Jesuitdon
JF-Expert Member
- Dec 18, 2018
- 3,153
- 2,673
Alikusaidia nn mrKumbe na wewe umeshaingia pale makongo juu??
Hahaha nisiongee sana alichonisaidia mzee wangu ruge. Aliemuweka ndani alaaniwe
Hivyi yupo gereza gani
Nauhakika atasamehewa na kutoka
Kwani alifilisiwa?