Alikusaidia nn mrKumbe na wewe umeshaingia pale makongo juu??
Hahaha nisiongee sana alichonisaidia mzee wangu ruge. Aliemuweka ndani alaaniwe
Mkatoliki pure afu anakaa na Rozali yenye msalaba kifuani ahahahahHahahahahahahahahaha kudadeki na jamaaaa alikuwa na pesa ila ni mkatoliki au?
Ww kusoma na mwanae tuuu akakupa cash au alikupa cheque?
Sio lazima nitumie mimi. Kuna watoto na ndugu pia chief.Halafu ungezifanyia Nini?
Maisha yako hapa duniani Ni miaka 70 ukipendelewa 77 na hata hiyo 70 unaweza usiifikie
Dawa hospitali za Umma Ni tabuAmazing, 1.6$ M cash?
Kakoko , uhamiaji ilikuwaje wakamsahau?Chanzo: Tetesi
Huyo Kakoko sijui Ukoko atakuwa Juha wa mwisho kufanya hivyo. Issue ya kuchunguzwa TPA ina zaidi ya mwaka atakuwa mjinga wa mwisho kuhifadhi pesa ndani wakati anachunguzwa.
Ahahahahaha nimecheka sanaSasa atasababisha wenzake wazimwage barabarani kwa kiwewe , maana wakiweka ndani moto wakipeleka benki hatari, watatembea nazo kwenye V8 mpaka wapagawe.
"Bahamas ya home kwake"......Tutayaona na kusikia mengu awamu hii.
Ila BOT wanazijua account za watu wenye mitonyo mirefu! Au alikua kaficha Bahamas!?
Huo mguno veepee?
Moja ya watu waliokuwa wanakingiwa kifua na ikulu awamu iliyopita.
Siku serikali ikiamua kupambana na ufisadi kwa dhati kabisa ndo tutasonga mbele.
Hayo maswali hajawahi kujibu tangu azaliwe.kwa namna gani?
how?
kuna serikali yyte duniani imezuia rushwa by 100%?
Mkuu, benki walikuwa wanazi-freeze wanakunyang'anya, na huyu kama kweli alijiamini kwamba yupo salama.Who does that in this day and age?
He must be the dumbest [if true] to be caught lacking like that.
Amateur hour.