Nahonyo
JF-Expert Member
- Dec 28, 2012
- 5,550
- 5,379
hakuna unachojua, kwenye mpira.Mpira wenyewe mnafungwa tu kila siku,
Jezi za nini?
Hata mkiingia na kanzu au kanga poa tu magoli yako palepale.
Muacheni huyo jamaa kala urefu wa kamba yake.
Mvae jezi feki au Original MNAFUNGWA tu.
Jezi inacheza mpira?
.ndiyo maana umeandika hivi, kwenye mpira, kuna watu wanaitwa wadhamini wao hufanya biashara na vilabu, hivyo hao wadhamini hutoa pesa zao, ili kupata tenda ya kusambaza jezi, za Club, Clubu hunufaika na zele pesa, kwa kuendeshea baadhi ya mahitaji ya Club.
Anapotokea mtu akatengeneza jezi za club wakati kuna mtu amepewa mkataba wa kazi hiyo, isitoshe ametoa fefha zake, hata akitengeneza jezi bora kuliko zote Duniani, huyu ni mwizi kama wengine tu.
Sema sisi waswahili tuna nongwa, mtu akija kuvunja dilisha lako, akaiba katecno kako ka elfu 120,000 ukimkata unaitisha kiberiti, ila huyu mwizi anae adhili wengi anatafuta riziki, wakati mwizi wa Simu ndiye hasa anatafuta riziki.