msindikizaji
JF-Expert Member
- Aug 29, 2010
- 1,763
- 2,888
Kaanza kuiba way before na ndo maana kamati iliundwa lkn yeye hakuguswa. Juulize aliwezaje kuiba hlf asitumbuliwe. Tulivyokua tunamuelewa jiwe yaani pawe na ubadhirifu halafu mkurugenzi apone kweli? Kuna report ya CAG Assad ilishasema yule aondolewe na afilisiwe jumla ya mali zake dola laki 9. Aliondolewa? Jiulize kwanini?Most likely zimechotwa mara baada ya Magufuli kufariki ndiyo maana alikuwa hajafanya utaratibu wa kuzificha!