Sakata la Kakoko wa TPA kudaiwa kuweka nyumbani begi lenye USD 1,625,800. Mkurugenzi wa TAKUKURU akanusha

Sakata la Kakoko wa TPA kudaiwa kuweka nyumbani begi lenye USD 1,625,800. Mkurugenzi wa TAKUKURU akanusha

Ni kweli kabisa pengine usemayo,tatizo langu ni kutoamini kuwa kakutwa na pesa Cash ndani kiasi chote hicho. Huyu hakuwa mjinga kihivyo.Tangu alipotumbuliwa yale masaa yalitosha kabisa kwa yeye kuweza kuficha hizo pesa,unless wakati anatumbuliwa alikwisha kamatwa siku moja kabla.
Siku hizi kabla hujatumbuliwa wazee wa kazi wanakuwa tayari walishatinga kwenye makazi na Account zako zote bank kupigwa pini. Ni wakati muafaka wale watu wake wakaribu wa conduit pipe kuanza kuishi kama mashetani.
 
Nimesoma kuwa Takukuru wameingia nyumbani kwa Kakoko leo ghafla na kumkuta na begi lenye $1,625,800 cash baada ya kusimamishwa kazi jana!

Haijulikani hizo alizichota lini, lakini kama ni kweli inawezekana alikuwa akizichota pole pole kwa muda mrefu kidogo na huenda sasa hivi ana "vijisenti" vingi sana hujo Jersey au Switzerland kama yule mzee.

View attachment 1738385
Mapema mno kushangilia haya mambo.
Samia suluhu ni wa CCM na CCM kwa miaka yote imekuwa inatawala na inajua raha ya kuwa Chama dola.

Samia Suluhu kama ilivyokuwa kwa mtangulizi atalegea mapema sana na kitachomlegeza ni kitu kidogo kwa macho lakini kikubwa kwa impact yake nacho si kingine bali siku atakayoonyeshwa orodha ya wafadhili wa CCM hasa wakati wa uchaguzi.

Tusisahau kwa msimamo wa JPM usingetegemea hata siku ashikane mikona na Rostam Aziz lakini mwishowe naye alilegea.
CCM hawawezi kumruhusus aachie wazi na Chama kipoteze credibility!!

Bomba la Kakoko linaweza kwenda mpaka Chato,je ataweza kulitaja jina la......
 
Hizo zitakua ni “smash and grab” wakati wa msiba. Au “runaway cash” kama za mafia. Nyingine hatuta kuja zijua
maybe kuna zaid ya hizo. if CAG akienda deep zaid. anaweza ku unearth madudu makubwa zaidi ya haya
 
Huwezi kumiliki 3.6b cash ndani halafu mtu uje utetee huu ujinga, kama ni halali si kuna dolar acc benk kwanini asingeziweka.
Ni kweli kabisa pengine usemayo,tatizo langu ni kutoamini kuwa kakutwa na pesa Cash ndani kiasi chote hicho. Huyu hakuwa mjinga kihivyo.Tangu alipotumbuliwa yale masaa yalitosha kabisa kwa yeye kuweza kuficha hizo pesa,unless wakati anatumbuliwa alikwisha kamatwa siku moja kabla.
 
Alichomfanyia jk sasa kinamrudi akiwa kaburini
Tuliandika mara kadhaa humu "Mkulu awatazame vema fisi na manyang'au waliomzingira mezani pake!" Huku wakimsifia na kumpamba ilhali wamemziba maskio. SASA MAMBO HADHARANI... R.I.P JPM
FAGIO LA CHUMA LIPITE ILI UCHAFU SUGU UPUNGUE..
 
Hii habari ingekuwa imeweka chanzo cha taarifa ingekuwa ya kuaminika.
Ila pamoja na yote chini ya uongozi aa Hayati,kuna kikundi cha watu walinufaika sana.
Ole Sabaya katuhumiwa mara kibao kuwanyanyasa wafanyabiashara ili wampatie pesa. Lakini alikingiwa kifua.
Makonda kaingia studio na wanajeshi wakiwa na silaha alikingiwa kifua mpaka alipojitumbua mwenyewe.
Kwa kuwa palikuwa na double standards za kutosha,hivyo tutegemee kuna ufisadi wa kutisha ulifanyika.
Jiulize pamoja na mazuri yote aliyokuwa anayafanya kwa nini hakutaka CAG awe huru kufanya kazi zake.
Kwa nini hakutaka wakosoaji waingie bungeni.
Kwa nini hakutaka watu wahoji chochote zaidi ya kumsifia yeye tu.
Uko vizuri. Prof Assad alikuwa kiuhalisia. Akagusa na mambo ya jungu kuu. Wakamdhalilisha. Mungu si Athman. Wataumbuka jumla na legacy sifuri kabisa.
 
Nimesoma kuwa Takukuru wameingia nyumbani kwa Kakoko leo ghafla na kumkuta na begi lenye $1,625,800 cash baada ya kusimamishwa kazi jana!

Haijulikani hizo alizichota lini, lakini kama ni kweli inawezekana alikuwa akizichota pole pole kwa muda mrefu kidogo na huenda sasa hivi ana "vijisenti" vingi sana hujo Jersey au Switzerland kama yule mzee.

View attachment 1738385
Wapo wengi sana Walikuwa Wanaitwa Wazalendo kumbe Majizi
 
Taratibu mkuu,umesema umesoma mahala embu tuambie umesoma kwenye chanzo gani cha uhakika na sisi tukapitie kwa jicho la 3.
 
Most likely zimechotwa mara baada ya Magufuli kufariki ndiyo maana alikuwa hajafanya utaratibu wa kuzificha!
Mbona mnajisahaulisha hivyo?Ufisadi ulikuwepo bandarini Magufuli akiwa madarakani hadi PM aliunda tume akaishia kuwasimamisha kazi watumishi wa chini kwa mamlaka yake na akamwachia Rais Magufuli suala la Mkurugenzi Mkuu mikononi mwake kwakuwa ndo mamlaka ya uteuzi.
 
Ila hii nchi jamani imeliwa sana,hata ashuke malaika tutaendelea tu kupigwa.Ilibidi haya mafisadi yapewe adhabu kali kama China wanavyofanya.Labda wangekuwa na hofu kidogo na nidhamu ingerudi.
 
Pummbu wanaminywa wauza unga.majambazi na vibaka.huyu hata kofi hapigwi na polisi ndio watamletea chakula huko sero
Wala sizungumzii polisi. Tuachane tu na hii mada hatutaelewana boss.
 
Ukaguzi wa CAG ulikuwa haujatoka wakati huo; kwa hiyo kuna habari ambazo Majaliwa hakuweza kuzijua mara moja.
Not true.

Majaliwa alisema anawatumbua Mkurugenzi wa Fedha na Meneja wa Matumizi lakini wa juu yao anaiachia mamlaka ya uteuzi ya juu. Ndio maana Kakoko hakuguswa na PM.

Ingekuwa ni suala la Majaliwa kutokuwa na taarifa za ukaguzi basi asingetumbua mtu kwa sababu hakuwa na taarifa za CAG alipowatumbua CFO and Manager of Expenditure either.

Magufuli alimwonea haya mtu wake wa Kanda ya Ziwa, Engineer Kakoko, who also has the pedigree of being from the annointed "TANROAD family. "
 
Watumishi wamenyimwa haki zao miaka 6 sasa kumbe pesa yameficha mafisadi ya awamu ya tano
 
Kama kafanya hivo basi atakuwa mjinga wa dunia, hiyo pesa yote unaweza iweka ndani? Na siku alivyo tumbuliwa si ndo angestuka kuificha?

Mwizi gani huyo anashindwa kuzichimbia hata shimo?
Atakuwa aliziweka benk na sio nyumbani hakuna mtu mjinga kiasi hicho.
Mwizi mshamba sio iyo inajumlisha na laaana za alizo nazo kutokana na matendo yake!
 
Back
Top Bottom