Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni DUJYale Yale Kila mtu analalama TU! Mhusika hatajwi, waziri kaenda mpaka eneo la tukio kashindwa kumtaja mhusika.
Sandaland mwenyewe aliahidi atamtaja lakini naona katishwa, kaogopa kakunja mkia, jeshi la polisi hawamtaji analindwa na anafunikwa funikwa.
Kuna hatari akabambikiwa mtu mwingine kabisa ili kumlinda huyo taita mwenyewe, habari za chini ya kapeti ni mtu mzito na yupo sana kwenye vilabu hivi.
Nasisitiza kwamba mtajeni kama hamuwezi kumtaja mnamuogopa acheni kutupa stori za hayo matambala yenu
Mzigo kama ule hauwezi kuwa wa viperege kwenye bwawa .. Ule ni mzigo wa nyangumi na papa bahari kuu.. Hata hao polisi ni viperege tuu na si ajabu aliyevujisha hiyo ishu kama sio ntu mzito basi keshapotezwaYale Yale Kila mtu analalama TU! Mhusika hatajwi, waziri kaenda mpaka eneo la tukio kashindwa kumtaja mhusika.
Sandaland mwenyewe aliahidi atamtaja lakini naona katishwa, kaogopa kakunja mkia, jeshi la polisi hawamtaji analindwa na anafunikwa funikwa.
Kuna hatari akabambikiwa mtu mwingine kabisa ili kumlinda huyo taita mwenyewe, habari za chini ya kapeti ni mtu mzito na yupo sana kwenye vilabu hivi.
Nasisitiza kwamba mtajeni kama hamuwezi kumtaja mnamuogopa acheni kutupa stori za hayo matambala yenu
Naona Riz iko oneNakupa code......
Ukitataka kuvuta bangi unahitaji vitu vitatu ili bangi ikamilike yaani msuubaaa
.1...Riz.
.2..bangi iwe namba moja kwa ubora (0ne)
.3.mixer (gozo,nyota ext..
Natumain ushamjua muhusika kama wew ni mvutaji wa kanka
Kitendo cha ali kamwe kwenda pale kwenye yale makontena watu tuliosoma psychology tushajua nani muhusika pale wanatumia reverse psychology ali kamwe hakutakiwa kwenda pale walitakiwa waende jeshi la police na wengine wenye mamlaka sasa yule kaenda ili aonekane yanga haihusiki.Yale Yale Kila mtu analalama TU! Mhusika hatajwi, waziri kaenda mpaka eneo la tukio kashindwa kumtaja mhusika.
Sandaland mwenyewe aliahidi atamtaja lakini naona katishwa, kaogopa kakunja mkia, jeshi la polisi hawamtaji analindwa na anafunikwa funikwa.
Kuna hatari akabambikiwa mtu mwingine kabisa ili kumlinda huyo taita mwenyewe, habari za chini ya kapeti ni mtu mzito na yupo sana kwenye vilabu hivi.
Nasisitiza kwamba mtajeni kama hamuwezi kumtaja mnamuogopa acheni kutupa stori za hayo matambala yenu
Alizingua asipoangalia atapotezwa watu wanamtumia kama chambo.Eehe Kwambaaa msg akubali hasara ya Bil 2 weeeeeee...Kale kasemaji ka yangaaa kanayatafutaaa makubwaa
NAKAZIAMpira wenyewe mnafungwa tu kila siku,
Jezi za nini?
Hata mkiingia na kanzu au kanga poa tu magoli yako palepale.
Muacheni huyo jamaa kala urefu wa kamba yake.
Mvae jezi feki au Original MNAFUNGWA tu.
Jezi inacheza mpira?
Ali kamwe alikua na vyombo vya dola paleKitendo cha ali kamwe kwenda pale kwenye yale makontena watu tuliosoma psychology tushajua nani muhusika pale wanatumia reverse psychology ali kamwe hakutakiwa kwenda pale walitakiwa waende jeshi la police na wengine wenye mamlaka sasa yule kaenda ili aonekane yanga haihusiki.
Hujui kitu bana,wewe kazana kwenye vilinge vya uchawiUmafia, ubabe na ujasusi wa biashara za Kariakoo | Page 18 Umafia, ubabe na ujasusi wa biashara za Kariakoo
Sent using Jamii Forums mobile app
Issue ya counterfeit sio binafsi. Serikali inaingia humu.Issue sio serikali, issue ni wao wenyewe simba na Yanga, mana hii issue ni pvt matter, simba na yanga waseme kuwa mzigo huu hapa, wapeleke case mahakamani sasa
Mtaje weweYale Yale Kila mtu analalama TU! Mhusika hatajwi, waziri kaenda mpaka eneo la tukio kashindwa kumtaja mhusika.
Sandaland mwenyewe aliahidi atamtaja lakini naona katishwa, kaogopa kakunja mkia, jeshi la polisi hawamtaji analindwa na anafunikwa funikwa.
Kuna hatari akabambikiwa mtu mwingine kabisa ili kumlinda huyo taita mwenyewe, habari za chini ya kapeti ni mtu mzito na yupo sana kwenye vilabu hivi.
Nasisitiza kwamba mtajeni kama hamuwezi kumtaja mnamuogopa acheni kutupa stori za hayo matambala yenu
Umeiona ile video mkuu au umehadithiwa kama angekuwa kuna vyombo vya dola basi asingetishiwa kupigwa nyundo.Ali kamwe alikua na vyombo vya dola pale
Video zina limitations,umemsikia kamwe mwenyewe alipokua wasafi fm leo!?Umeiona ile video mkuu au umehadithiwa kama angekuwa kuna vyombo vya dola basi asingetishiwa kupigwa nyundo.
Samaleko FaizaFoxyAhsante kwa taarifa, tutaifanyia kazi.