Sakata la jezi feki mhusika anaogopwa ,serikali imeshindwa kumtaja vilabu vimeshindwa kumtaja ,polisi tutajieni huyo mtu ninani?

Mpira wenyewe mnafungwa tu kila siku,
Jezi za nini?
Hata mkiingia na kanzu au kanga poa tu magoli yako palepale.
Muacheni huyo jamaa kala urefu wa kamba yake.
Mvae jezi feki au Original MNAFUNGWA tu.
Jezi inacheza mpira?
hakuna unachojua, kwenye mpira.
.ndiyo maana umeandika hivi, kwenye mpira, kuna watu wanaitwa wadhamini wao hufanya biashara na vilabu, hivyo hao wadhamini hutoa pesa zao, ili kupata tenda ya kusambaza jezi, za Club, Clubu hunufaika na zele pesa, kwa kuendeshea baadhi ya mahitaji ya Club.

Anapotokea mtu akatengeneza jezi za club wakati kuna mtu amepewa mkataba wa kazi hiyo, isitoshe ametoa fefha zake, hata akitengeneza jezi bora kuliko zote Duniani, huyu ni mwizi kama wengine tu.

Sema sisi waswahili tuna nongwa, mtu akija kuvunja dilisha lako, akaiba katecno kako ka elfu 120,000 ukimkata unaitisha kiberiti, ila huyu mwizi anae adhili wengi anatafuta riziki, wakati mwizi wa Simu ndiye hasa anatafuta riziki.
 
Mpira tumecheza we hujazaliwa,
na hakukua na huu upuuzi wa jezi .Ni kabumbu mwanzo mwisho.
Huu upuuzi mmekuja nao nyie wakuja Ndo mana mnaliwa vichwa tu na wapiga deal.
Mko busy na mpira tu
 
Kwa umri wangu, inamaana umecheza mpira kabla ya mwaka 70, sasa unataka Dunia, iendelee na mpira wa kimaskini kama enzi zako unachezea timu yako ya wapuuzi, huku wavue mashati, huku wavae.

Mtu ukiingia na kiatu, una ambiwa vua utatuumiza wenzio.
Ndugu yangu sasa hivi mpira umendelea, isitoshe ni ajira, siyo ridhaa tena kama enzi zenu miaka 60 huko.
Kama mpira umegeuka kuwa ajira, unategemea vilabu vinatoa wapi pesa za uendeshaji, kama tunawakatisha tamaa wawekezaji kwenye mpira.
 
Una tabia na akili za kimaskini
 
Wewe m
Yale Yale Kila mtu analalama TU! Mhusika hatajwi, waziri kaenda mpaka eneo la tukio kashindwa kumtaja mhusika.

Sandaland mwenyewe aliahidi atamtaja lakini naona katishwa, kaogopa kakunja mkia, jeshi la polisi hawamtaji analindwa na anafunikwa funikwa.

Kuna hatari akabambikiwa mtu mwingine kabisa ili kumlinda huyo taita mwenyewe, habari za chini ya kapeti ni mtu mzito na yupo sana kwenye vilabu hivi.

Nasisitiza kwamba mtajeni kama hamuwezi kumtaja mnamuogopa acheni kutupa stori za hayo matambala yenu
wenyeww umeshindwa mtaja unarukaruka chini ya kapeti ndio nini sasa
 
Hivi kuna mtu anajua kuigeuza geuza TRA na TPA nchi hii kama HSC? Msiulize matako ya mbwa ilhali mkia mnauona. Huyu mtoto mwenye komwe kama Mandonga ajiangalie sana kufuatilia hii ishu.
 
Kwa umri wangu, inamaana umecheza mpira kabla ya mwaka 70, sasa unataka Dunia, iendelee na mpira wa kimaskini kama enzi zako unachezea timu yako ya wapuuzi, huku wavue mashati, huku wavae.

Mtu ukiingia na kiatu, una ambiwa vua utatuumiza wenzio.
Ndugu yangu sasa hivi mpira umendelea, isitoshe ni ajira, siyo ridhaa tena kama enzi zenu miaka 60 huko.
Kama mpira umegeuka kuwa ajira, unategemea vilabu vinatoa wapi pesa za uendeshaji, kama tunawakatisha tamaa wawekezaji kwenye mpira.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huku vua huku vaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimecheka sana
 
Nakupa code......

Ukitataka kuvuta bangi unahitaji vitu vitatu ili bangi ikamilike yaani msuubaaa

.1...Riz.
.2..bangi iwe namba moja kwa ubora (0ne)
.3.mixer (gozo,nyota ext..

Natumain ushamjua muhusika kama wew ni mvutaji wa kanka

Acha majungu kijana.
 
Mpira wenyewe mnafungwa tu kila siku,
Jezi za nini?
Hata mkiingia na kanzu au kanga poa tu magoli yako palepale.
Muacheni huyo jamaa kala urefu wa kamba yake.
Mvae jezi feki au Original MNAFUNGWA tu.
Jezi inacheza mpira?
Kwanza wabongo hawana pesa ya kununua jezi OG
 
Hivi kuna mtu anajua kuigeuza geuza TRA na TPA nchi hii kama HSC? Msiulize matako ya mbwa ilhali mkia mnauona. Huyu mtoto mwenye komwe kama Mandonga ajiangalie sana kufuatilia hii ishu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nakupa code......

Ukitataka kuvuta bangi unahitaji vitu vitatu ili bangi ikamilike yaani msuubaaa

.1...Riz.
.2..bangi iwe namba moja kwa ubora (0ne)
.3.mixer (gozo,nyota ext..

Natumain ushamjua muhusika kama wew ni mvutaji wa kanka
Code ya hatari sana hiyo.
 
Back
Top Bottom