chuma cha mjerumani
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 11,541
- 23,999
Mkuu we wadhani bandarini inaingia pesa ngapi? Kama bank teller tu enzi za jk alipga ela zaidi ya bils 3, sishangai huyo mtu tena naona kapga ndogoNachoshangaa mtu anapiga hela yote hiyo walikuwa hawajui au Kuna uzembe ama vipi.. mkuu billion sio ukwasi mdogo huo hicho ni kitita Cha maisha..😅
Watu wana pesa mkuu, mm nilishuhudia kwa macho yangu mtu anaandikiwa cheque ya ela ya bia milion 10Tsh 9,000,000,000/= 🤔🤔 mimi 20,000/= ya kula na wanangu tu ni mtihani.🤣
Ungemuuliza jiwe kabla hajizima angekupa majibu maana yeye na watu wake ndio waliotuletea ule ugoroHII INANIKUMBUSHA NDOO ZA PESA NYUMBANI KWA MASAMAKI CHANIKA. ILE KESI ILIISHIA WAPI?????
Wakati mwingine huwa inakuwa kinyume... Fukiria hiiNimjuavyo mie pale Bandari ana miaka minne. Je angekaa kumi.
Kupiga watu wamepiga mzee nchii hii ngumu
Tena elewa utawala uliyopita watu wengi
Waliyopata nadhifa walikuwa na ushamba,ugeni fulani wa mambo
Ova
Acha uongo.Ukaguzi wa CAG ulikuwa haujatoka wakati huo; kwa hiyo kuna habari ambazo Majaliwa hakuweza kuzijua mara moja.
Wakati mwingine huwa inakuwa kinyume... Fukiria hii
1. Enzi za JK kwa miaka kumi, makashfa yote (eg MEREMETA, ESCROW, ETC) zilipigwa 784 Bilioni
2. Enzi za JPM sasaa..!!! kwa ule mwaka mmoja tu zilisepeshwa 15T
Hivyo, si kila wakati muda ndo kigezo, kuna wakati uthubutu ndo kila kitu
Wabongo wanaingiaga kichwa kichwa kujadili mada ambazo hazijathibitishwaKigogo/Chahali ha ha ha.Mtu anasema nimesoma mahali ,kumbe porojo za kina Kigogo[emoji3][emoji3]
Alikuwa anaendelea kutumbua....View attachment 1738318
Someni wenyewe. Afu zee lilijisifu sana "kwenye utawala wangu hakuna fisadi atatokeza" bora alivyokufa tu mana tungezidi kupigwa na tusingejua
Ni B3 na 700M
Kwa cheo chake na wizi aliokuwa anafanya naona kama $ 1.6m ni ndogo sana kwake....Ukichukua note za $ 100 kupata $ 1.6m ni easy ,ni sawa na mabunda 160 ya bundle ya note 100.Nimesoma kuwa Takukuru wameingia nyumbani kwa Kakoko leo ghafla na kumkuta na begi lenye $1,625,800 cash baada ya kusimamishwa kazi jana!
Haijulikani hizo alizichota lini, lakini kama ni kweli inawezekana alikuwa akizichota pole pole kwa muda mrefu kidogo na huenda sasa hivi ana "vijisenti" vingi sana hujo Jersey au Switzerland kama yule mzee.
Unafikiri hiyo 4bl kaanza kuokota juzi? Hiyo kitambo sanaAlikuwa anaendelea kutumbua....