Sakata la Kakoko wa TPA kudaiwa kuweka nyumbani begi lenye USD 1,625,800. Mkurugenzi wa TAKUKURU akanusha

Hahahahahahahahahaha
 
Hahahaha jamaa ana ela kitambo sana toka miaka 1990 huko, yani kitambo sana
 
Kwaiyo mshahara wake kwa mwezi inafika milioni mia na au??!tofauti na hapo ni hela ya wizi iyo,inatakiwa afungwe na mnyororo kwenye roli LA jeshi aburuzwe hadi nyororo ibakie na mfupa wa koo tu, Lol
Hiyo avatar ni ww?
 
Ww ni nani akupe 10.7m mzeeeee au chaiiii?????


Kumbe msimamizi wa windhock n mtoto wake
 
Maisha haya Mimi hapa kodi tu ya mwezi huu kizaizai
Kuna siku nilikuwa napanga pale K/Nyama aisee nilidaiwa kodi mpaka mwenye nyumba akaingia chumbani kunipiga ngumi, dah! Tulikunjana kinomer sema badae roho ikanambia 'lakini hapa sikwako'

Ikabidi nije Yombo Bagamoyo kuweka kachumba kamoja! Nakwenyewe tukanyang'anywa maeneo yetu na akina Rizmoko na Abood...

Dunia bwana, Karibu Dumira
 
Hivyi USALAMA WA TAIFA walikuwa wapi
 
Kabla hawaja ficha ushahidi, Mh Rais anatakiwa awashighulikie wafuatao haraka iwezekanavyo.
1. Dotto James, katibu mkuu hazina
2. Biswalo, Dpp
3. Bashiru KmK
4. Katibu mkuu ofisi ya Vp.
Hawa watu wana circle hatari ya wizi wa mali zetu.
 
St. Magunia na wenzie walikuwa wezi tyuu!
 
Ww ni nani akupe 10.7m mzeeeee au chaiiii?????


Kumbe msimamizi wa windhock n mtoto wake
Ndio mwanae kabisa dogo Maji ya kunde hivi mrefu! Kama kuna tamasha utamuona mtaratibu sana huwezi jua kama ndo kashikishwa mikoba.

Kuna mzee mmoja ndo alikuwa kaandaliwa kuwa meneja wa Kanda ya Afrika maana Kabla Magu hajaingia ilikuwa Windhoek ifungue brunch take kubwa hapa Tz ya kuhudumia Afrika nzima.

Nilisoma na mwanae pale Tosa Maganga, kuna mizigo-zigo Mara inaagizwa kuingiza kwenye godown tu aisee pale pana hela we acha, yaani wana pesa nyingi sana, Prof. Tibaijuka alipewa hizo 1.6b ili ardhi ya kiwanda ipatikane..

Siunajua alikuwa wazir wa Ardhi, maaskofu walipewa mzigo ili baadhi ya vifaa vya kiwanda vipite bandarini kama Mali ya Kabisa visilipe kodi!
 
Sema jamaa kafeli sana, hizo hela unaweza zificha hata chini ya siti ya gari yeye aliziwekaje ndani ya nyumba? Gari ambayo hutembelei mara kwa mara ndo unafichia pesa humo.
Mkuu umeshawahi kukaguliwa na polisi
Unadhani hilo begi la dola alikuwa kaliweka kabatini tu
 
Hahahahahahahahahaha kudadeki na jamaaaa alikuwa na pesa ila ni mkatoliki au?



Ww kusoma na mwanae tuuu akakupa cash au alikupa cheque?
 
Pesa kidogo sana hiyo kwa hiyo nafasi yake. Mi ndani ya miaka minne ningekuwa nimepiga B kama mia kenda kasoro.
Halafu ungezifanyia Nini?
Maisha yako hapa duniani Ni miaka 70 ukipendelewa 77 na hata hiyo 70 unaweza usiifikie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…