Sakata la Kakoko wa TPA kudaiwa kuweka nyumbani begi lenye USD 1,625,800. Mkurugenzi wa TAKUKURU akanusha

Sakata la Kakoko wa TPA kudaiwa kuweka nyumbani begi lenye USD 1,625,800. Mkurugenzi wa TAKUKURU akanusha

Kumbe na wewe umeshaingia pale makongo juu??

Hahaha nisiongee sana alichonisaidia mzee wangu ruge. Aliemuweka ndani alaaniwe
Alikusaidia nn mr

Hivyi yupo gereza gani


Nauhakika atasamehewa na kutoka


Kwani alifilisiwa?
 
8171F04A-5896-4D85-9DFF-ABCFEB971719.jpeg
 
Hali inazidi kuwa ya moto takukuru yakiri kakoko anashikiliwa kwa mahojiano
farhia.middle_1617079850480795.jpg
 
Chanzo: Tetesi

Huyo Kakoko sijui Ukoko atakuwa Juha wa mwisho kufanya hivyo. Issue ya kuchunguzwa TPA ina zaidi ya mwaka atakuwa mjinga wa mwisho kuhifadhi pesa ndani wakati anachunguzwa.
Kakoko , uhamiaji ilikuwaje wakamsahau?
 
Hawa washamba walikuwa kama manyani yamekabidhiwa shamba ya mahindi. Wizi tu na uporaji huku wakiimba uzalendo uzalendo
 
Who does that in this day and age?

He must be the dumbest [if true] to be caught lacking like that.

Amateur hour.
Mkuu, benki walikuwa wanazi-freeze wanakunyang'anya, na huyu kama kweli alijiamini kwamba yupo salama.

Yeye ndiyo aliambiwa awachunguze subordinates wake.

He trusted the system trusted him.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Back
Top Bottom