Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Kwa dola ni chache hizo Mkuu kwa mafungu ya laki laki yanakua kumi na sita tuu...kipindi cha watu kubeba hela na safari za china watu laki tano mpaka milioni walibeba ukitambiwa unaweza kudhani ni hadithi...Amazing, 1.6$ M cash?