msindikizaji
JF-Expert Member
- Aug 29, 2010
- 1,763
- 2,888
Kaanza kuiba way before na ndo maana kamati iliundwa lkn yeye hakuguswa. Juulize aliwezaje kuiba hlf asitumbuliwe. Tulivyokua tunamuelewa jiwe yaani pawe na ubadhirifu halafu mkurugenzi apone kweli? Kuna report ya CAG Assad ilishasema yule aondolewe na afilisiwe jumla ya mali zake dola laki 9. Aliondolewa? Jiulize kwanini?Most likely zimechotwa mara baada ya Magufuli kufariki ndiyo maana alikuwa hajafanya utaratibu wa kuzificha!
Nilidhani mafisadi yalikomeshwa.Majizi yapo kila idara. Rais tusaidie kupambana nao
Eti wazalendo! Wezi washamba sana hawa hapa Duniani
Overconfidence killsWho does that in this day and age?!!
He must be the dumbest [if true] to be caught lacking like that.
Amateur hour.
Ebow alikuwa anatengeneza mafisadi majeuri wauaji ukihoji unakutwa kwenye kirobaNilidhani mafisadi yalikomeshwa.
Hata kuzichimbia tu chini, huyu inabidi abanwe kende ili ataje kiasi alichochota na kutudisha mara moja.Most likely zimechotwa mara baada ya Magufuli kufariki ndiyo maana alikuwa hajafanya utaratibu wa kuzificha!
Huyu Mama aisee tuna mpa tena na tena na nyongeza tenaNimeipenda hii style ya kukagua nyumbani kwa kustukiza, mama samia mikumi tena
Chato fmChanzo cha habari?
Chanzo cha habari?
Amazing, 1.6$ M cash?
Who does that in this day and age?!!
He must be the dumbest [if true] to be caught lacking like that.
Amateur hour.
Leta reliable source,naona watu wamesha hukumu tayari na matusi juu!
Mleta mada source yake;
"Nimesoma pahala"
Hii ndio JF ya leo aisee!
LumumbaChanzo cha habari?