Sakata la Kakoko wa TPA kudaiwa kuweka nyumbani begi lenye USD 1,625,800. Mkurugenzi wa TAKUKURU akanusha

Sakata la Kakoko wa TPA kudaiwa kuweka nyumbani begi lenye USD 1,625,800. Mkurugenzi wa TAKUKURU akanusha

Na kigogo amesema $ 1.5m zimekutwa nyumbani kwa kakoko.
Chanzo: Tetesi

Huyo Kakoko sijui Ukoko atakuwa Juha wa mwisho kufanya hivyo. Issue ya kuchunguzwa TPA ina zaidi ya mwaka atakuwa mjinga wa mwisho kuhifadhi pesa ndani wakati anachunguzwa.
 
Hela ndogo sana hiyo sema kwakuwa wabongo njaa mingi....tunaona kama jamaa kaiba benki nzima...
 
Swali la msingi ni kwanini Majaliwa katika uchunguzi wake, akawatumbua "vidagaa" na kumuacha "papa" Kakoko aendelee kutamba??

Ndiyo utambue kuwa enzi za Hayati Magufuli, nchi alikuwa ikiendeshwa kwa mtindo wa "double standards" wa hali ya juu sana!
Asingeweza alikua rafiki mkubwa wa Jiwe,ukweli ni kwamba Marehemu alitulaghai sana wanyonge,watu wake wa karibu wampiga sana mara elf ya awam zote
 
Pesa si inafichwa nyumbani kumbuka hao takukuru nao wana akili
Lazima wakutimbie nyumbani kufanya uchunguzi
Na sahvi mkuu mpya amewapa makali nendeni sehemu fulani hakuna kujuana
Nyie ingieni no kujuana hakuna mupe muruke

Ova
uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana yani sana.
 
Pesa kidogo sana hiyo kwa hiyo nafasi yake. Mi ndani ya miaka minne ningekuwa nimepiga B kama mia kenda kasoro.
Kwaiyo mshahara wake kwa mwezi inafika milioni mia na au??!tofauti na hapo ni hela ya wizi iyo,inatakiwa afungwe na mnyororo kwenye roli LA jeshi aburuzwe hadi nyororo ibakie na mfupa wa koo tu, Lol
 
Hahahahahahahahahaha wapi ukooo
Rugemarila huyo, yani alikuwa anatoka bank akakutana na mzee wanafahamiana, wakasalikiana akamwamhia hawajaonana miaka mingi ngoja ampe walau hata pesa ya bia. Watu wana pesa bwana
 
K
Viongozi wote waliopitia bandari ni majizi tokea miaka ile tukiwa wadogo somebody "Janguo" waliishi maisha ya raha kuliko Raisi
umbe,,,lakini hawa wa sasa siwalijipambanua kuwa wamekuja kuukomesha huo ujizi wa watu walio Pita?.Wao si walikuwa kwenye Wakati wa watakatifu,,kila jambo lao walikuwa wakimtanguliza Mungu?,,,Tujadili.Let we Be patient. Some things take time.
 
Rugemarila huyo, yani alikuwa anatoka bank akakutana na mzee wanafahamiana, wakasalikiana akamwamhia hawajaonana miaka mingi ngoja ampe walau hata pesa ya bia. Watu wana pesa bwana
Hahahahahahahahahaha kudadeki
 
Ni ela nyingi kwa hohe hahe ila ya kawaida kwa watu kama hao. Kama mtu anaweza kununua nyumba au kiwanja osterbay kwa zaidi ya bilioni moja na nusu we wadhani ana ukwasi kiasi gani?
Hao ni sawa na akina rugemalira aliyempa mama tibaijuka bil 2, akampa yule padri 1.5 bil. Ruge bwana, akiwa bukoba alimwandikia mzee flani cheque ya mils 10 eti ela ya bia 😂
Ahahahahahahahaha yaani kuna siku tulienda kwake kusalimia, aisee mpaka natoka nilishajikusanyia milioni kumi na moja kama laki saba hivi, aisee nilitamani niende kila siku.

Yule mwanae tall mpole sana anayesimamia Windhoek akanambia bro ungekuwa na kifaa kikubwa tungekuwekea na tubia kidogo nikamwambia usjali ili nikimbize mzigo wangu.

Yule mzee ana mkwanja balaa aisee, JK mwenyewe alipewa 10b Mizengo Pinda 6b hadi akapagawa akaenda BBC akatangaza kugombea Urais ahahah
 
Back
Top Bottom