Wabongo noma"Hapana huo ni uongo, hizo taarifa za kukutwa na fedha nyumbani kwake sio sahihi, ni watu nadhani pengine ni maadui zake wanajaribu kutengeneza hoja za kuonyesha alikuwa na hizo hela, KAKOKO anashikiliwa na sisi TAKUKURU hilo halina ubishi" Brigedia Generali Mbungo, Mkurugenzi Mkuu TAKUKURU
Uko kwa hapo nje 5N!?Samaki samaki ya wapi?Nipo hapa 5N kama hapo mlimani nasogea chaap
Jiwe alikuwa fisadi Papa!Ufisadi uko kila awamu sema watu wanalindana tu
Nyie si ndo mlisema Rais huyu atafata haki?Aseme kwanini kawekwa lupango? Watamweka mtu lupango kwa sababu tu wamependa kufanya hivyo bila ya kuwepo sababu husika? [emoji15][emoji15]
Mbona ipo wazi anashikiliwa kutokana na report ya CAG kuna ubadhirifu wa fedha? Rais alitoa amri achunguzwe..yupo huko kwa mahojiano maana yeye ndo boss lazima awe wa Kwanza kutoa maelezo. Ni kipi tena unataka kusikia?Ndiyo upumbavu wa polisiccm wa kuwatia watu lupango bila kutangaza sababu husika za kufanya hivyo matokeo yake ni kuwapa mwanya wa kuwabambikia kesi Watanzania wengi wasio na hatia kesi mbaya za uchochezi, uhujumu uchumi etc. Unamtia mtu lupango sema hadharani sababu husika na kwamba uchunguzi unaendelea siyo kupiga kimya ili kuanza kutafuta cha kumbambikia.
Sasa kama kakanusha kwanini ashindwe kuweka hadharani sababu za kumuweka lupango? [emoji15]
Mbona ipo wazi anashikiliwa kutokana na report ya CAG kuna ubadhirifu wa fedha? Rais alitoa amri achunguzwe..yupo huko kwa mahojiano maana yeye ndo boss lazima awe wa Kwanza kutoa maelezo. Ni kipi tena unataka kusikia?
Makubwa haya!
Kuna namna watanzania tunashindwa hata kutumia akili ya kawaida kabisa kwenye mambo madogo kama haya. Dola 1.6 ni zaidi ya bilioni 3.5 za kitanzania,sasa inakuaje mtu apokee rushwa kubwa mkononi halafu akazitunza chumbani kwake!
Mzee mwenzangu vp na wewe ungepewa kitengo usingepiga au mm ningejiongeza tu
Ova
Salama kabisaaaaa.
Za masiku?
Nalaani sana umasikini ndio huleta yote haya
Mnatuchanganya tu nakutuporeza maboya tusiwaze vitu vya maana, hapa tunatajiwa figure hiyo huku wengine wanapakuwa kule tukija shituka tunakuta mfereji mwingine unavuja
Muafrica ananunua Bunduki kwa mzungu amuue muafrica mwenzie....
Watoto wanakaa chini na twaambiwa tuko vizuri kumbe kuna keki kwenye sahani wanamega wachache na wenye keki wanaitwa wanyongeView attachment 1738947
Mshahara huo ni wa kawaida katika nchi ambayo inamlipa mwalimu chini ya shilingi laki tano!Milioni 18 baada ya kodi ni mshahara wa kawaida sana tena sana
Aliweza kuzichimbia kabla nini, maana rumaz zilienea sana kitaa hizo fedha ni kama milioni 7 zote hata mimi mtoto wa mchungaji tunapata katika makusanyo ya sadaka. Da! inamaana kachomoa soo?
Ukiona hvyo nao wangepiga ttz watu hawajapata nafasi mm huyo DG hata simlaumuHahahahaha hili swali gumu sana kwa kila mwana jf hahaha
Hao wanaolipwa mshahara wa kawaida wa shilingi milioni 18 baada ya kodi ( ambao ni zaidi ya milioni 30 kabla ya kukatwa kodi). Hao wanao ona mtumishi wa umma kuwa na dola 3000 na shilingi milioni moja na nusu nyumbani sio kitu cha kushangaza maana ni pesa ya "mboga".Wakina nani hao mbona Takukuru wamekanusha?