunua kina migogoro? Na ni lazima mahakama ihusike?
1. I agree with you, that, zipo scenario hizo za watu wenye nguvu kifedha kutumia udhaifu wa sheria kudhulumu watu wengine wanyonge kifedha. Lakini je, hiyo inampa uhalali gani waziri kufanya alichokifanya? Je, unadhani kila mwenye uwezo kifedha na kujipatia mali, basi amedhulumu tu?Why complicate matters, kuna watu wanatumia udhaifu wa sheria na kutumia loopholes zake kudhulumu.
Mimi limenipata ndio maana namsupport Waziri Slaa.
Mtu katapeli na ni very clear katapeli, na hati zote ni za kughushi.
Hata akijenga ghorofa 15 . BOMOA TU, si alijua risk za kutapeli?
Umesema vizuri sana, sasa hapa waziri wa ardhi ndio alitakiwa kusuka mfumo wa kudhibiti ofisi za ardhi za Halmashauri, sio kudonoa donoa. Aunde Tume ya kuupitia upya mfumo wa ofisi za ardhi na uwajibikaji wake, kisha autungie sheria madhubuti kudhibiti uhuni, sio kupambana na watu walioingizwa chaka na maafisa wake.Huko Mapinga, Kerege hakufai sitaki eneo hata bure.
Nimepoteza hekari kadhaa wahusika viongozi wa serikali za mtaa/Kijiji na matapeli walikuwa wafanyakazi wa zamani wa ardhi.
Asante sana kwa taarifa.....hao watani wanajulikana kabisa kuwa linapokuja suala la ardhi hawanaga masihara kabisa.....Nataka kukuambia ukweli ingawa naogopa kuonekana mbaguzi.
Wengi wa wanao husika migogoro ya ardhi upande wa wavamiaji ni wafanyabiashara tena wana asili ya kule alipotokea mwenyekiti wa chama kinachotetea.
Kundi lingine ni walikuwa askari au maafisa wa kijeshi, polisi au sekta zingine za umma zenye mapato mazuri.