Sakata la jezi feki mhusika anaogopwa ,serikali imeshindwa kumtaja vilabu vimeshindwa kumtaja ,polisi tutajieni huyo mtu ninani?

Ni DUJ
 
Mzigo kama ule hauwezi kuwa wa viperege kwenye bwawa .. Ule ni mzigo wa nyangumi na papa bahari kuu.. Hata hao polisi ni viperege tuu na si ajabu aliyevujisha hiyo ishu kama sio ntu mzito basi keshapotezwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitendo cha ali kamwe kwenda pale kwenye yale makontena watu tuliosoma psychology tushajua nani muhusika pale wanatumia reverse psychology ali kamwe hakutakiwa kwenda pale walitakiwa waende jeshi la police na wengine wenye mamlaka sasa yule kaenda ili aonekane yanga haihusiki.
 
Ali kamwe alikua na vyombo vya dola pale
 
Mtaje wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…