Sakata la Kakoko wa TPA kudaiwa kuweka nyumbani begi lenye USD 1,625,800. Mkurugenzi wa TAKUKURU akanusha

Yale ma ng'ombe ya kijani saiz sioni kabisa wasap status zao wala majukwaani manina sana kumbe ndio yalikua yana ficha uozo huu kiasi hiki ?
 
Wanyongeee wanyongee wanyongee.....my black arrssee..

Watu wansanuka tu ...
 
Inawezekana kabla ya kauli ya Raisi,alikuwa ameshawekwa chini ya ulinzi..
 
Kwa cheo chake na wizi aliokuwa anafanya naona kama $ 1.6m ni ndogo sana kwake....Ukichukua note za $ 100 kupata $ 1.6m ni easy ,ni sawa na mabunda 160 ya bundle ya note 100.
Sema jamaa kafeli sana, hizo hela unaweza zificha hata chini ya siti ya gari yeye aliziwekaje ndani ya nyumba? Gari ambayo hutembelei mara kwa mara ndo unafichia pesa humo.
 
Uzuri wa kigogo anatoa taarifa watu wanampinga weeee baadaye zikiwa za kweli wanakimbiana,katika habari 10 anazotoa karibu 70% zina ukweli ,30% zinakuwa mislead na "TEETH" kwa ajili ya kumuondelea kuaminika.
 
Jamani msimshutumu sana bwana katoto.

Huenda labda hizo pesa ni mshahara wake, alimake mdogo mdogo mpaka kufikia hiyo $ 1.6 bn.
hahahaaaaaa!!!
1. Engineer , mkurugenzi wa TRC
2. Engineer, mkurugenzi wa ATCL
3. Engineer , mkurugenzi wa tanroads
4. Engineer , mkurugenzi wa mamlaka ya Bandari
5. Maengineer mameneja wa tanroads mikoa yote tanzania.
6. Engineer, yahya wa tume ya madini
Hawa niliowataja hapo juu, wachunguzwe, na wafuatiliwe kuna Kilio kubwa sana cha upigaji wa fedha za umma tangu mwaka 2015-- 2021.
 
Sema jamaa kafeli sana, hizo hela unaweza zificha hata chini ya siti ya gari yeye aliziwekaje ndani ya nyumba? Gari ambayo hutembelei mara kwa mara ndo unafichia pesa humo.

Ni kweli bundle 160 za note za $ 100 angeweke tu kwenye gari tu na si ndani au angechimba handaki tu na kuzihifadhi.
 
Aisee. Kwa hiyo lazima kuna picha ya mtuhumiwa na hiyo exhibit - USD$1.6 na yuko lock up sasa hivi…..
 
Ni kweli bundle 160 za note za $ 100 angeweke tu kwenye gari tu na si ndani au angechimba handaki tu na kuzihifadhi.
Wala si handaki ni kashimo kadogo anapangua perves kisha anazika ndoo ndogo tu ya litre 10 anatumbukiza mzigo na kuiseal ndoo na mfuniko kisha anarudishia perving blocks.

Siku unawapa outing mke na familia kwa ujumla huku nyuma unafanya yako kimya kimya. Hao takukuru hata kama wajanja kiasi gani kusanukia hilo ni ndoto 😁😁😁
 
Reactions: BRB
Most likely zimechotwa mara baada ya Magufuli kufariki ndiyo maana alikuwa hajafanya utaratibu wa kuzificha!
Pumbafu sana wew...mnajifarijifariji tu.Waziri mkuu aligundua huo wiz Magu akiwa hai na alimuogopa kumtumbua kwakua ilikua kipenzi chake.Sijui aliwalisha nn jiwe mpk mkawa kama mazombie,Nakwambien Wakiamua kufunua ulaghai na propaganda za jiwe na utapeli kwa watanzania wanyonge,legacy itakua stunt
 
Waziri Mkuu ajitathmini mapema..Kama hakukatiwa mpunga huyu sijuii.
Swali la msingi ni kwanini Majaliwa katika uchunguzi wake, akawatumbua "vidagaa" na kumuacha "papa" Kakoko aendelee kutamba??

Ndiyo utambue kuwa enzi za Hayati Magufuli, nchi alikuwa ikiendeshwa kwa mtindo wa "double standards" wa hali ya juu sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…