Blackcornshman
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 6,514
- 15,701
Afu baada ya hii issue unakuta anapewa kitengo kingine nyeti.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku hizi kabla hujatumbuliwa wazee wa kazi wanakuwa tayari walishatinga kwenye makazi na Account zako zote bank kupigwa pini. Ni wakati muafaka wale watu wake wakaribu wa conduit pipe kuanza kuishi kama mashetani.Ni kweli kabisa pengine usemayo,tatizo langu ni kutoamini kuwa kakutwa na pesa Cash ndani kiasi chote hicho. Huyu hakuwa mjinga kihivyo.Tangu alipotumbuliwa yale masaa yalitosha kabisa kwa yeye kuweza kuficha hizo pesa,unless wakati anatumbuliwa alikwisha kamatwa siku moja kabla.
Mapema mno kushangilia haya mambo.Nimesoma kuwa Takukuru wameingia nyumbani kwa Kakoko leo ghafla na kumkuta na begi lenye $1,625,800 cash baada ya kusimamishwa kazi jana!
Haijulikani hizo alizichota lini, lakini kama ni kweli inawezekana alikuwa akizichota pole pole kwa muda mrefu kidogo na huenda sasa hivi ana "vijisenti" vingi sana hujo Jersey au Switzerland kama yule mzee.
View attachment 1738385
maybe kuna zaid ya hizo. if CAG akienda deep zaid. anaweza ku unearth madudu makubwa zaidi ya hayaHizo zitakua ni “smash and grab” wakati wa msiba. Au “runaway cash” kama za mafia. Nyingine hatuta kuja zijua
Ni kweli kabisa pengine usemayo,tatizo langu ni kutoamini kuwa kakutwa na pesa Cash ndani kiasi chote hicho. Huyu hakuwa mjinga kihivyo.Tangu alipotumbuliwa yale masaa yalitosha kabisa kwa yeye kuweza kuficha hizo pesa,unless wakati anatumbuliwa alikwisha kamatwa siku moja kabla.
Tuliandika mara kadhaa humu "Mkulu awatazame vema fisi na manyang'au waliomzingira mezani pake!" Huku wakimsifia na kumpamba ilhali wamemziba maskio. SASA MAMBO HADHARANI... R.I.P JPM
FAGIO LA CHUMA LIPITE ILI UCHAFU SUGU UPUNGUE..
Uko vizuri. Prof Assad alikuwa kiuhalisia. Akagusa na mambo ya jungu kuu. Wakamdhalilisha. Mungu si Athman. Wataumbuka jumla na legacy sifuri kabisa.Hii habari ingekuwa imeweka chanzo cha taarifa ingekuwa ya kuaminika.
Ila pamoja na yote chini ya uongozi aa Hayati,kuna kikundi cha watu walinufaika sana.
Ole Sabaya katuhumiwa mara kibao kuwanyanyasa wafanyabiashara ili wampatie pesa. Lakini alikingiwa kifua.
Makonda kaingia studio na wanajeshi wakiwa na silaha alikingiwa kifua mpaka alipojitumbua mwenyewe.
Kwa kuwa palikuwa na double standards za kutosha,hivyo tutegemee kuna ufisadi wa kutisha ulifanyika.
Jiulize pamoja na mazuri yote aliyokuwa anayafanya kwa nini hakutaka CAG awe huru kufanya kazi zake.
Kwa nini hakutaka wakosoaji waingie bungeni.
Kwa nini hakutaka watu wahoji chochote zaidi ya kumsifia yeye tu.
Heshima yako father.Ok, nashukuru kwa sahihisho ingawa mkoa nimeupatia maana mimi nilikuwa naye UDSM ingawa tulikuwa Faculties tofauti.
Wapo wengi sana Walikuwa Wanaitwa Wazalendo kumbe MajiziNimesoma kuwa Takukuru wameingia nyumbani kwa Kakoko leo ghafla na kumkuta na begi lenye $1,625,800 cash baada ya kusimamishwa kazi jana!
Haijulikani hizo alizichota lini, lakini kama ni kweli inawezekana alikuwa akizichota pole pole kwa muda mrefu kidogo na huenda sasa hivi ana "vijisenti" vingi sana hujo Jersey au Switzerland kama yule mzee.
View attachment 1738385
Mbona mnajisahaulisha hivyo?Ufisadi ulikuwepo bandarini Magufuli akiwa madarakani hadi PM aliunda tume akaishia kuwasimamisha kazi watumishi wa chini kwa mamlaka yake na akamwachia Rais Magufuli suala la Mkurugenzi Mkuu mikononi mwake kwakuwa ndo mamlaka ya uteuzi.Most likely zimechotwa mara baada ya Magufuli kufariki ndiyo maana alikuwa hajafanya utaratibu wa kuzificha!
Yaani nimecheka sana. Mkuu wewe ni mtaalam haswa🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nina uhakika jamaa hakosi banda la mbwa angezitia kwenye ndoo ndogo akazifungia ndani ya banda la mmbwa😁
Wala sizungumzii polisi. Tuachane tu na hii mada hatutaelewana boss.Pummbu wanaminywa wauza unga.majambazi na vibaka.huyu hata kofi hapigwi na polisi ndio watamletea chakula huko sero
Not true.Ukaguzi wa CAG ulikuwa haujatoka wakati huo; kwa hiyo kuna habari ambazo Majaliwa hakuweza kuzijua mara moja.
Mwizi mshamba sio iyo inajumlisha na laaana za alizo nazo kutokana na matendo yake!Kama kafanya hivo basi atakuwa mjinga wa dunia, hiyo pesa yote unaweza iweka ndani? Na siku alivyo tumbuliwa si ndo angestuka kuificha?
Mwizi gani huyo anashindwa kuzichimbia hata shimo?
Atakuwa aliziweka benk na sio nyumbani hakuna mtu mjinga kiasi hicho.