Ndio mwanae kabisa dogo Maji ya kunde hivi mrefu! Kama kuna tamasha utamuona mtaratibu sana huwezi jua kama ndo kashikishwa mikoba.
Kuna mzee mmoja ndo alikuwa kaandaliwa kuwa meneja wa Kanda ya Afrika maana Kabla Magu hajaingia ilikuwa Windhoek ifungue brunch take kubwa hapa Tz ya kuhudumia Afrika nzima.
Nilisoma na mwanae pale Tosa Maganga, kuna mizigo-zigo Mara inaagizwa kuingiza kwenye godown tu aisee pale pana hela we acha, yaani wana pesa nyingi sana, Prof. Tibaijuka alipewa hizo 1.6b ili ardhi ya kiwanda ipatikane..
Siunajua alikuwa wazir wa Ardhi, maaskofu walipewa mzigo ili baadhi ya vifaa vya kiwanda vipite bandarini kama Mali ya Kabisa visilipe kodi!