Sakata la Kakoko wa TPA kudaiwa kuweka nyumbani begi lenye USD 1,625,800. Mkurugenzi wa TAKUKURU akanusha

Utakasilika sana lakini unachotakiwa kufahamu Mama ameamua kumwaga mafuta ya taa chumbani sasa nyoka wote watatoka huyo ni mmoja tu,nakuwekea nukuu moja kwa philip mpango mapema leo bungeni ,kasema "watendaji chapeni kazi maana mjomba hayupo"

Mbona husemi “tutayaenzi yote yaliyofanywa na Marehemu JPM” au unajifanya hukusikia!
 
Kumchukia mwenye pesa hakufanyi wewe uwe na pesa. Watanzania tutafute pesa tuache makasiriko yasiyo na msingi.

Watu wanafurahi kusikia mwenye nacho anapata shida.

Mama Samia oyeeee
Nalaani sana umasikini ndio huleta yote haya
 
Mnatuchanganya tu nakutupoteza maboya tusiwaze vitu vya maana, hapa tunatajiwa figure hiyo huku wengine wanapakuwa kule tukija shituka tunakuta mfereji mwingine unavuja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…