Sio idara dunianiMajizi yapo kila idara. Rais tusaidie kupambana nao
Chanzo: TetesiNa kigogo amesema $ 1.5m zimekutwa nyumbani kwa kakoko.
Ni upuuzi tuHizi ni almost 3.6 plus billion ambazo CAG kasema zimepotea.
Is it a coincidence?
Asingeweza alikua rafiki mkubwa wa Jiwe,ukweli ni kwamba Marehemu alitulaghai sana wanyonge,watu wake wa karibu wampiga sana mara elf ya awam zoteSwali la msingi ni kwanini Majaliwa katika uchunguzi wake, akawatumbua "vidagaa" na kumuacha "papa" Kakoko aendelee kutamba??
Ndiyo utambue kuwa enzi za Hayati Magufuli, nchi alikuwa ikiendeshwa kwa mtindo wa "double standards" wa hali ya juu sana!
uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana yani sana.Pesa si inafichwa nyumbani kumbuka hao takukuru nao wana akili
Lazima wakutimbie nyumbani kufanya uchunguzi
Na sahvi mkuu mpya amewapa makali nendeni sehemu fulani hakuna kujuana
Nyie ingieni no kujuana hakuna mupe muruke
Ova
Kwaiyo mshahara wake kwa mwezi inafika milioni mia na au??!tofauti na hapo ni hela ya wizi iyo,inatakiwa afungwe na mnyororo kwenye roli LA jeshi aburuzwe hadi nyororo ibakie na mfupa wa koo tu, LolPesa kidogo sana hiyo kwa hiyo nafasi yake. Mi ndani ya miaka minne ningekuwa nimepiga B kama mia kenda kasoro.
Waweke tu masoja kusimamia kama pale Mereranihapo bandarini sijui nini kifanyike wizi umekithiri sana.
Naamini atakuwa amesoma kwenye gazeti na msemaji wa TAKUKURU kathibitisha. Au?Chanzo cha habari?
Hahahahahahahahahaha wapi ukoooWatu wana pesa mkuu, mm nilishuhudia kwa macho yangu mtu anaandikiwa cheque ya ela ya bia milion 10
Rugemarila huyo, yani alikuwa anatoka bank akakutana na mzee wanafahamiana, wakasalikiana akamwamhia hawajaonana miaka mingi ngoja ampe walau hata pesa ya bia. Watu wana pesa bwanaHahahahahahahahahaha wapi ukooo
umbe,,,lakini hawa wa sasa siwalijipambanua kuwa wamekuja kuukomesha huo ujizi wa watu walio Pita?.Wao si walikuwa kwenye Wakati wa watakatifu,,kila jambo lao walikuwa wakimtanguliza Mungu?,,,Tujadili.Let we Be patient. Some things take time.Viongozi wote waliopitia bandari ni majizi tokea miaka ile tukiwa wadogo somebody "Janguo" waliishi maisha ya raha kuliko Raisi
Hahahahahahahahahaha kudadekiRugemarila huyo, yani alikuwa anatoka bank akakutana na mzee wanafahamiana, wakasalikiana akamwamhia hawajaonana miaka mingi ngoja ampe walau hata pesa ya bia. Watu wana pesa bwana
Ahahahahahahahaha yaani kuna siku tulienda kwake kusalimia, aisee mpaka natoka nilishajikusanyia milioni kumi na moja kama laki saba hivi, aisee nilitamani niende kila siku.Ni ela nyingi kwa hohe hahe ila ya kawaida kwa watu kama hao. Kama mtu anaweza kununua nyumba au kiwanja osterbay kwa zaidi ya bilioni moja na nusu we wadhani ana ukwasi kiasi gani?
Hao ni sawa na akina rugemalira aliyempa mama tibaijuka bil 2, akampa yule padri 1.5 bil. Ruge bwana, akiwa bukoba alimwandikia mzee flani cheque ya mils 10 eti ela ya bia 😂
Inasikitisha sanahuu uozo unafichwa,baadae wanafuta
hela ndogo? ushawah kumiliki kiasi hiko?Hela ndogo sana hiyo sema kwakuwa wabongo njaa mingi....tunaona kama jamaa kaiba benki nzima...