Sakata la Kakoko wa TPA kudaiwa kuweka nyumbani begi lenye USD 1,625,800. Mkurugenzi wa TAKUKURU akanusha

Sakata la Kakoko wa TPA kudaiwa kuweka nyumbani begi lenye USD 1,625,800. Mkurugenzi wa TAKUKURU akanusha

Most likely zimechotwa mara baada ya Magufuli kufariki ndiyo maana alikuwa hajafanya utaratibu wa kuzificha!
Kaanza kuiba way before na ndo maana kamati iliundwa lkn yeye hakuguswa. Juulize aliwezaje kuiba hlf asitumbuliwe. Tulivyokua tunamuelewa jiwe yaani pawe na ubadhirifu halafu mkurugenzi apone kweli? Kuna report ya CAG Assad ilishasema yule aondolewe na afilisiwe jumla ya mali zake dola laki 9. Aliondolewa? Jiulize kwanini?
 
Who does that in this day and age?!!

He must be the dumbest [if true] to be caught lacking like that.

Amateur hour.

Porojo za Kigogo na Chahali hizi. Hivi kama kweli alikuwa na pesa ndani akae nazo tu tangu JPM afariki? Unadhani yeye alikuwa hajui kuwa watu wamempania? Tutadanganywa sana hiki kipindi cha mwezi mmoja,baadae tutarudi kule kwa kumdhihaki tena SSH kama kawaida yetu.Ni swala la muda tu mbona.

Nimecheka Kigogo “anatoa” maelekezo ya nani akamatwe.
 
Leta reliable source,naona watu wamesha hukumu tayari na matusi juu!
Mleta mada source yake;

"Nimesoma pahala"

Hii ndio JF ya leo aisee!

Inashangaza sana,tena unakuta Senior Member kabisa hapa analeta porojo za kina Kigogo/Chahali hapa. Baada ya muda wakigundua si kweli wataanza kumkejeli tena Rais kama kawaida yao.
 
Huo Ukwasi Alichota Wapi Kama Kweli Basi
Awamu Iliyoisha Itamvua Nguo Marehemu
Wananchi Wanalalamika Wachache Wanapeta

Viongozi Wetu Waache Kulindana
Najiuliza Bila Kifo Huyo Asingeguswa Kabisa
Ameweka Ndani Dollar Ili Hata Mkibadili Pesa Yeye Anapeta 😃😄
 
Back
Top Bottom