Sakata la Kakoko wa TPA kudaiwa kuweka nyumbani begi lenye USD 1,625,800. Mkurugenzi wa TAKUKURU akanusha

Sakata la Kakoko wa TPA kudaiwa kuweka nyumbani begi lenye USD 1,625,800. Mkurugenzi wa TAKUKURU akanusha

Rafiki wa Magu.

na hawa hapa wachunguzwe

mfugale
bashiru
pole pole
dotto
mkuu wa TRA

kijazi nae atakuwa kamenya sanaa.
 
Nachoshangaa mtu anapiga hela yote hiyo walikuwa hawajui au Kuna uzembe ama vipi.. mkuu billion sio ukwasi mdogo huo hicho ni kitita Cha maisha..😅
Mkuu we wadhani bandarini inaingia pesa ngapi? Kama bank teller tu enzi za jk alipga ela zaidi ya bils 3, sishangai huyo mtu tena naona kapga ndogo
 
Nimjuavyo mie pale Bandari ana miaka minne. Je angekaa kumi.
Wakati mwingine huwa inakuwa kinyume... Fukiria hii
1. Enzi za JK kwa miaka kumi, makashfa yote (eg MEREMETA, ESCROW, ETC) zilipigwa 784 Bilioni
2. Enzi za JPM sasaa..!!! kwa ule mwaka mmoja tu zilisepeshwa 15T

Hivyo, si kila wakati muda ndo kigezo, kuna wakati uthubutu ndo kila kitu
 
Kupiga watu wamepiga mzee nchii hii ngumu
Tena elewa utawala uliyopita watu wengi
Waliyopata nadhifa walikuwa na ushamba,ugeni fulani wa mambo

Ova

Sikatai kuwa hawakupiga,kila awamu watu waliokuwa kwa Inner Circle walikuwa wanapiga pesa. Shida yangu ni hapo pa kukutwa na kiasi hicho cha pesa Cash ndani.

Hata kama walikuwa na “ushamba” kama usemavyo wewe,but si kwa kiwango hicho. Mtu atumbuliwe baada ya masaa 24 ndiyo TAKUKURU waende kupekuwa nyumbani kwake wakute kiasi chote hicho cha pesa? Ni ngumu kuamini.
 
Pesa kidogo sana hiyo kwa hiyo nafasi yake. Mi ndani ya miaka minne ningekuwa nimepiga B kama mia kenda kasoro.
 
Wakati mwingine huwa inakuwa kinyume... Fukiria hii
1. Enzi za JK kwa miaka kumi, makashfa yote (eg MEREMETA, ESCROW, ETC) zilipigwa 784 Bilioni
2. Enzi za JPM sasaa..!!! kwa ule mwaka mmoja tu zilisepeshwa 15T

Hivyo, si kila wakati muda ndo kigezo, kuna wakati uthubutu ndo kila kitu


Kwa miaka 10 ,Shs 784bn ilipigwa,
kwa mwaka mmoja Shs15tn imepigwa!!!!. What a nasty!!!
 
TUSICHOSHANE KWA HADITHI TUSIKIE BASI HIZO PESA ZIMECHOTWA, RUSHWA AU ANA MTAMBO WA KUTENGENEZA NYUMBANI KWAKE.
 
Ingekuwa China huyo adhabu yake huyo ingekuwa KUNYONGWA tu hakuna mjadala
 
Asanteni sana baadhi ya wakongwe humu JF ambao kwa ujasiri wenu mmekataa kata kata kuwa compromised...nawapa big salute kwa kulitendea haki jamvi letu hili kwa kauli mbiu ya this is where we dare! Tuendelee kumkoma nyani bila kumwangalia uso wala kumung'unya maneno! Finally there is a flicker of light at the end of the long dark channel na karibu tutafika. When the godfather is no more, genge lazima lisambaratike!
 
Kuna watu walionea sana Wenzao walinyanyasa sana watumishi waliokua chini Ya idara au wizara walizokua wanaongoza.
LAKINI WAO KUMBE MAJIZI MAKUBWA.
Wapo Watumishi walijiona miungu watu.Wapo watu walitumua vibaya sana vyeo vyao. Kutishia watu kunyanyasa na hata kuzushia ama wizi au kuwahusisha na Vyama vya upinzani ili wawakomoe.
 
Nimesoma kuwa Takukuru wameingia nyumbani kwa Kakoko leo ghafla na kumkuta na begi lenye $1,625,800 cash baada ya kusimamishwa kazi jana!

Haijulikani hizo alizichota lini, lakini kama ni kweli inawezekana alikuwa akizichota pole pole kwa muda mrefu kidogo na huenda sasa hivi ana "vijisenti" vingi sana hujo Jersey au Switzerland kama yule mzee.
Kwa cheo chake na wizi aliokuwa anafanya naona kama $ 1.6m ni ndogo sana kwake....Ukichukua note za $ 100 kupata $ 1.6m ni easy ,ni sawa na mabunda 160 ya bundle ya note 100.
 
Back
Top Bottom